Kenya imeiacha Tanzania parefu sana kimaendeleo, shida ni nini?

Kenya imeiacha Tanzania parefu sana kimaendeleo, shida ni nini?

Ni Kama sisi enzi za Mkapa na falsafa yake ya ukweli na uwazi, dawa Ni katiba mpya
 
Ndugu unafikiri ni sahihi kuwa na watu au familia chache zikihodhi maelfu ya ekari za ardhi huku raia wengi wa kawaida wakibaki vibarua tu "serfs"?

Hapa Tz wengi hawapendi kuona familia moja kama ya Kenyatta ikimiliki ekari 500,000 za ardhi huku wengine wanasumbuka kupata hata plot ya kulima sukuma tu walishe familia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli ardhi yenu inapendeza lakini kumbuka pia si wakenya tu. Any foreign investor akija kuwekeza, land will be a basic requirement. Sasa akishamaliza kudeal na vikwazo vya work permit anakutana na vikwazo vya ardhi. Kwa nini mnaogopa ku-compete?

Hili jambo nimelifuatilia sana kutoka enzi za kikweete and I think Tanzania will never change on issues of immigration and land ownership so usijali no one will take your land
 
Wao walifuata ubepari tangu uhuru, sisi ujamaa ukatuponza ila tukaongeza undugu. Jingine Kenya Ina wasomi wengi na wanawajibika, hawapigi madili. Blaablaa nyingi kazini huenda na vyeti fake vinatuponza Tz. Ila kama JPM Mungu angemuacha tungewapita Wakenya kiuchumi.
 
Hapo kwenye kilimo mbona umetupiga mkuu,60% ya chakula kenya wanategemea Tanzania,kilimo gani walichotupita wakenya!?
60% u have exaggerated labda kwa vitunguu tu
Our major agricultural commodities ni maize na hizo we prefer to get from Mexico because of unpredictable policies from TZ. Rice we get from Pakistan , Wheat we get from Ukraine

Although I agree, Tanzania has immense potential in Agriculture.
Tukiwekwa one on one apart from Dairy farming, sioni vile a Kenyan farmer can compete with a TZ one on costs. Tanzania u have the capacity for scale kama kule Australia kwanza I understand agricultural machinery ni Zero rated in terms of tax, no import duty. What u need ni investors tu.

Kwa valuable commodities like Palm oil and Sugar Tz, South Sudan ,na DRC congo mko na potential kama kina Malaysia but hizo sekta have not been explored beyond your domestic consumption.

Agriculture has one major weakness though. Kukinyesha everyone has produce kwa hivyo bei zinashuka and vice versa. In the modern era, no economy has developed much kutokana kwa Agriculture.

TZ u now have gas na nafikiri the prices are competitive globally, wacha tuone kama u will use that to help grow manufacturing. Kwanza considering your neighbours ni Resource rich countries like DRC na Zambia na tena hizo hazina ports
 
Hivi tunavyoongea tz ni miongoni mwa nchi 10 zenye uchumi mkubwa afrika kati ya nchi 54 sisi tukiwa namba 9 huku 8 akiwa Ethiopian na 7 kenya. U can imagine from down huko to top ten.
Tanzania haimo top 10 ya nchi zenye uchumi mkubwa Afrika..

Top 10 Richest African Countries by Overall GDP​

  1. Egypt - $1.38 trillion
  2. Nigeria - $1.14 trillion
  3. South Africa - $861.93 billion
  4. Algeria - $532.57 billion
  5. Morocco - $302.77 billion
  6. Ethiopia - $298.57 billion
  7. Kenya - $269.29 billion
  8. Angola - $217.97 billion
  9. Ghana - $193.63 billion
  10. Sudan - $189.87 billion
 
Umeandika pointless tupu,
Hujui sababu za wafanyabiashara kuikimbia bandari ya Dar es Salaam.
Hujui SGR ni mahususi kwa nini na itamalizika lini kufika hizo nchi zote za maziwa makuu.
wewe utakuwa ni nyang'au wa kikuyuland ukisikia sgr ya tz inajengwa unaharisha kwa hofu! Sgr ya kenya haikuifika mwisho kwa ufisadi na deni liko pale pale!


