Kazi ya kusaka mke / mume ni ngumu sana ukiwa above 30 na umejipata kimaisha. ila mwanamke / mume unamuona anafata hela zako. Ushauri kijana oa mapema

Habari wadau.

Kwa research yangu isiyo rasmi. Kazi ya kusaka mwenza wa maisha ni ngumu sana ukianza kuifanya ukiwa na age above 30s..

Imani yako kwa watu inakuwa ndogo sana kutokana na uhalisia wa ubongo wako ulivyopevuka.

Hii inawatokea vijana wengi wa kiume na wa kike waliojipata. Yaani wenye stable income ama vipato vizuri.

Nikitazama ndugu, jamaa na marafiki ambao wamejipata. Wanateseka sana na hili.

Ushauri wa wazi kwa vijana wadogo wa kiume.

Ni rahisi sana kupata Mke mwema kama ukimpata mapema.. kabla hajazidi 25. Uwe umeshamuwahi.

Wanawake wengi ni wake bora ila experience za maisha zinawabadilisha na kuwa wabaya.

Muhimu umuwahi kabla hajakutana na experience za kumbadilisha na kuendana na mabadiliko hayo. Mkifunga ndoa mapema. Mnagrow mapema.. na imani juu yenu inakuwa kubwa.

Mbeleni ngumu sana kumuamini mtu. Hasa ukiwa umejipata.

Kila mtu unaona anafata faida kwako
Kwa wapelestina hata binti akiwa na 18, ukimuoa atakupiga na kitu kizito tu.
 
Mkuu vipi sisi tunaomiliki wanawake wengi kadiri umri unavyo sogea tunazidi kuongeza na kuongeza wanawake unatusemeaje ndugu?
 
Sahihi, nina rafiki yangu mbunge wa Magufuli, amejenga Njendengwa investment area bonge la mjumba above 1B. Anasema hamna kazi ngumu kama kumpata mke kwa umri wake, alipata binti mmoja familia ya kiarabu matajiri, La haula wanamwambia abadili dini amegoma na uhusiano umevunjika .

Hawa wengine wa kibongo anasema wanamdangia tu 😅 Mi hucheka!
Give your honest opinion, huyo rafiki yako mbunge ana sura mbaya? Unaeza kuta shida ni mwonekano wake wa kimwili ni mbaya labda binti kiziwi
 
Oa mapema bila hela ugongengewe upate stress ufe , tukuzike baby wako tukamshone vizuri , week moja tu anakusahau ! [emoji23]

Vijana wa kiume kuoa kunahitaji maandalizi weka mazingira sawa ukiona unamudu (nakazia ukiona unamudu) vuta mali ndani !! Wasichana wakuoa wapo ni wengi sana tuliza akili.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom