Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

Hapana.
Sikubaliani na wewe kwamba hatujawahi kupata uongozi wenye dira miaka zaidi ya 60 toka tupate uhuru.

..Tanzania tuna ardhi nzuri.

.. Pia siasa safi kuliko Kenya.

..Vilevile uongozi bora na wenye dira kuliko Kenya.

..Kwanini wako vizuri ktk viwanda, na sasa wanaelekea kutuzidi kwenye kilimo na hata ufugaji?
 
SBB PRIVATE SECTOR KWAO INA NAFASI KUBWA SANA.
 
..Tanzania tuna ardhi nzuri.

.. Pia siasa safi kuliko Kenya.

..Vilevile uongozi bora na wenye dira kuliko Kenya.

..Kwanini wako vizuri ktk viwanda, na sasa wanaelekea kutuzidi kwenye kilimo na hata ufugaji?
NI RAHISI KUPATA NG`OMBE MZURI WA MAZIWA TOKA KENYA KULIKO HAPO KITULO NJOMBE KWENYE SHAMBA LA SERIKALI.
 
LOooo!
Sasa unachanganya na utan ndani yakei!

"Siasa safi" iko wapi?

"Uongozi bora" upi?

Wapo vizuri kwenye ufugaji, (Central) na kidogo Rift valley, kwingeko hatutofautiani.

Viwanda? Bia na Simenti, colonial legacy. Hapajabadilika sana
 
NI RAHISI KUPATA NG`OMBE MZURI WA MAZIWA TOKA KENYA KULIKO HAPO KITULO NJOMBE KWENYE SHAMBA LA SERIKALI.

..Kenya wameweza kuzalisha na ku-promote mbegu ya ng'ombe Boran.

..Tanzania tulizalisha mbegu ya ng'ombe Mpwapwa lakini tumeshindwa kuiendeleza.

..Nitaanzisha uzi unaohusu sekta ya ufugaji Kenya vs Tanzania.
 
Kwenye serikali ya kipuuzi inayoendeshwa kisiasa bila usimamizi thabiti tutaendelea kuogelea kwenye janga la umaskini hadi zama za vitukuu vyetu
Tanzania miaka yote,kuna watu fulani hawataki kuwapa fursa wenzao wafanye biashara ya kuexport mazao nk nje
Kuna watu fulani wanatakaga wao tu waendelee kubakia na wao tu wawe wana export nje

Ova
 
Yule Jamaa aliyewahi kuwa waziri wa Kilimo (Mkikuyu, nadhani toka Nyeri, jina limenitoka,Kinyanjui), kabla ya yule Mmeru ambaye kamaliza juzi juzi Munya), alifanya kampeni kubwa sana ya kugawa miche ya parachichi huko Central wakati wa uongozi wake. Ukiacha upendeleo wa eneo moja, kama ilivyo kawaida ya huko, kazi hiyo ilikuwa ni kazi nzuri sana ya kuwasaidia wakulima wadogo wadogo.

Hapa kwetu mawaziri hawajihusishi sana na uhamasishaji wa moja kwa moja na wakulima na kujua na kutatua matatizo yao.
Umeniomba nitoe mfano wa jambo zuri.
Kweli kabisa, anaitwa Mwangi Kiunjuri....nakumbuka hizo enzi za 2015 huko wanasiasa wakifanya campaign kwa wakulima wapande avocado...hata zile sehemu za Rift valley waliacha Mahindi wakapanda avocado.
Na hata kule sehemu za Kajiado, Isinya,Taita watu wanachimba boreholes na kupanda avocado kwa wingi

Nyinyi bongo tayari mna shamba na mvua ya kutosha zile sehemu za Mbeya kwa hivyo hamko pabaya sana, fursa bado zipo.
 
NAWAKUBALI SANA KENYA KWENYE SUALA LA SERA YA KILIMO NA ARDHI, HAPA KWETU MTU ANAWEZA AMKA ASUBUHI NA MGOGORO KICHWANI KWAKE NA AKAKUNYANG`ANYA SHAMBA HIVIHIVI NA BADO SHAMBA HILO LIKABAKI BILA UZALISHAJI.
Hata kenya migogoro ipo
 
Ndio uwongo mnaojiaminisha, kwa taarifa yako elimu ya parachichi ndio imekua dili siku hizi Kenya, binafsi nataka kugeuza shamba langu kijijini lizalishe maparachichi ila kwa kuzingatia kiwango.
Huku kwetu gunia ni sh 12,000 hadi 20,000 sijui kwenu huko ni sh?
 
Acha uzushi, toa mfano hilo shamba lililonyang'anywa baada ya jamaa kuamka asubuhi.

Asante sana!
Hawa majuha wengine hupenda kulinganisha mambo bila kutumia hekima!
Hilo shamba la avacado ni la mzungu amaye analima [emoji1139] Kenya kwa cheap labor na anapeleka kwao kuuza na hilo shamba alikuwa nalo miaka takriban 70 na amelirithi kutoka kwa mababu zao, na ndio maana wakulima wa Kenya majority ni watu kutoka nje, na ni tangu ukoloni, unasikia wewe mtoto mdogo na mwenzako huyo mwehu aliyo leta huu uzi [emoji35]
Rome wasn’t built in a day!
Tutafika tu walahi!
Tutajifunza kutoka kwao na tuta fanikiwa tu walahi!
 
Tanzania miaka yote,kuna watu fulani hawataki kuwapa fursa wenzao wafanye biashara ya kuexport mazao nk nje
Kuna watu fulani wanatakaga wao tu waendelee kubakia na wao tu wawe wana export nje

Ova
Watu hawataki kuachia fursa tunufaike kama taifa bali inabaki kuwa fursa ya familia flani zilizoko kwenye mkono wa mamlaka.
 
..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.

..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.

Na sisi tunajitahi jitahidi, tumeanza mdogo mdogo kule Njombe
Ukweli mchungu kuhusu kilimo cha parachichi Tanzania, hizo mbegu bora ni kutoka Kenya, wataamu wa drip irrigation ya parachichi ni kutoka Kenya, kampuni kiongozi wa pembejeo za kilimo cha parachichi ni Balton Tanzania, imeajiri Wakenya watupu!. Hawa ndio wana manage Africado Kyle Sanya Juu na Rugwe!, Why?, ni kwasababu hatuna Watanzania wenye uwezo huo!. Na tutakapofikia kipindi cha free labour movement ya EAC, hata ile biashara ya usiku ya wale dada zetu, utakuwa taken na manzi wa Nairobi!. Tukisema Watanzania tumelogwa!, mnabisha!.
P
 
Asante sana!
Hawa majuha wengine hupenda kulinganisha mambo bila kutumia hekima!
Hilo shamba la avacado ni la mzungu amaye analima [emoji1139] Kenya kwa cheap labor na anapeleka kwao kuuza na hilo shamba alikuwa nalo miaka takriban 70 na amelirithi kutoka kwa mababu zao, na ndio maana wakulima wa Kenya majority ni watu kutoka nje, na ni tangu ukoloni, unasikia wewe mtoto mdogo na mwenzako huyo mwehu aliyo leta huu uzi [emoji35]
Rome wasn’t built in a day!
Tutafika tu walahi!
Tutajifunza kutoka kwao na tuta fanikiwa tu walahi!
Punguza makasiriko hao unaosema masalia ya wazungu wanazalisha ndani ya taifa la Kenya kodi wanalipa Kenya wamewaajiri wakenya fedha za kigeni zinaingia Kenya na Kwa taarifa yako hata mama yetu anazunguka dunia nzima kututafutia watu wa aina hiyo ili waje hapa kwenye ardhi yetu wafanye hayo hayo.

Kwa hiyo badala ya kurukaruka tuishauri serikali iimarishe sera zake za kilimo cha mbogamboga matunda na maua ili siku moja hii secta iweze kuvutia wawekezaji wakubwa.

Duniani kote huwezi kuwa giant kwenye kilimo bila kutumia wakulima wakubwa. Na wakulima wakubwa hawawezi kupeleka mitaji yao mahali ambapo sera hazivutii wala kutabirika.
 
JokaKuu
Nje ya mada, itakuwa vizuri vilevile kujadili juu nazi, uanzishaji wa mashamba mapya ya minazi.

Bei ya nazi sasa hivi inatisha, na ni kiungo kikubwa kwa wakaazi wote wa Pwani.

Zaidi ya kuboresha kilimo cha maparachichi, nini kifanyike kukuza kilimo cha minazi!
 
Na sisi tunajitahi jitahidi, tumeanza mdogo mdogo kule Njombe
Ukweli mchungu kuhusu kilimo cha parachichi Tanzania, hizo mbegu bora ni kutoka Kenya, wataamu wa drip irrigation ya parachichi ni kutoka Kenya, kampuni kiongozi wa pembejeo za kilimo cha parachichi ni Balton Tanzania, imeajiri Wakenya watupu!. Hawa ndio wana manage Africado Kyle Sanya Juu na Rugwe!, Why?, ni kwasababu hatuna Watanzania wenye uwezo huo!. Na tutakapofikia kipindi cha free labour movement ya EAC, hata ile biashara ya usiku ya wale dada zetu, utakuwa taken na manzi wa Nairobi!. Tukisema Watanzania tumelogwa!, mnabisha!.
P

Nimecheka sana kaka Pascal Mayalla hapo ulivyohitimisha kwamba manzi wa Nairobi watakuja kuteka soko la biashara za usiku huko Bongo.
 
Na sisi tunajitahi jitahidi, tumeanza mdogo mdogo kule Njombe
Ukweli mchungu kuhusu kilimo cha parachichi Tanzania, hizo mbegu bora ni kutoka Kenya, wataamu wa drip irrigation ya parachichi ni kutoka Kenya, kampuni kiongozi wa pembejeo za kilimo cha parachichi ni Balton Tanzania, imeajiri Wakenya watupu!. Hawa ndio wana manage Africado Kyle Sanya Juu na Rugwe!, Why?, ni kwasababu hatuna Watanzania wenye uwezo huo!. Na tutakapofikia kipindi cha free labour movement ya EAC, hata ile biashara ya usiku ya wale dada zetu, utakuwa taken na manzi wa Nairobi!. Tukisema Watanzania tumelogwa!, mnabisha!.
P

Mara nyingi nikikuona Pasco unachungulia kwenye uzi huwa nakaa mkao wa kusubiri hoja zilizo Shiba.

Naomba kama ukiweza badala ya kueleza hiki ulichoweka hapa hebu ipe maoni yako serikali unashauri nn kifanyike ili tuondokane na huu unyonge mbele ya hawa jirani zetu.
Kama mtanzania wa kawaida ninayeipenda nchi yangu na sina namna nikawa mkenya maana nimezaliwa mtanzania naumia sana kuona tunakuwa wasindikizaji kwenye kila jambo.

Maana jamaa wametupiga hadi kwenye siasa jamaaa wana vyama vya upinzani imara kuliko sisi.
 
Back
Top Bottom