Watz sote tunajua bandari ya Dar ni slowest processing harbour in Africa mizigo ya wateja inacheleweshwa sana kutolewa na wafanyabiashara wengi wakubwa wanaikwepa but hii ni kitu kinarekebishika na tuna ushuru nyingi mno ambazo Chief Hangaya akiamua leo tu uozo wote anautoa bandarini.

Kenya haina uchumi mara mbili wa tz ni kama 1.4 tu too much sifa wakati walio na pesa wengi ni wasomali
 
..tatizo la Watanzanio sio kutokufanya kazi kwa bidii.

..we work as hard as Kenyans, if not harder.

..tofauti kati yetu, na haswa nikiangazia kilimo na ufugaji, ni kutokutumia maarifa na utaalamu wa kisasi.

..ukitaka kulitambua hilo angalia jinsi Wakenya wanavyolima na kufuga ulinganishe na Watanzania.

..Majirani na ndugu zetu wa Kenya wanatumia mbegu bora iwe kwenye kilimo au ufugaji, na mbinu zao ni za kisasa.
Tofauti yetu ni Elimu/exposure kati ya Kenya na Tanzania kuanzia viongozi wa kisiasa hadi raia.
Hapo kwenye Elimu mwingine anaweza kuniuliza ina maana Tanzania hakuna wasomi?
Jibu ni kwamba Tanzania pia wasomi wapo ila wamekosa exposure hii inafanya kudumaza akili na kuishi kwa mazoea.
Mtu aliyeishia high school Kenya anaweza akawa mjanja sana wa kuona mambo na kuchungulia nje ya box kuliko mwenye Graduate Degree wa Tanzania kutokana na kukosa exposure.
Hapa sijui naeleweka
 
Haya ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere
Nafikiri at that time Nyerere alifanya vizuri sana na huo mfumo wake. I wouldn't blame him.Ujamaa ndio the best way ya kufanya nchi iwe stable na kuunganisha jamii. Nyinyi hamna ukabila na makabila yanatumika tu for identity,si discrimination kama hapa Kenya. Kwa hivyo hongera hapo.
Waliokuja baada ya Nyerere kama kina Kikwete should have led you to follow huu mfumo wa ubepari ,as the world was changing ,baada ya Nyerere kuwapa a good social foundation. They did not do that na hapo ndo ninawezakuwakosoa
 
Nafikiri at that time Nyerere alifanya vizuri sana na huo mfumo wake. I wouldn't blame him.Ujamaa ndio the best way ya kufanya nchi iwe stable na kuunganisha jamii. Nyinyi hamna ukabila na makabila yanatumika tu for identity,si discrimination kama hapa Kenya. Kwa hivyo hongera hapo.
Waliokuja baada ya Nyerere kama kina Kikwete should have led you to follow huu mfumo wa ubepari ,as the world was changing ,baada ya Nyerere kuwapa a good social foundation. They did not do that na hapo ndo ninawezakuwakosoa

Sera za Ujamaa bado zipo. Soma ilani ya uchaguzi ya CCM

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU
na ASP na baadae CCM, imejengwa katika misingi ya ujamaa na kujitegemea
inayozingatia utu, usawa na haki. Misingi hii imeimarishwa na siasa safi na
uongozi bora wa CCM na imekuwa ndio nguzo ya kudumisha amani, umoja
na mshikamano wa kitaifa. CCM itaendelea kuzisimamia Serikali zake
kuhakikisha kuwa zinazingatia, kulinda na kudumisha misingi hii adhimu.

 
Tofauti yetu ni Elimu/exposure kati ya Kenya na Tanzania kuanzia viongozi wa kisiasa hadi raia.
Hapo kwenye Elimu mwingine anaweza kuniuliza ina maana Tanzania hakuna wasomi?
Jibu ni kwamba Tanzania pia wasomi wapo ila wamekosa exposure hii inafanya kudumaza akili na kuishi kwa mazoea.
Mtu aliyeishia high school Kenya anaweza akawa mjanja sana wa kuona mambo na kuchungulia nje ya box kuliko mwenye Graduate Degree wa Tanzania kutokana na kukosa exposure.
Hapa sijui naeleweka
 
Back
Top Bottom