Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Soma taarifa iliyotolewa na bosi ya ligi.Yanga hawashiki funguo jana wameingiaje uwanjani?
Na mechi ilitangazwa imeghairishwa?Au mlivunja mAgeti kama ulivyo utaratibu wenu?
Mechi iliahirishwa mageti yakiwa wazi, Bodili iliahirisha saa sita ila mageti yalikuwa wazi kabla ya muda huoYanga hawashiki funguo jana wameingiaje uwanjani?
Na mechi ilitangazwa imeghairishwa?Au mlivunja mAgeti kama ulivyo utaratibu wenu?
Taarifa iko hivyo, hawakua na taarifa kama wao bodi ya ligi wameandika hivyo ina maana ni lazima taarifa iwepo kile sio choo cha umma ati kisa una mechi kesho basi unaamua kwenda/kutokwenda bila taarifa ndgu, mbona kitu kidogo hicho.meneja wa uwanja hajui kanuni?
wapi kwenye kanuni za tff zinasema ukitaka kwenda kufanya mazoezi utoe taarifa?
Kumbe ni kweli!Point 3 lazima watoe na magoli matatu.
Mana timu ilipelekwa uwanjani walikua wanasubiriwa wao tu waahirishaji hio ni zaidi ya evidence
Huu ndiyo ukweli mengine ni blaa blaa tu za hapa na pale mkuuSimba wameiogopa mechi wakala kona.
kwa hiyo Baada ya kughairisha wakaacha wazi mpaka jioni?Mechi iliahirishwa mageti yakiwa wazi, Bodili iliahirisha saa sita ila mageti yalikuwa wazi kabla ya muda huo
simba amevunja kanuni gani,? kwenda uwanjani bila taarifaTaarifa iko hivyo, hawakua na taarifa kama wao bodi ya ligi wameandika hivyo ina maana ni lazima taarifa iwepo kile sio choo cha umma ati kisa una mechi kesho basi unaamua kwenda/kutokwenda bila taarifa ndgu, mbona kitu kidogo hicho.
apewe taarifa kwa kanuni ipi?Walimpa taarifa meneja wa uwanja???
Yanga hahusiki
Timu isipofanya mazoezi mchezo inahairishwa? Iwapo Meneja wa uwanja angeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme nako ingepelekea mchezo kuhairishwa? Iwapo mvua ingenyesha na kupelekea mazoezi kutofanyika nako mechi ingehairishwa? Iwapo foleni ya magari ingekuwa kubwa na kupelea timu ya Simba kufika uwanjani kwa wakati nako ingesababisha mechi kuhairishwa?aliyeogopa ni yule aliyemkataza mwenzie asiingie uwanjani akakimbize majini
Wasipokuelewa hapa ndiyo basi tena wameshindikana.Utaratibu wa Timu kupewa pointi 3 baada ya timu nyingine kutofika uwanjani upoje? Maana:
1. Ilitakiwa Yanga wafike uwanjani muda wa mchezo husika.
2. Kuwe na viongozi wote wa mechi husika wakiwemo makamishina na refarii uwanjani ambaye atawaongoza waingie uwanjan muda ukifika.
3. Saa moja na robo refarii angepuliza kipyenga kuashiria kuanza kwa mchezo.
4. Refarii angesubiria timu nyingine iingie uwanjani kwa muda wa dakika 15.
5. Baada ya dakika 15 kutimia bila timu nyingine kuingia uwanjani, refarii angemaliza mechi na timu iliyokuwepo uwanjan ingepewa ushindi na alama 3.
Je! kwa jana hayo yote yalikamilika ili Yanga wapewe ushindi na alama 3 kama kichwa cha habari cha bandiko hili kinavyodai?
