Ndiho
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 2,306
- 1,532
That was not an opinion.Unajua maana ya opinion....
au ww ni tofali!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That was not an opinion.Unajua maana ya opinion....
au ww ni tofali!!?
Hujui kitu ww tutusaThat was not an opinion.
Hahahaaaa, ututusa ni sifa ya Watz ukiwemo wewe. Na hapo ndipo mnapoweza kupanulia midomo. Anyway, nadhani upstairs yako iko kwenye mkondo wa mawimbi, gud evening....Hujui kitu ww tutusa
Huwezi kuweka mapingamizi yote pamoja , kwa sababu hili la leo lilikuwa ni lazima kesi isomwe kwanza ndio liwekwe , lakini lile la jana lilikuwa linapinga uhalali wa Mahakama hii kuendesha kesi ya Mbowe ambayo ni ya ugaidi , sasa huwezi kuweka pingamizi linalosubiri kesi isomwe wakati tayari unahoji uhalali wa Mahakama yenyewehata kama wanazo sababu za kisheria lkn kinacho fanywa na mawakili wa mbowe ni kuisumbua mahakama na kuchelewesha haki kutendeka kwa wakati.
Mawakili wa Mbowe walikuwa wanaweza kabisa kuwasilisha mapingamizi yao yote hiyo Jana lkn kwa maksudi na kwa nia ya kuisumbua mahakama na kuchelewesha haki kutendeka wakaamua leo tena waweke pingamizi ambalo tangu awali walikuwa wanalijua.
Mawakili wa Mbowe wasitumie haki waliyo nayo VIBAYA.
Kamwe wasigeuze Mahakama kama jukwaa la siasa.
waache mara moja tabia hiyo.
Hili swali mimi pia nimejiuliza hapa. It raises my doubts over the motive of the defence attorneys. Let's wait and seeSijui ni kwa nini mapingamizi haya hayakuja pamoja:
1. Kuhoji uhalali- limetupwa
2. Hati ya mashtaka kutokukidhi matwaka ya kisheria kama mahakama ingekubaliana na serikali.. ni mchezo wa paka na pacha kwa sasa.
Soma vizuri sheria mkuu , isingwezekana mapingamizi haya kwenda pamoja , moja linapinga mahakama , lingine linapinga hati ya mashitakaHili swali mimi pia nimejiuliza hapa. It raises my doubts over the motive of the defence attorneys. Let's wait and see
Kubadili mikakati otherwise kinachofanyika ni kama kulima kwenye lami.Hiyo 'energy' unayo 'save' inakupeleka wapi?
nani kasema hawawezi.Huwezi kuweka mapingamizi yote pamoja , kwa sababu hili la leo lilikuwa ni lazima kesi isomwe kwanza ndio liwekwe , lakini lile la jana lilikuwa linapinga uhalali wa Mahakama hii kuendesha kesi ya Mbowe ambayo ni ya ugaidi , sasa huwezi kuweka pingamizi linalosubiri kesi isomwe wakati tayari unahoji uhalali wa Mahakama yenyewe
Unaushauri gani hapo?Kuhofia kudakwa ndiyo kumzuie kudai Haki zake?Kila Mtanzania kwa sasa anafahamu jinsi Mh.Mbowe anavyonyanyaswa isivyo halali badala ya kujitetea unataka ajisalimishe kushtakiwa kwa hati ya mashtaka isiyo na uhalali wa kisheria?
Ushauri kwa CCM: Ficheni basi hata hiyo aibu yenu ya chuki na hofu dhidi ya wapinzani wenu wa kisiasa kwa kutumia vyombo vya dola nanyi mfanye siasa.
Kama hukuelewa nilichoandika pale basi huwezekaninani kasema hawawezi.
walikuwa na uwezo kabisa wa kuwasilisha mapingamizi yao yote na yakaamuliwa kulingana na sababu zao walizo zitoa kwa kila pingamizi. hapakuwa na kizuizi chochote cha kisheria, Mawakili wa Mbowe wanalijua hilo ila wamefanya hivyo kwa nia ya kuisumbua mahakama na kuleta siasa mahakamani.
nawashauri waache siasa kwenye vyombo vya sheria.
