Mababy daddy washakufa
Waliokufa ni asilimia ndogo sana chini ya moja.
Ma single mother wengi baby dad wao wapo hai..
Na hao ma baby dady ni wasumbufu sana wakijua baby mama wake kapata bwana aliyejipata..
Anakuwa na usumbufu mwingi ili amtese mume wa baby mama wake kisaikolojia