Kenya: Hakuna pasu kwa pasu tena, Mahakama imeamua wanandoa wanaoachana kila moja achukue chake au kuonyesha ushahidi wa mchango wa mali ya kugawana.

Kwa sheria hiyo usishangae idafi ya vifo vya wanaume ikazidi kuongezeka. Wanaume watarogwa sana wafe
Tunabadilisha zote, ikiwa watoto wapo wasimamie mali, ikiwa hamna watoto basi Mali zinauzwa/milikiwa na wanafamilia wa mume kwa sababu ndiyo wenye vinasaba naye. Mwanamke abebe yake akaendelee na maisha yake.
 
Mbona huwa ni ivyo ktambo sana Mkuu, wewe mlipe wakili vizuri tu uone kama hakutoi kwenye huo msala.

Tafuta wakili tangu kabla hujaoa sababu ndoa ni mkataba kama mikataba mingine.

Kwenye ndoa unaweza kuwa na mali binafsi na bali za ndoa, na hili lipo kabisa na kuna maamuzi ya Mahakama zetu yamesemea hilo.

Sema tu watu wngi wamefungwa machp na maamuzi kesi ya Bi. HAWA MOHAMMED. Wamegoma kabisa kujifunza zaidi.

Ila all in all inawezekana kabisa Mkuu.
 
Bi. Hawa Mohamed Vs Ally Sefu [emoji2]

Mkuu, uko mkoa gani?
 
Hata partnership zipo hivyo, cha muhimu ni kusaini prenuptial agreement kabla ya ndoa. Ili ukiondoka unaondoka kama ulivyokuja
 
Hakuna sheria katika nchi hii inayosema mkiachana na mke mgawane pasu kwa pasu
 
Hakuna sheria katika nchi hii inayose.a mkiacha na mke mgawane pasu kwa pasu
Kama hakuna why mnashupalia mgawanyo sawa, wa mali, pindi kukitokea matatizo?.

Madawati ya jinsia, ndugu, mahakama, madhehebu mpaka wewe mnasimama kidete watoke pasu!.

Ile sheria ya Kenya nzuri sana yaani, kumbuka mahakama zetu hazina ubavu kufanya hivi ni mpaka wanasiasa waseme, Yes!.
 
Mahakama ipi imewahi sema mke na mume wakiachana lazima wagawane mali pasu kwa pasu!?
 
Sheria za Tanzania zinakubali prenup agreement ? Kama zinakubali, na wewe una wasiwasi siku za mbele basi mnafanya makubaliano kabla ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…