Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

Huyo mwanaharakati alijaribu huo upuzi wenu kwenye mikoani yakamkuta...
Ulisikia wapi Kuna mwanaharakati kutoka mikoa yetu? Zaidi ya huko kwenu ndo mnapromote haswa wewe.
 

Msishangae hata kidogo, Hili suala kwa kenya liko kiuchumi zaidi. Wako katika hali mbaya sana kifedha na kiuchumi kwa ujumla. Ndiyo maana kila ngoma inayopigwa na mabeberu, watakuwa wa mwanzo kucheza. Swali langu ni je, unafuu unaotegemewa kutokea utapatikana kwa kupuuza misingi ya utamaduni wenu??
 

Mila za waarabu,upinge usipingwe jamii ya watu wa pwani hiyo michezo wanaifanya sana.
 
Kenya ilikua suala la Muda wanapenda sana misaada. Kama sahivi wanahali ngumu sana kiuchumi lazima wakubali

Nimeami kweli njaa ni mbaya. Hata uwezo wa kufikiri, hata utu wako una kuwa bure. Ina nikumbusha kisa cha Kaini na Abeli, yule kwa sababu ya njaa ya mlo mmoja, akapuuza ile stahili au haki yake ya kuzaliwa wa kwanza.
 
acha uzushi babwabwa we viongozi wenu wa juu wa dini akiwemo papa wenu wanalihalalisha hili na hutujasikia yoyote aliepinga na kauli ya papa huko

Kunatofauti gani kati ya uzinzi na ufiraji??
 
Haya yatakuwa kama vile ni matokeo ya Kenya kuwa na katiba mpya
 
Kwanza hao wapenzi wanatambulika huko Kenya ?

Maana kama haiwatambui wanakuwaje na haki ya kukusanyika!

Ni sawa na kusema machangu wanaweza kukusanyika ili hali hawatambuliki.
 
Naona wanataka kuwa jua ili wawauwe kama yule kijana aliye kuwa model!
Walimkatakata mapanga walahi!
 
Haya mambo ya ushoga huwa naona mnapenda sana kuyafatilia na kutaja taja, mko too obsessed, halafu wengi mnayafanya sana ukanda huo wa kuanzia Tanga, Dar hadi Pemba, huko ambapo dini yenu imetamalaki.
Kabisa mambo ya pwani wanatuletea huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…