Hapana.
Sikubaliani na wewe kwamba hatujawahi kupata uongozi wenye dira miaka zaidi ya 60 toka tupate uhuru.
SBB PRIVATE SECTOR KWAO INA NAFASI KUBWA SANA...Tanzania tuna ardhi nzuri.
.. Pia siasa safi kuliko Kenya.
..Vilevile uongozi bora na wenye dira kuliko Kenya.
..Kwanini wako vizuri ktk viwanda, na sasa wanaelekea kutuzidi kwenye kilimo na hata ufugaji?
NI RAHISI KUPATA NG`OMBE MZURI WA MAZIWA TOKA KENYA KULIKO HAPO KITULO NJOMBE KWENYE SHAMBA LA SERIKALI...Tanzania tuna ardhi nzuri.
.. Pia siasa safi kuliko Kenya.
..Vilevile uongozi bora na wenye dira kuliko Kenya.
..Kwanini wako vizuri ktk viwanda, na sasa wanaelekea kutuzidi kwenye kilimo na hata ufugaji?
LOooo!..Tanzania tuna ardhi nzuri.
.. Pia siasa safi kuliko Kenya.
..Vilevile uongozi bora na wenye dira kuliko Kenya.
..Kwanini wako vizuri ktk viwanda, na sasa wanaelekea kutuzidi kwenye kilimo na hata ufugaji?
NI RAHISI KUPATA NG`OMBE MZURI WA MAZIWA TOKA KENYA KULIKO HAPO KITULO NJOMBE KWENYE SHAMBA LA SERIKALI.
Mkifunga,mipaka avocado mtaoshia kula wenyewe tuHao wananunua tz wanasema wanalima wao. Siku tukifunga mipaka watalia njaa
Tanzania miaka yote,kuna watu fulani hawataki kuwapa fursa wenzao wafanye biashara ya kuexport mazao nk njeKwenye serikali ya kipuuzi inayoendeshwa kisiasa bila usimamizi thabiti tutaendelea kuogelea kwenye janga la umaskini hadi zama za vitukuu vyetu
Kweli kabisa, anaitwa Mwangi Kiunjuri....nakumbuka hizo enzi za 2015 huko wanasiasa wakifanya campaign kwa wakulima wapande avocado...hata zile sehemu za Rift valley waliacha Mahindi wakapanda avocado.Yule Jamaa aliyewahi kuwa waziri wa Kilimo (Mkikuyu, nadhani toka Nyeri, jina limenitoka,Kinyanjui), kabla ya yule Mmeru ambaye kamaliza juzi juzi Munya), alifanya kampeni kubwa sana ya kugawa miche ya parachichi huko Central wakati wa uongozi wake. Ukiacha upendeleo wa eneo moja, kama ilivyo kawaida ya huko, kazi hiyo ilikuwa ni kazi nzuri sana ya kuwasaidia wakulima wadogo wadogo.
Hapa kwetu mawaziri hawajihusishi sana na uhamasishaji wa moja kwa moja na wakulima na kujua na kutatua matatizo yao.
Umeniomba nitoe mfano wa jambo zuri.
Hata kenya migogoro ipoNAWAKUBALI SANA KENYA KWENYE SUALA LA SERA YA KILIMO NA ARDHI, HAPA KWETU MTU ANAWEZA AMKA ASUBUHI NA MGOGORO KICHWANI KWAKE NA AKAKUNYANG`ANYA SHAMBA HIVIHIVI NA BADO SHAMBA HILO LIKABAKI BILA UZALISHAJI.
mfano shamba la kibohehe la kahawa na parachichi mwekezaji alisimamishwa na ole sabaya lililoko wilaya ya hai hadi leo watu wanakata majani ya ngombe usiteteeAcha uzushi, toa mfano hilo shamba lililonyang'anywa baada ya jamaa kuamka asubuhi.
