Kazi bado ngumu: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi jipya, Mahakama yakubali kulisikiliza

Kazi bado ngumu: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi jipya, Mahakama yakubali kulisikiliza

Hujui kitu ww tutusa
Hahahaaaa, ututusa ni sifa ya Watz ukiwemo wewe. Na hapo ndipo mnapoweza kupanulia midomo. Anyway, nadhani upstairs yako iko kwenye mkondo wa mawimbi, gud evening....
 
hata kama wanazo sababu za kisheria lkn kinacho fanywa na mawakili wa mbowe ni kuisumbua mahakama na kuchelewesha haki kutendeka kwa wakati.
Mawakili wa Mbowe walikuwa wanaweza kabisa kuwasilisha mapingamizi yao yote hiyo Jana lkn kwa maksudi na kwa nia ya kuisumbua mahakama na kuchelewesha haki kutendeka wakaamua leo tena waweke pingamizi ambalo tangu awali walikuwa wanalijua.
Mawakili wa Mbowe wasitumie haki waliyo nayo VIBAYA.
Kamwe wasigeuze Mahakama kama jukwaa la siasa.
waache mara moja tabia hiyo.
Huwezi kuweka mapingamizi yote pamoja , kwa sababu hili la leo lilikuwa ni lazima kesi isomwe kwanza ndio liwekwe , lakini lile la jana lilikuwa linapinga uhalali wa Mahakama hii kuendesha kesi ya Mbowe ambayo ni ya ugaidi , sasa huwezi kuweka pingamizi linalosubiri kesi isomwe wakati tayari unahoji uhalali wa Mahakama yenyewe
 
Sijui ni kwa nini mapingamizi haya hayakuja pamoja:

1. Kuhoji uhalali- limetupwa
2. Hati ya mashtaka kutokukidhi matwaka ya kisheria kama mahakama ingekubaliana na serikali.. ni mchezo wa paka na pacha kwa sasa.
Hili swali mimi pia nimejiuliza hapa. It raises my doubts over the motive of the defence attorneys. Let's wait and see
 
Hili swali mimi pia nimejiuliza hapa. It raises my doubts over the motive of the defence attorneys. Let's wait and see
Soma vizuri sheria mkuu , isingwezekana mapingamizi haya kwenda pamoja , moja linapinga mahakama , lingine linapinga hati ya mashitaka
 
Duh mnashangilia wakati mwenzenu anateseka gerezani
 
Huwezi kuweka mapingamizi yote pamoja , kwa sababu hili la leo lilikuwa ni lazima kesi isomwe kwanza ndio liwekwe , lakini lile la jana lilikuwa linapinga uhalali wa Mahakama hii kuendesha kesi ya Mbowe ambayo ni ya ugaidi , sasa huwezi kuweka pingamizi linalosubiri kesi isomwe wakati tayari unahoji uhalali wa Mahakama yenyewe
nani kasema hawawezi.
walikuwa na uwezo kabisa wa kuwasilisha mapingamizi yao yote na yakaamuliwa kulingana na sababu zao walizo zitoa kwa kila pingamizi. hapakuwa na kizuizi chochote cha kisheria, Mawakili wa Mbowe wanalijua hilo ila wamefanya hivyo kwa nia ya kuisumbua mahakama na kuleta siasa mahakamani.
nawashauri waache siasa kwenye vyombo vya sheria.
 
Unaushauri gani hapo?Kuhofia kudakwa ndiyo kumzuie kudai Haki zake?Kila Mtanzania kwa sasa anafahamu jinsi Mh.Mbowe anavyonyanyaswa isivyo halali badala ya kujitetea unataka ajisalimishe kushtakiwa kwa hati ya mashtaka isiyo na uhalali wa kisheria?
Ushauri kwa CCM: Ficheni basi hata hiyo aibu yenu ya chuki na hofu dhidi ya wapinzani wenu wa kisiasa kwa kutumia vyombo vya dola nanyi mfanye siasa.

Umeelewa nilichosema? He can’t count on that to resolve the matter!

Ushauri kwa CCM wapelekee CCM, sio mimi!
 
nani kasema hawawezi.
walikuwa na uwezo kabisa wa kuwasilisha mapingamizi yao yote na yakaamuliwa kulingana na sababu zao walizo zitoa kwa kila pingamizi. hapakuwa na kizuizi chochote cha kisheria, Mawakili wa Mbowe wanalijua hilo ila wamefanya hivyo kwa nia ya kuisumbua mahakama na kuleta siasa mahakamani.
nawashauri waache siasa kwenye vyombo vya sheria.
Kama hukuelewa nilichoandika pale basi huwezekani
 
Jurisdiction point inajitegemea, huhitaji kuiunga na point nyingine.

