Kenya: Ilikuaje hadi mtu mmoja anaua watu 42 bila polisi kujua?? Je muuaji ni mwerevu kuliko vyombo vya usalama?

SI kweli,huyo wanamuonea tu,Kenya inaongoza kwa biashara ya viungo vya binadamu(Figo na Ovaries),na target kubwa ni wanafunzi wa kike wa Vyuo Vikuu maana wanapenda sana starehe,jana kuna Daktari kakamatwa live kwenye pagale akimtoa Binti Ovaries na ulikuwa mtego maana alitajwa na wenzake waliokamatwa wiki iliyopita,tena Mhusika Mkuu ni Principal wa Chuo mmama na Lectural mmoja anaitwa Dr Macharia,kwa mwenye Bando ingia you tube tafuta Senior Dave loyalty test channel,utaona hilo tukio kuanzia mwanzo Hadi mwisho,na hiyo Principal wa Chuo na Lectural wake wakamtakia live huyo Askari kwamba wampe Rushwa Kenya Tsh.ml 40 akakataa,ni tukio lipo recorded live maana chanzo Cha hayo kujulikana ni mwenye hiyo channel kuwafanyia jamaa mmoja na mpenzi wake loyalty test,Binti akagundua jamaa yake anamsaliti kwa kutembea na WA awake wengine wakati yeye anamfichia Siri biashara ya kuua wadada na kuwatupa kwenye mto,na wakati huohuo akawaambia hata sasa hivi kule kwenye Buti kuna mwili wa mwanafunzi wameuleta hapo mtoni kuutupa,ndio chanzo cha yote hayo kujulikana na kuanza kukamatwa mmoja baada ya mwingine
 
Waulize Chadema wanasemaga kenya Kuna Katiba Mpya ni muarobaini wa Kila kitu
 
Aisee hii habari imebadili kabisa maada
 
Je hakuna taratibu za kuripoti mtu aliyepotea!? Au ni hisia za kujua mwanamke akitoka yupo salama Kwa mwanamume!? Hii haijakaa SAWA, ni dada zetu ni mama zetu, je kuwa simple, kujirahisi Ndio iwe adhabu ni kifo!? Polisi inatakiwa watoe report za hao wote waliopotea pamoja na mhanga wa kwanza mke wake mtuhumiwa
 
Huyu jamaa ni mtu muhimu sana kwa sasa maana ni somo kwenye taaluma zaidi ya tatu na kwakuwa sio matukio yakuzoeleka huku kwetu basi atunzwe vizuri wataaluma wajifunze saikolojia na namna ya kuwabaini waalifu wa mtindo wake kupitia yeye.

Turudi kwenye mada,

Ni rahisi sana kiasi hicho cha raia kupotea na wala jamii isishtuke hasa kwa maeneo ya mijini ambapo unakuta mtu hana watu wa karibu sana zaidi ya marafiki ambao wanaweza kuhisi labda umesafiri au upo kwenye mipambano ya maisha
 

View: https://youtu.be/LLO4bFvk67M?si=b84ObpTFS0h-lM6b
ndio channel unayoongelea hii
 
Kesi za wanawake arubai kutoweka ??
Haonekani kazini
haonekani nyumbani
simu yake haipatikani
nk
mbona siyo rahisi labda uniambia police wakipelekewa mtu kapotea hawafanyii kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…