Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Actually....naona Kama nchi haitegenezi uchumi tegemezi kwa Sasa badala yake inaleta tozo la Kodi za mitandao tu...utumie buku ukatwe Tsh 5.vocha inapungua hapo....I think it's the time for the country.to stay focused on building the nation lather than..kuteua kila siku watu wapya.Teua teua au beua beua?? Hadi miaka mitano inaisha
Sawa nani anahujumu kama watendaji wakuu amesha wateuaKuna vihujuma vidogo vidogo vya hapa na pale lakini anavipangua,mambo yatakaa sawa tu.
Kwa jicho LA tatu mama anazidiwa na watendaji wakeYani Mpaka anawateua Hao Wawili Hakujua Kama Atakuja Kuwapangia Majukumu Mengine Ndani ya Chama Na Huyo Dr. Charles Nae atapangiwa Majukumu Mengine... Huyo Quuen [emoji219] umakini wake unatishia .... Huyo Ni Tatizo
Mabaki ya ukoko wa MwendazakeSawa nani anahujumu kama watendaji wakuu amesha wateua
Moja ya sifa ya raisi ni kujua kwanini amteue mndali kuwa msaidizi wake mahali Fulani sasa kama hana uwezo wa kujua kwanini ananiteua basi anakuwa na shida mahaliKazi ya Rais ni kuteua na kutengua kila apatapo habari mpya...
Mkuu inawezekana Kiti alicho kalia kinamzidi kwa mamlaka alio nayo hawezi kuhujumiwa kila sikuMabaki ya ukoko wa Mwendazake
Ngoja awafukuze wale Mataga wote halafu tuoneMkuu inawezekana Kiti alicho kalia kinamzidi kwa mamlaka alio nayo hawezi kuhujumiwa kila siku
Wewe ni kada wa CHADEMA.Ngoja awafukuze wale Mataga wote halafu tuone
Msando hakutakiwa kuwa DC Hana maadili na anatabia chafu kwahyo video nchi nadhani hamna vetting, msando kazalilisha familia yake mkewe na watoto pia.Sijui huwa analetewa tu majina halafu anatia saini yake tu halafu anaenda kucheza na wajukuu zake?
Halafu baadaye anaingia kwenye mitandao anasoma maoni ya watu halafu anarudi kutengua na kuteua tena?...
Tusubiri ila tu tunahitaji abadilike bora achukue muda mrefu ili kuepuka mambo ya kuteau na kutenguaNgoja awafukuze wale Mataga wote halafu tuone
Mama atakuwa Raisi Bora sanaTusubiri ila tu tunahitaji abadilike bora achukue muda mrefu ili kuepuka mambo ya kuteau na kutengua
Ubora wa mtu unategemea hisia za mtu mwingneMama atakuwa Raisi Bora sana
Unajifariji!Mama anazidi kusambaratisha Wahuni waliowekwa kwenye safu ya Uongozi na Marehemu Ibilisi.
Na atapokelewa kwa kelele huku akila uteuzi na nyie mkibaki mnadeki barabara kama enzi za EL na NyaranduKuna kila dalili
WEWE NDIYO TAAHIRA HUJASIKIA TAYARI DC KAPEWA MTU MWINGINE?UNADEMKA NA NGOMA SIYO YAKOMambo ya kofia mbili😅😅.
CCM ni matahira. Kwanini hiyo nafasi asingepewa mtu mwingine?
Wivu huu!Pale yuko mlango wa kutoka nje yule heri jemusi.
Muda si mrefu anatenguliwa...
Tuliza kota wewe!Hajui atendalo ANADEMKA TU!
Tumetoka kutawaliwa na Dikteta mbaya sana kwahiyo ni kama tumetolewa kwenye moto na kutiwa kwenye frijiUbora wa mtu unategemea hisia za mtu mwingne
Hisia zikienda tofauti huwezi kuwa bora
Hivyo tunatarajia kuona hisia nyingi zinazo mpa ubora au ukosoaji zaid