Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

ukute sasa Chimbuvu anakula kichapo cha Madame B halafu analia kilingala, utachoka mwenyewe.

hahahaaaa!!!! Motemaaaaaa nangaiiiiiiyoooooooo, unalingi nini mamiiiiiiiiiiiiiii, papa ya motemaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiii.

Nadhani atakuwa analia hivyo
 
Last edited by a moderator:
ndo uongo wako utakufanya nikukatae kabisa
kwani sikuwaona wakati mnaelezana yale mambo yenu ya shule
halafu nini hasira ya kufa na Mr Rocky

Tafadhali hizo hasira zisihamie kwangu hahahaaah!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…