Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Baba yake Abdallah Salim alioa mtumwa wake (black) na alipozaliwa Saad akaingia kwenye line of throne na baadae kuwa Amir.Si ndio maana walifosi aabdicate kwasababu ya Weusi wake.
Lakini si alilazimishwa ku abdicate👈 kwasababu ya weusi wake?!Baba yake Abdallah Salim alioa mtumwa wake (black) na alipozaliwa Saad akaingia kwenye line of throne na baadae kuwa Amir.
Kweli aliondolewa lakini sio kwa weusi bali alikuwa mgonjwa, alikuwa na cancer kwani baada ya miaka 2 tu alifarikiLakini si alilazimishwa ku abdicate👈 kwasababu ya weusi wake?!
Ni upuuzi.nchi zenu za kiafrika mmeziongozaje?Uingereza na US huko US Kamala huko Uingereza Kemi
Mbona Mfalme wa Saudi wa sasa ni mgonjwa na Prince ndio anaongoza Kingdom lakini Baba yake haambiwi a Abdicate?!Kweli aliondolewa lakini sio kwa weusi bali alikuwa mgonjwa, alikuwa na cancer kwani baada ya miaka 2 tu alifariki
We wachana na story nyingi Qur'an inawambia nyie Wayahudi mnadai Ibrahim ni Myahudi, na Wakristo wanadai ni Mkristo, wakati Ibrahim kaja kabla dini ya Kiyahudi na dini ya Kikristo sa vipi awe Mkristo au Myahudi?Quruani imetungwa karne ya saba mambo ya 3000yrs ago imeyakopi na kuongezea Confusion.
Quruani ilitungwa Miaka 1350 iliyopita hizo Stori za Abraham ni za miaka 3000 iliyopita kwasababu hiyo basi Quruani ni uongo mtupu.Qur'an inawambia
Huyo MbS mwenyewe aliwafunga ndugu na jamaa zake jela ya Hotel mpaka watoe kila mmoja $1b ili atokeMbona Mfalme wa Saudi wa sasa ni mgonjwa na Prince ndio anaongoza Kingdom lakini Baba yake haambiwi a Abdicate?!
Look tukubaliane Waarabu ni Racist zaidi kuliko Europeans.
Hivi Kamala Harris angekulia Uarabuni angeliweza kufika katika hiyo nafasi au angeishia kuwa House Maid kama Wanawake wenzake wa Kiafrika?!Wana ubaguzi kweli ila pia nimekaa ulaya miaka zaidi ya 30 na ubaguzi upo pia
Sawa sawa ndio maana Duw England kutoka Tanzania wanatumia sana God hapa Dar es salaamScottish Gaelic ni Dia Wells ni Duw England ni God.
Ndio umesema nini?!Sawa sawa ndio maana Duw England kutoka Tanzania wanatumia sana God hapa Dar es salaam
Mambo yanabadilika mzeeHivi Kamala Harris angekulia Uarabuni angeliweza kufika katika hiyo nafasi au angeishia kuwa House Maids kama Wanawake wengine wa Kiafrika.
Hakuna ulazima kila mmoja kufika hapo,hao weupe wenyewe miaka ya hivi karibuni alifika yule mke wa Clinton wengine wanashangaa kama tunavyo shangaa sisi , sasa kwenye nchi yenye watu zaidi ya 300M wawili tu ndio wamefika, unaleta mfanano wa hovyo kabisaaaaHivi Kamala Harris angekulia Uarabuni angeliweza kufika katika hiyo nafasi au angeishia kuwa House Maid kama Wanawake wenzake wa Kiafrika?!
Kama hujaelewa huwezi kuelewa tenaNdio umesema nini?!
Wabongo majina Yao ya asili HawayatakiWaNigeria ninachowapendea huwa hawaachi majina yao a asili ,hata mtoto azaliwe Ulaya au America lazima apewe jina la asili. Wadanganyika wanadai majina ya asili yana laana ,wanashindana kuwaita watoto wao Nancy, Junior wakati hawajawahi hata kuvuka border ya Julius Nyerere Airport au border ya KIA kwenda kwa hao kina Nancy halisi
safi sana aendelee kukaza anaweza kuja kua hata malikia wa uingirezaJina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi Uingereza ambako alianza kuishi na Rafiki wa Mama yake.
Kemi ana Degree ya Kwanza na ya pili ya katika Computer Systems Engineering. Pia ana Degree katika Sheria. Mdada huyu endapo ataendelea vizuri, ana nafasi kubwa ya kuwa Waziri wa Kwanza Mwenye Asili ya Africa katika Taifa hili ambalo ni moja ya Mataifa Makubwa yenye Ushawishi Duniani
Mdada huyu amemshinda mpinzani wake Robert Jenrick yeye akipata kura 53,806 (56.6%) dhidi ya Mr Jenrick aliypata 41, 212 (43.4%)
View attachment 3141572
View: https://www.youtube.com/watch?v=a-CXq9auN9E
Ali abdicate au hakuna abdicate!!!Baba yake Abdallah Salim alioa mtumwa wake (black) na alipozaliwa Saad akaingia kwenye line of throne na baadae kuwa Amir.
Kuwait wapo blacks wengi na wana heshimiwa sana na hata kuogopewa
Ali abdicateAli abdicate au hakuna abdicate!!!