miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Hakua na haja ya kuuza maana hakuna ndoa. Walikua wanapunguziana ugumu tuUmenikumbusha kule iringa jamaa mmoja alichukua demu mmoja ana matako balaa, akaishi nae kama miaka miwili halafu akaamua kumtema, wenzake wakamsanua kuwa akienda mahakamani mnagawana pasu kwa pasu basi jamaa akampanga demu tuuze kila kitu tuhamie dar, nae demu bila kujua akaingia kichwakichwa wakauza kila kitu, halafu jamaa akapotelea kusikojulikana na pesa zote
Mkuu itakuwa kuna afadhali hukoKesho nahamia kenya, naoa huko huko.
Thubutu, unawajua serikali wewe? Ukiishi na mwanamke miezi 6 mfululizo tayari ni mkeoHakua na haja ya kuuza maana hakuna ndoa. Walikua wanapunguziana ugumu tu
Hujachelewa bado, weka mali zako katika asset holding companyTulichelewa sana kuling'amua hili.
Nani alikudanganya hivi?Kumbuka sheria za Tanzania zinasema ukikaa na MTU miezi sita huyo ni mke halali[emoji23][emoji23]
well said, Majizo alifanya hii kabla kujenga ile HQ mpya, japo alitolewa mapovu lakini alicheza sanaMbona huwa ni ivyo ktambo sana Mkuu, wewe mlipe wakili vizuri tu uone kama hakutoi kwenye huo msala.
Tafuta wakili tangu kabla hujaoa sababu ndoa ni mkataba kama mikataba mingine.
Kwenye ndoa unaweza kuwa na mali binafsi na bali za ndoa, na hili lipo kabisa na kuna maamuzi ya Mahakama zetu yamesemea hilo.
Sema tu watu wngi wamefungwa machp na maamuzi kesi ya Bi. HAWA MOHAMMED. Wamegoma kabisa kujifunza zaidi.
Ila all in all inawezekana kabisa Mkuu.
Na wale wanaoua ili wabaki wajane ??Enyi wanawake wenzangu amkeni...chakarikeni msikubali ubwenyenye...ona sasa.
Ila msisahua mwisho unapaswa kuyhibitisha vile ulichangia mali au pato la mwenza.
UmewaZa mbali Sana mkuu,Wanawake siku zote wanakua na plan B.. Na plan B yao ni kwamba kama sheria ya kugawana 50/50 imefutwa basi kifuatacho ni kumuua mwanaume
Anakupa sumu inayosambaa mwilini taratibuUmewaZa mbali Sana mkuu,
Vifo vitakua vingi Sana aisee[emoji848]
Hakuna mke wa hivyo. No conspiracy theories tuAnakupa sumu inayosambaa mwilini taratibu
Hakuna mwanamke wa hivyo Bongo. Ni theories tuWanawake siku zote wanakua na plan B.. Na plan B yao ni kwamba kama sheria ya kugawana 50/50 imefutwa basi kifuatacho ni kumuua mwanaume
Plan B kila mwanadamu anayo. Siyo wanawake pekeeWanawake siku zote wanakua na plan B.. Na plan B yao ni kwamba kama sheria ya kugawana 50/50 imefutwa basi kifuatacho ni kumuua mwanaume
WachagaHakuna mwanamke wa hivyo Bongo. Ni theories tu
Siyo Wachagga wote. Ni waleeee wa zamani napo ni kwa kiwango kidogo sana.Wachaga
Hii ije na Tanzania,watu wanyookeMahakama ya Upeo Nchini Kenya leo Januari 27, 2023 imetoa Uamuzi kuwa Wanandoa wanaoachana hawatagawana Mali nusu kwa nusu (50/50) kama ilivyokuwa awali bali kila Mmoja ataondoka na kitu chake, tena kwa kuonesha ushahidi kuwa ni Mali yake halali.
View attachment 2497963
Uamuzi huo ni Marekebisho ya Ibara ya 45 (3) ya Usawa katika Ndoa. Kila Mwanandoa atatakiwa kuonesha Mchango wake kwenye Mali za Familia.