Hata hivyo a point of law can be raised at anytime in the proceedings.

Hata kama ingekuwa imefika Court of Appeal point of law ikiwa raised lazima judge ashituke na aishughulikie.

Hoja ni kwamba mahakama ni chombo cha sheria hivyo hata sheria ikichelewa kugundulika lazima ishughulikiwe.

Sometimes mahakama yenyewe hushughulikia hizi point suo mottu yaani akina Kibatala wasingeiona basi Court of Appeal wangeiona na kuwatukana kesi ikifika huko.

Isingekuwa na tija , kama pingamizi hili lingeunganishwa na la uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya ugaidi , ingehojiwa kwamba kama mahakama haina uhalali kwanini mmeleta hoja ya kupinga hati ya mashitaka ?
 
Soma vizuri sheria mkuu , isingwezekana mapingamizi haya kwenda pamoja , moja linapinga mahakama , lingine linapinga hati ya mashitaka
Sheria ipi inayozuwia kuweka PO zaidi ya moja kwenye kesi moja? Mkuu hizi mbwembwe za Mawakili naona zinamuumiza tu mteja wao badala ya kumpunguzia usumbufu. Zaidi sana huwa ninaona ni ujinga kwa Wakili to raise PO kwenye issues ambazo unajua will never dispose the case to its finality. Kama lengo lao ni kuonekana wako busy mahakamani but for nothing, well wamefanikiwa sana maana wanapigiwa makofi na mbumbumbu wasiojua sheria.
 
Unamshitaki mtu kwa kosa kubwa namna hii bila hata kutaja alipotaka kulipua ! halafu bado unataka tukukenulie meno , uliona wapi laki 6 ikagharamia ugaidi ? nchi ambayo ndoo ya mafuta ya kula ni laki 1 , ndio laki 6 igharamie ugaidi ?
Kwenu ugaidi mnalipa Tsh ngapi kwani?
 
Sheria ipi inayozuwia kuweka PO zaidi ya moja kwenye kesi moja? Mkuu hizi mbwembwe za Mawakili naona zinamuumiza tu mteja wao badala ya kumpunguzia usumbufu. Zaidi sana huwa ninaona ni ujinga kwa Wakili to raise PO kwenye issues ambazo unajua will never dispose the case to its finality. Kama lengo lao ni kuonekana wako busy mahakamani but for nothing, well wamefanikiwa sana maana wanapigiwa makofi na mbumbumbu wasiojua sheria.
umenena mkuu.
hata sisi wakulima tusio jua sheria tunamacho.
 
nani kasema hawawezi.
walikuwa na uwezo kabisa wa kuwasilisha mapingamizi yao yote na yakaamuliwa kulingana na sababu zao walizo zitoa kwa kila pingamizi. hapakuwa na kizuizi chochote cha kisheria, Mawakili wa Mbowe wanalijua hilo ila wamefanya hivyo kwa nia ya kuisumbua mahakama na kuleta siasa mahakamani.
nawashauri waache siasa kwenye vyombo vya sheria.
Fortunately kwao wamefanikiwa kuwapata hawa vilaza nao wanaamini Mawakili wao ni vichwa balaa. Lakini hawajui kwamba anayeumia ni mteja wao. Wangekuwa na akili nzuri hizo defects wanazoziwekea PO sasa hivi wangekuja kuzitumia kama grounds of appeal.
Watu wanadhani raising PO ndiyo ishara ya kwamba you're a good lawyer. PO ambayo haimalizi kesi ni ujinga tu
 
Atoke asitoke, ndio mwanzo wa mchezo wa kisheria kwa watu kukamuliwa ipasavyo- both serikali na Mbowe... maana legal fees zitakuwa ni kubwa sana kadri hii kesi inavyoendelea kwa upande mmojawapo...na kwa kuwa mawakili wa Mbowe wanasema matakwa ya kisheria hayakuzingitiwa maana yake ni kwamba wanawaambia wanasheria wa serikali kuja na ushahidi solid na ngoma itakuwa ngumu huko mbeleni... sijui kama kwenye hii kesi huwa kuna wazee wa mahakama/Jury, maana watazubaa na maswali pia majibu ya pande zote mbili... wasije tui kusinzia, kesi itakuwa ni buridani/tamthiria tosha kwa kweli kama Isidingo the need hivi...
Upande utakaoumia kwa gharama ni Mbowe/chadema, serikali inakusanya Kodi na kuwalipa mishahara mawakili.
 
Back
Top Bottom