ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Mwanafunzi akipata uja uzito wanamfukuza shule!Kuongoza ni kuonyesha mfano..utakuwaje na mimba hujaolewa halafu wewe ni kiongozi, kwa nini mtu akiwa mlevi anapoteza sifa ya kuwa kiongozi..ulevi siyo jambo binafsi? Mfano, wewe uko tayari upande gari inaendeshwa na mlevi au mvuta bangi? Uongozi ni heshima, hivi jamii ya watz ina matatizo gani? Halafu kila siku maadili yameshuka ndiyo maana tuna panya road, hao panya road wanatoka wapi? Kama sio kwenye tabia km hizi za kupeana mimba bila kuoa au kuolewa..
Unasimamaje wakati unajua ana mguu wa kuku chini ya mto!Wahuni wamepita na Disii
Huyo anaweza kuwa ni wale mamiss wenzake Jokate, anamuonea wivu. Kaandika kipashkuna sana.Labda kafunga ndoa kisirisiri na Kijana tajiri Vunjabei...
Umejuaje kama hajaolewa?. Punguza maneno ya kimbea yasiyo na uhakika.Ndio maana huwa nasema Lulu ana akili na heshima kuliko wengi. Kuzaa nje ya ndoa kwa kiongozi ni laana. Narudia ni laana. Kashindwa nini kufunga ndoa na kuweka wazi ndoa yake. Atawaambia ni iwanafunzi wetu na vijana kimaadili. Mama Samia teua mtu mwingine bana huyo NEI NEI BABHUCHE.
Kwani tulijuaje amekuwa DC..Umejuaje kama hajaolewa?. Punguza maneno ya kimbea yasiyo na uhakika.
Serikali haina diniUnaposhika nafasi ya kumwakikisha Rais kama DC au RC kuna maslahi ya Taifa ikiwemo mahusiano yako. So kulalwa lalwa hovyo nooooo. Ndio maana ana bendera ya Serikali. Huyu
Anatakiwa ajiuzulu mara moja.
Kwani ni mimba hiyo au kitambi cha madaraka ya cheo?Mkuu wa wilaya kuwa na mimba bila ndoa ni ujumbe gani kwa vijana???? tafakari bila hasira.
Muache Jokate aishi maisha anayopenda, huu ufukunyuku hauwasaidii chochote.Kwani tulijuaje amekuwa DC..
Naye ni star kama NandyMkuu wa wilaya kuwa na mimba bila ndoa ni ujumbe gani kwa vijana???? tafakari bila hasira.
Aishi maisha yake nje ya Uongozi wa nchi yetu hakuna shida. Ukiwa Kiongozi mwakilishi wa Rais lazma huna uhuru na maisha yako yawe wazi.so aachie ngazi amenuka.Muache Jokate aishi maisha anayopenda, huu ufukunyuku hauwasaidii chochote.
Mwambie aache uongozi akaishi anavyopenda..kodi yetu hatutaki ilipe viongozi wa aina ya matendo yake..kwa hiyo hujui kodi tunayolipa inatusaidia nini na wajibu wetu ni nini kwa viongozi..hujui?Muache Jokate aishi maisha anayopenda, huu ufukunyuku hauwasaidii chochote.
Mwenye hizaya haachi sababu. Usije shangaa ukisikia wanasema alimuacha nayo!Na angekuwepe Mwendazake,lazima wabongo wangemuangushia Jumba bovu kua huo Mzigo wa Joketi ni wake!!
Hivi DC ndiye mtendaji pale wilayani au mkoani?Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka)
Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke
View attachment 2285028
DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi
Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana
Pascal Mayalla aone hii na atoe credits zake. Mabilioni yanakuja tuu ni baraka tele.
Vipi wamekunyima kazi?Siku hizi imekuwa ni vigumu kumuona Jokate Ofisini kwake,nina malalamiko kuhusu kero za hawa TARURA.
Nani kamdunga mimba DC?Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka)
Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke
View attachment 2285028
DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi
Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana
Pascal Mayalla aone hii na atoe credits zake. Mabilioni yanakuja tuu ni baraka tele.
Kukosa sifa za kuwa kiongozi maana maadili hakuna hapo.Mkuu wa wilaya kuwa na mimba bila ndoa ni ujumbe gani kwa vijana???? tafakari bila hasira.
Jamaa alikuwa hajitambui kwa rangi ya mtumeMwenye hizaya haachi sababu. Usije shangaa ukisikia wanasema alimuacha nayo!
Mkuu wa wilaya ndiye mfungisha ndoa, atakosaje ndoa?Mkuu wa wilaya kuwa na mimba bila ndoa ni ujumbe gani kwa vijana???? tafakari bila hasira.
Wananitumia meseji kwamba wananidai.Vipi wamekunyima kazi?