miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Hakua na haja ya kuuza maana hakuna ndoa. Walikua wanapunguziana ugumu tuUmenikumbusha kule iringa jamaa mmoja alichukua demu mmoja ana matako balaa, akaishi nae kama miaka miwili halafu akaamua kumtema, wenzake wakamsanua kuwa akienda mahakamani mnagawana pasu kwa pasu basi jamaa akampanga demu tuuze kila kitu tuhamie dar, nae demu bila kujua akaingia kichwakichwa wakauza kila kitu, halafu jamaa akapotelea kusikojulikana na pesa zote