Kenya: Hakuna pasu kwa pasu tena, Mahakama imeamua wanandoa wanaoachana kila moja achukue chake au kuonyesha ushahidi wa mchango wa mali ya kugawana.

Kenya: Hakuna pasu kwa pasu tena, Mahakama imeamua wanandoa wanaoachana kila moja achukue chake au kuonyesha ushahidi wa mchango wa mali ya kugawana.

Umenikumbusha kule iringa jamaa mmoja alichukua demu mmoja ana matako balaa, akaishi nae kama miaka miwili halafu akaamua kumtema, wenzake wakamsanua kuwa akienda mahakamani mnagawana pasu kwa pasu basi jamaa akampanga demu tuuze kila kitu tuhamie dar, nae demu bila kujua akaingia kichwakichwa wakauza kila kitu, halafu jamaa akapotelea kusikojulikana na pesa zote
Hakua na haja ya kuuza maana hakuna ndoa. Walikua wanapunguziana ugumu tu
 
Kama hili lina ukweli watu wa kampeni ya Kataa ndoa mnalazimika kuja upya kwa huko Kenya

4706E7CB-9F03-4207-B0BF-9FE1D4BE59B1.jpeg
 
Mbona huwa ni ivyo ktambo sana Mkuu, wewe mlipe wakili vizuri tu uone kama hakutoi kwenye huo msala.

Tafuta wakili tangu kabla hujaoa sababu ndoa ni mkataba kama mikataba mingine.

Kwenye ndoa unaweza kuwa na mali binafsi na bali za ndoa, na hili lipo kabisa na kuna maamuzi ya Mahakama zetu yamesemea hilo.

Sema tu watu wngi wamefungwa machp na maamuzi kesi ya Bi. HAWA MOHAMMED. Wamegoma kabisa kujifunza zaidi.

Ila all in all inawezekana kabisa Mkuu.
well said, Majizo alifanya hii kabla kujenga ile HQ mpya, japo alitolewa mapovu lakini alicheza sana
 
Huku kwetu tungekua nayo HARAKA, kuna MAJAMBAZI ya kike yanaibia sisi kwa mgongo wa ndoa...
 
Wanawake siku zote wanakua na plan B.. Na plan B yao ni kwamba kama sheria ya kugawana 50/50 imefutwa basi kifuatacho ni kumuua mwanaume
 
Enyi wanawake wenzangu amkeni...chakarikeni msikubali ubwenyenye...ona sasa.
Ila msisahua mwisho unapaswa kuyhibitisha vile ulichangia mali au pato la mwenza.
Na wale wanaoua ili wabaki wajane ??

#YNWA
 
Wanawake siku zote wanakua na plan B.. Na plan B yao ni kwamba kama sheria ya kugawana 50/50 imefutwa basi kifuatacho ni kumuua mwanaume
UmewaZa mbali Sana mkuu,
Vifo vitakua vingi Sana aisee[emoji848]
 
Mahakama ya Upeo Nchini Kenya leo Januari 27, 2023 imetoa Uamuzi kuwa Wanandoa wanaoachana hawatagawana Mali nusu kwa nusu (50/50) kama ilivyokuwa awali bali kila Mmoja ataondoka na kitu chake, tena kwa kuonesha ushahidi kuwa ni Mali yake halali.

View attachment 2497963

Uamuzi huo ni Marekebisho ya Ibara ya 45 (3) ya Usawa katika Ndoa. Kila Mwanandoa atatakiwa kuonesha Mchango wake kwenye Mali za Familia.
Hii ije na Tanzania,watu wanyooke
 
Back
Top Bottom