Huku kwetu gunia ni sh 12,000 hadi 20,000 sijui kwenu huko ni sh?Ndio uwongo mnaojiaminisha, kwa taarifa yako elimu ya parachichi ndio imekua dili siku hizi Kenya, binafsi nataka kugeuza shamba langu kijijini lizalishe maparachichi ila kwa kuzingatia kiwango.
Kwani Ina shida gani? Acheni akili za kushikiwa? Umekula vingapi? .Naona mnaosupport GMO Mnazidi kuongezeka
Acha uzushi, toa mfano hilo shamba lililonyang'anywa baada ya jamaa kuamka asubuhi.
Watu hawataki kuachia fursa tunufaike kama taifa bali inabaki kuwa fursa ya familia flani zilizoko kwenye mkono wa mamlaka.Tanzania miaka yote,kuna watu fulani hawataki kuwapa fursa wenzao wafanye biashara ya kuexport mazao nk nje
Kuna watu fulani wanatakaga wao tu waendelee kubakia na wao tu wawe wana export nje
Ova
Na sisi tunajitahi jitahidi, tumeanza mdogo mdogo kule Njombe..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.
..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
Punguza makasiriko hao unaosema masalia ya wazungu wanazalisha ndani ya taifa la Kenya kodi wanalipa Kenya wamewaajiri wakenya fedha za kigeni zinaingia Kenya na Kwa taarifa yako hata mama yetu anazunguka dunia nzima kututafutia watu wa aina hiyo ili waje hapa kwenye ardhi yetu wafanye hayo hayo.Asante sana!
Hawa majuha wengine hupenda kulinganisha mambo bila kutumia hekima!
Hilo shamba la avacado ni la mzungu amaye analima [emoji1139] Kenya kwa cheap labor na anapeleka kwao kuuza na hilo shamba alikuwa nalo miaka takriban 70 na amelirithi kutoka kwa mababu zao, na ndio maana wakulima wa Kenya majority ni watu kutoka nje, na ni tangu ukoloni, unasikia wewe mtoto mdogo na mwenzako huyo mwehu aliyo leta huu uzi [emoji35]
Rome wasn’t built in a day!
Tutafika tu walahi!
Tutajifunza kutoka kwao na tuta fanikiwa tu walahi!
Na sisi tunajitahi jitahidi, tumeanza mdogo mdogo kule NjombeUkweli mchungu kuhusu kilimo cha parachichi Tanzania, hizo mbegu bora ni kutoka Kenya, wataamu wa drip irrigation ya parachichi ni kutoka Kenya, kampuni kiongozi wa pembejeo za kilimo cha parachichi ni Balton Tanzania, imeajiri Wakenya watupu!. Hawa ndio wana manage Africado Kyle Sanya Juu na Rugwe!, Why?, ni kwasababu hatuna Watanzania wenye uwezo huo!. Na tutakapofikia kipindi cha free labour movement ya EAC, hata ile biashara ya usiku ya wale dada zetu, utakuwa taken na manzi wa Nairobi!. Tukisema Watanzania tumelogwa!, mnabisha!.
P
Mara nyingi nikikuona Pasco unachungulia kwenye uzi huwa nakaa mkao wa kusubiri hoja zilizo Shiba.Na sisi tunajitahi jitahidi, tumeanza mdogo mdogo kule NjombeUkweli mchungu kuhusu kilimo cha parachichi Tanzania, hizo mbegu bora ni kutoka Kenya, wataamu wa drip irrigation ya parachichi ni kutoka Kenya, kampuni kiongozi wa pembejeo za kilimo cha parachichi ni Balton Tanzania, imeajiri Wakenya watupu!. Hawa ndio wana manage Africado Kyle Sanya Juu na Rugwe!, Why?, ni kwasababu hatuna Watanzania wenye uwezo huo!. Na tutakapofikia kipindi cha free labour movement ya EAC, hata ile biashara ya usiku ya wale dada zetu, utakuwa taken na manzi wa Nairobi!. Tukisema Watanzania tumelogwa!, mnabisha!.
P