Nimependa maamuzi ya Kenya katika suala hili.Hili ni tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa maamuzi ya Kenya katika suala hili.Hili ni tatizo
Nimeona wako sahihi. Na sisi Tanzania tufanye haraka turekebishe hii sheria.Umekopi maamuzi koti huko kenya
😂😂Amelea vipi familia yote wakati Hana kazi wala biashara?
Nakubaliana na wakenya katika suala hilo. Wako sahihi kabisa kila mtu achukue kilicho halali yake tu. Mambo ya slideshow hakuna.Wale vijana wa mbeleko fc na wazee wa Slideshow kazi imeanza Kenya huko[emoji1787]
Tunabadilisha zote, ikiwa watoto wapo wasimamie mali, ikiwa hamna watoto basi Mali zinauzwa/milikiwa na wanafamilia wa mume kwa sababu ndiyo wenye vinasaba naye. Mwanamke abebe yake akaendelee na maisha yake.Kwa sheria hiyo usishangae idafi ya vifo vya wanaume ikazidi kuongezeka. Wanaume watarogwa sana wafe
Hii sheria itawafanya wanawake waloolewa waheshimu ndoa zao sana.
Bi. Hawa Mohamed Vs Ally Sefu [emoji2]Mbona huwa ni ivyo ktambo sana Mkuu, wewe mlipe wakili vizuri tu uone kama hakutoi kwenye huo msala.
Tafuta wakili tangu kabla hujaoa sababu ndoa ni mkataba kama mikataba mingine.
Kwenye ndoa unaweza kuwa na mali binafsi na bali za ndoa, na hili lipo kabisa na kuna maamuzi ya Mahakama zetu yamesemea hilo.
Sema tu watu wngi wamefungwa machp na maamuzi kesi ya Bi. HAWA MOHAMMED. Wamegoma kabisa kujifunza zaidi.
Ila all in all inawezekana kabisa Mkuu.
hii ndio fair zaidi.
Hata partnership zipo hivyo, cha muhimu ni kusaini prenuptial agreement kabla ya ndoa. Ili ukiondoka unaondoka kama ulivyokujaSheria hii ni kandamizi kwetu sisi wanaume, ikizingatiwa kwamba sisi ujipanga ipasavyo kabla ya ndoa kuliko wenza wetu.
Ndoa ikivunjika Kila mtu aondoke na kilicho chake. Tabia ya wanawake kuvizia mali zetu , wengine wakienda mbali hadi kututoa uhai ilimradi wamiliki mali zetu siyo nzuri kabisa.
Kama mwanamke alikuja na begi lake moja basi ndoa ikivunjika abebe begi lake moja hilo hilo hakuna cha kugawana mali pasu.
Na tena athibitishe kwamba ni begi lake kweli na alikuja nalo.
Kama ni mapenzi/upendo tunafaidi wote, yaani tena yule mwanamke ambaye hujazaa naye ukitoa mbususu hakuna anacho offer zaidi ya kunyonya mali zako tu.
Hii itapunguza migogoro ya kifamilia, tamaa za wanawake kuvizia mali za wanaume wao.
Kama mmezaa pamoja, mali zibaki kwa mwanaume na watoto. Ikiwa hamjazaa pamoja, ndoa ikivunjika abebe alichokuja nacho tu na kuondoka zake.
HAKUNA KUVIZIA MALI ZETU, WANAWAKE NA NYIE JITUMENI MMILIKI ZENU KWANZA, KABLA YA KUJILENGASHA NA KUNYEMELEA MALI ZETU WANAUME.
Kenya tayari wamepitisha hii sheria, Tanzania tunasubiri nini?
Hakuna sheria katika nchi hii inayosema mkiachana na mke mgawane pasu kwa pasuSheria hii ni kandamizi kwetu sisi wanaume, ikizingatiwa kwamba sisi ujipanga ipasavyo kabla ya ndoa kuliko wenza wetu.
Ndoa ikivunjika Kila mtu aondoke na kilicho chake. Tabia ya wanawake kuvizia mali zetu , wengine wakienda mbali hadi kututoa uhai ilimradi wamiliki mali zetu siyo nzuri kabisa.
Kama mwanamke alikuja na begi lake moja basi ndoa ikivunjika abebe begi lake moja hilo hilo hakuna cha kugawana mali pasu.
Na tena athibitishe kwamba ni begi lake kweli na alikuja nalo.
Kama ni mapenzi/upendo tunafaidi wote, yaani tena yule mwanamke ambaye hujazaa naye ukitoa mbususu hakuna anacho offer zaidi ya kunyonya mali zako tu.
Hii itapunguza migogoro ya kifamilia, tamaa za wanawake kuvizia mali za wanaume wao.
Kama mmezaa pamoja, mali zibaki kwa mwanaume na watoto. Ikiwa hamjazaa pamoja, ndoa ikivunjika abebe alichokuja nacho tu na kuondoka zake.
HAKUNA KUVIZIA MALI ZETU, WANAWAKE NA NYIE JITUMENI MMILIKI ZENU KWANZA, KABLA YA KUJILENGASHA NA KUNYEMELEA MALI ZETU WANAUME.
Kenya tayari wamepitisha hii sheria, Tanzania tunasubiri nini?
Kama hakuna why mnashupalia mgawanyo sawa, wa mali, pindi kukitokea matatizo?.Hakuna sheria katika nchi hii inayose.a mkiacha na mke mgawane pasu kwa pasu
Mahakama ipi imewahi sema mke na mume wakiachana lazima wagawane mali pasu kwa pasu!?Kama hakuna why mnashupalia mgawanyo sawa, wa mali, pindi kukitokea matatizo?.
Madawati ya jinsia, ndugu, mahakama, madhehebu mpaka wewenasimama kidete watoke pasu!.
Ile sheria ya Kenya nzuri sana yaani, kumbuka mahakama zetu hazina ubavu kufanya hivi ni mpaka wanasiasa waseme, Yes!.
Sheria za Tanzania zinakubali prenup agreement ? Kama zinakubali, na wewe una wasiwasi siku za mbele basi mnafanya makubaliano kabla ya ndoa.Sheria hii ni kandamizi kwetu sisi wanaume, ikizingatiwa kwamba sisi ujipanga ipasavyo kabla ya ndoa kuliko wenza wetu.