Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Si ndio maana walifosi aabdicate kwasababu ya Weusi wake.
Baba yake Abdallah Salim alioa mtumwa wake (black) na alipozaliwa Saad akaingia kwenye line of throne na baadae kuwa Amir.

Kuwait wapo blacks wengi na wana heshimiwa sana na hata kuogopewa
 
Lakini si alilazimishwa ku abdicate👈 kwasababu ya weusi wake?!
Kweli aliondolewa lakini sio kwa weusi bali alikuwa mgonjwa, alikuwa na cancer kwani baada ya miaka 2 tu alifariki
Ingawa kulikuwa na mvutano hata enzi hizo alipotaka kumuoa cousin yake baadhi ya vijana (ndugu) walikataa na ugomvi ukazuka akapigwa risasi ya jicho ili ricochet akalazimika kupelekwa london
 
Kweli aliondolewa lakini sio kwa weusi bali alikuwa mgonjwa, alikuwa na cancer kwani baada ya miaka 2 tu alifariki
Mbona Mfalme wa Saudi wa sasa ni mgonjwa na Prince ndio anaongoza Kingdom lakini Baba yake haambiwi a Abdicate?!

Look tukubaliane Waarabu ni Racist zaidi kuliko Europeans.
 
Quruani imetungwa karne ya saba mambo ya 3000yrs ago imeyakopi na kuongezea Confusion.
We wachana na story nyingi Qur'an inawambia nyie Wayahudi mnadai Ibrahim ni Myahudi, na Wakristo wanadai ni Mkristo, wakati Ibrahim kaja kabla dini ya Kiyahudi na dini ya Kikristo sa vipi awe Mkristo au Myahudi?

Wakati uislam unawambia Mungu ni mmoja tu, na dini ni moja tu, na Mitume wote walikuwa Waislam. Sa Ibrahim alikuja na dini ipi kama mnakanusha maneno yake.
 
Mbona Mfalme wa Saudi wa sasa ni mgonjwa na Prince ndio anaongoza Kingdom lakini Baba yake haambiwi a Abdicate?!

Look tukubaliane Waarabu ni Racist zaidi kuliko Europeans.
Huyo MbS mwenyewe aliwafunga ndugu na jamaa zake jela ya Hotel mpaka watoe kila mmoja $1b ili atoke
Pia alimuweka house arrest baba yake mdogo ambae ndio alikuwa next baada ya King Salman
Lakini kijana kamfunga na kuchukua cheo hicho kibabe
Sisi tunaelewana sana na hatuwezi kupishana kitu
Nimekaa nchi za kiarabu karibu zote na zingine nimefanya kazi tena zingine nyeti
Wana ubaguzi kweli ila pia nimekaa ulaya miaka zaidi ya 30 na ubaguzi upo pia
Ulaya serikali inapinga sana ubaguzi na ipo kwenye sheria zao
Hebu fananisha na ubaguzi bongo ambapo akiingia mtu ambae sio mbantu anavyoshambuliwa
Kwa kumalizia tu siwatetei waarabu wala nini bali kote ubaguzi upo ila unatofautiana Uraiani na serikalini
 
Hapa kwetu angekua ana asili ya Asia wangesema ni beberu sijawah ona mwanajesh ana silia ya india au kiarabu hapa kwetu kweli mkoloni ni mwafrika mwenzetu
 
Hivi Kamala Harris angekulia Uarabuni angeliweza kufika katika hiyo nafasi au angeishia kuwa House Maids kama Wanawake wengine wa Kiafrika.
Mambo yanabadilika mzee
Uliwahi kuwaza mhindi akawa waziri mkuu na sasa wamemchagua mwanamke mweusi kuongoza Conservative?
Kwa kweli Kamala asingefika hapo kwa sababu za kidini pia kwa baadhi ya nchi mwanamke hawezi kuwa kiongozi wa mwanaume
Ila dunia inavyokimbia kwa kasi mambo mengi yanabadilika sasa
Waarabu na wazungu na waafrika wote wana mifumo yao ndio maana hata ushoga unakubalika ulaya lakini kwetu ni dhambi kubwa bado

Hatuwezi kuwafananisha huku na huko maana kila nchi ina tamaduni zao na sheria zao boss
Ila sibishi ubaguzi sidhani kama utaisha Duniani
Nimeenda India ubaguzi upo vibaya mno
 
Hivi Kamala Harris angekulia Uarabuni angeliweza kufika katika hiyo nafasi au angeishia kuwa House Maid kama Wanawake wenzake wa Kiafrika?!
Hakuna ulazima kila mmoja kufika hapo,hao weupe wenyewe miaka ya hivi karibuni alifika yule mke wa Clinton wengine wanashangaa kama tunavyo shangaa sisi , sasa kwenye nchi yenye watu zaidi ya 300M wawili tu ndio wamefika, unaleta mfanano wa hovyo kabisaaaa
 
WaNigeria ninachowapendea huwa hawaachi majina yao a asili ,hata mtoto azaliwe Ulaya au America lazima apewe jina la asili. Wadanganyika wanadai majina ya asili yana laana ,wanashindana kuwaita watoto wao Nancy, Junior wakati hawajawahi hata kuvuka border ya Julius Nyerere Airport au border ya KIA kwenda kwa hao kina Nancy halisi
Wabongo majina Yao ya asili Hawayataki
Kikosi Nyangema anataka aitwe 2pac. ( Professor J- machozi, Jasho na dame)
 
Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi Uingereza ambako alianza kuishi na Rafiki wa Mama yake.
Kemi ana Degree ya Kwanza na ya pili ya katika Computer Systems Engineering. Pia ana Degree katika Sheria. Mdada huyu endapo ataendelea vizuri, ana nafasi kubwa ya kuwa Waziri wa Kwanza Mwenye Asili ya Africa katika Taifa hili ambalo ni moja ya Mataifa Makubwa yenye Ushawishi Duniani
Mdada huyu amemshinda mpinzani wake Robert Jenrick yeye akipata kura 53,806 (56.6%) dhidi ya Mr Jenrick aliypata 41, 212 (43.4%)
View attachment 3141572

View: https://www.youtube.com/watch?v=a-CXq9auN9E

safi sana aendelee kukaza anaweza kuja kua hata malikia wa uingireza
 
Ali abdicate au hakuna abdicate!!!
Ali abdicate
Unajua alipokufa Sheikh Jabir huyo Saad alikuwa kwenye wheelchair mgonjwa sana
Kwa kuwa alikuwa next to the throne ilibidi apewe tu lakini hata hivyo baada ya miaka miwili tu akafariki

Alikuwa waziri mkuu kwa miaka mingi tu
 
Back
Top Bottom