Isingekuwa na tija , kama pingamizi hili lingeunganishwa na la uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya ugaidi , ingehojiwa kwamba kama mahakama haina uhalali kwanini mmeleta hoja ya kupinga hati ya mashitaka ?
Sheria ipi inayozuwia kuweka PO zaidi ya moja kwenye kesi moja? Mkuu hizi mbwembwe za Mawakili naona zinamuumiza tu mteja wao badala ya kumpunguzia usumbufu. Zaidi sana huwa ninaona ni ujinga kwa Wakili to raise PO kwenye issues ambazo unajua will never dispose the case to its finality. Kama lengo lao ni kuonekana wako busy mahakamani but for nothing, well wamefanikiwa sana maana wanapigiwa makofi na mbumbumbu wasiojua sheria.Soma vizuri sheria mkuu , isingwezekana mapingamizi haya kwenda pamoja , moja linapinga mahakama , lingine linapinga hati ya mashitaka
Kwenu ugaidi mnalipa Tsh ngapi kwani?Unamshitaki mtu kwa kosa kubwa namna hii bila hata kutaja alipotaka kulipua ! halafu bado unataka tukukenulie meno , uliona wapi laki 6 ikagharamia ugaidi ? nchi ambayo ndoo ya mafuta ya kula ni laki 1 , ndio laki 6 igharamie ugaidi ?
Wana hasira , maana Mawakili wao ( wa serikali ) wamekutana na kitu kizito, Ndo kwanza ngoma mbichi,Kama hukuelewa nilichoandika pale basi huwezekani
Sawa kamandaWewe ndiyo "hovyo hovyo" wa Siro. Kwani Ijumaa inasikilizwa nini kama siyo pingamizi lilokubaliwa na jaji wa TISS?
umenena mkuu.Sheria ipi inayozuwia kuweka PO zaidi ya moja kwenye kesi moja? Mkuu hizi mbwembwe za Mawakili naona zinamuumiza tu mteja wao badala ya kumpunguzia usumbufu. Zaidi sana huwa ninaona ni ujinga kwa Wakili to raise PO kwenye issues ambazo unajua will never dispose the case to its finality. Kama lengo lao ni kuonekana wako busy mahakamani but for nothing, well wamefanikiwa sana maana wanapigiwa makofi na mbumbumbu wasiojua sheria.
Fortunately kwao wamefanikiwa kuwapata hawa vilaza nao wanaamini Mawakili wao ni vichwa balaa. Lakini hawajui kwamba anayeumia ni mteja wao. Wangekuwa na akili nzuri hizo defects wanazoziwekea PO sasa hivi wangekuja kuzitumia kama grounds of appeal.nani kasema hawawezi.
walikuwa na uwezo kabisa wa kuwasilisha mapingamizi yao yote na yakaamuliwa kulingana na sababu zao walizo zitoa kwa kila pingamizi. hapakuwa na kizuizi chochote cha kisheria, Mawakili wa Mbowe wanalijua hilo ila wamefanya hivyo kwa nia ya kuisumbua mahakama na kuleta siasa mahakamani.
nawashauri waache siasa kwenye vyombo vya sheria.
Upande utakaoumia kwa gharama ni Mbowe/chadema, serikali inakusanya Kodi na kuwalipa mishahara mawakili.Atoke asitoke, ndio mwanzo wa mchezo wa kisheria kwa watu kukamuliwa ipasavyo- both serikali na Mbowe... maana legal fees zitakuwa ni kubwa sana kadri hii kesi inavyoendelea kwa upande mmojawapo...na kwa kuwa mawakili wa Mbowe wanasema matakwa ya kisheria hayakuzingitiwa maana yake ni kwamba wanawaambia wanasheria wa serikali kuja na ushahidi solid na ngoma itakuwa ngumu huko mbeleni... sijui kama kwenye hii kesi huwa kuna wazee wa mahakama/Jury, maana watazubaa na maswali pia majibu ya pande zote mbili... wasije tui kusinzia, kesi itakuwa ni buridani/tamthiria tosha kwa kweli kama Isidingo the need hivi...
Kamanda upo sawa.Shetani hajawahi kumshinda Mungu