Simba walitangaza kughairi,Bodi ya ligi ikaja kuahirisha mchezo,bodi ya ligi wasingeahirisha Simba ingeingia kwenye mtego,sasa wanawapaje Yanga points 3 wakati bodi ya ligi imeahirisha mchezo,maofisa hawapo,marefa hawapo halafu point 3 watatoaje.Hilo haliwezekani, wao ndio walitoa official statement ya kuahirisha mechi na Simba imeifuata hiyo. Hakuna marefa wala officials wengine waliofika uwanjani zaidi ya Uto, hapo unampa Yanga pointi 3 kwa kipi? Kwa Simba kusema 'No reform no Derby'? Huo uamuzi mnaohisi utatolewa ndio walifaa kuufata Simba tuliposema hatushiriki hii mechi wangeacha taratibu zote ziendelee kama kawaida, kwa kumuadhibu hivyo Simba manake nao wanastahili adhabu. Hii ngoma imekaa vibaya kwao.
yanga hamna uwanja nyie ni timu mwenyeji .hamna mamlaka yoyote kuzuia watu,sema uchawi wenu.Kwenye uwanja wowote, timu mwenyeji ndo anakuwa mwenye uwanja kwa wakti huo..!!
taarifa ya simba inasema aliyezuia mazoezi ya simba ni makomandoo wa utopolo sio meneja wa uwanja.wekeni sawa kwanza hapo.Timu isipofanya mazoezi mchezo inahairishwa? Iwapo Meneja wa uwanja angeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme nako ingepelekea mchezo kuhairishwa? Iwapo mvua ingenyesha na kupelekea mazoezi kutofanyika nako mechi ingehairishwa? Iwapo foleni ya magari ingekuwa kubwa na kupelea timu ya Simba kufika uwanjani kwa wakati nako ingesababisha mechi kuhairishwa?
Bodi ya Ligi wameshindwa kuwalinda wapenzi wa soka, wao wameegemea kwenye ushabiki bila kuangalia logic.
Yaani upelelezi haujakamilika tayari wameshafikia hitimisho.
Timu mwenyeji ndo inakuwa yenye uwanja kwa wakati huo.yanga hamna uwanja nyie ni timu mwenyeji .hamna mamlaka yoyote kuzuia watu,sema uchawi wenu.
taarifa ya simba inasema aliyezuia mazoezi ya simba ni makomandoo wa utopolo sio meneja wa uwanja.wekeni sawa kwanza hapo.
FactNa hii ndiyo hoja yangu Chief. Bodi wamenunua kesi, hapa kilichobaki ni Uto kuwaonesha kazi kitu ambacho nina doubt kama mtaweza mana na nyie mna makando kando yenu ambayo bodi wanaweza kuyatumia kama leverage.
Unajichosha kuwaelewesha haoUtaratibu wa Timu kupewa pointi 3 baada ya timu nyingine kutofika uwanjani upoje? Maana:
1. Ilitakiwa Yanga wafike uwanjani muda wa mchezo husika.
2. Kuwe na viongozi wote wa mechi husika wakiwemo makamishina na refarii uwanjani ambaye atawaongoza waingie uwanjan muda ukifika.
3. Saa moja na robo refarii angepuliza kipyenga kuashiria kuanza kwa mchezo.
4. Refarii angesubiria timu nyingine iingie uwanjani kwa muda wa dakika 15.
5. Baada ya dakika 15 kutimia bila timu nyingine kuingia uwanjani, refarii angemaliza mechi na timu iliyokuwepo uwanjan ingepewa ushindi na alama 3.
Je! kwa jana hayo yote yalikamilika ili Yanga wapewe ushindi na alama 3 kama kichwa cha habari cha bandiko hili kinavyodai?
Huna akiliPoint 3 lazima watoe na magoli matatu.
Mana timu ilipelekwa uwanjani walikua wanasubiriwa wao tu waahirishaji hio ni zaidi ya evidence
Amka kwenye ndoto hizo ......mbona tulikubaliana kuwa ndoto ni USIKU?Suala hili liko wazi. Yanga anastahili point 3 na magoli 3. Kinyume na hapo Bodi ya michezo na TFF waachie ngazi maana wameshindwa kazi.