Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

NAWAKUBALI SANA KENYA KWENYE SUALA LA SERA YA KILIMO NA ARDHI, HAPA KWETU MTU ANAWEZA AMKA ASUBUHI NA MGOGORO KICHWANI KWAKE NA AKAKUNYANG`ANYA SHAMBA HIVIHIVI NA BADO SHAMBA HILO LIKABAKI BILA UZALISHAJI.
Anayelima avocado ni individuals au ccm?

Hakuna anayepangiwa na ccm kulima au kupiga domo
 
Mnaopenda kusifia Sifia Kenya si mhamia huko huko tu mkawe Raia ya Kenya

Kwann mteseke Tanzania ambako kilimo ni tia maji tia maji

Kama Kenya Wana sera nzuri ya kilimo kwann basi msiende huko kuwekeza mjikwamue kiuchumi kuliko kulia lia hapa.

It is too much bored
 
deo hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
Not so fast.

Siwezi kuwatetea CCM hata kidogo, lakini hapo hapo sikubaliani nawe kuhusu kujifunza kilimo huko..

Unajua Kakuzi ni ya nani, na imekuwepo hapo tangu lini?
Hayo ni matokeo ya makubaliano aliyolazimishwa kuyafanya Kenyatta wakati akiwa mfungwa, kwa masharti ya kuachiwa na kupewa uongozi wa nchi hiyo.
Mwalimu Nyerere asingekubali masharti hayo.

'Biggest Exporter', elewa humo humo yamo na ya Tanzania kwa hisani ya CCM ya leo.

Naona mambo ya Kenya yanakupofusha akili sana. Sijui ni sababu ya lugha ya Kiingereza, au vipi?

Kiswahili chetu ni lugha adhimu sana.
 
Watushinde, watulishe haijalishi
Naafikiana kuhusu matumizi ya GMO- Hayafai.

Sisi tunawashinda kwa mbuga kubwa, Mlima mrefu na Siasa! Kha!
Wakianza kuzaa watoto wana vichwa kama parachichi, tutataka ushindani kweli?
 
Not so fast.

Siwezi kuwatetea CCM hata kidogo, lakini hapo hapo sikubaliani nawe kuhusu kujifunza kilimo huko..

Unajua Kakuzi ni ya nani, na imekuwepo hapo tangu lini?
Hayo ni matokeo ya makubaliano aliyolazimishwa kuyafanya Kenyatta wakati akiwa mfungwa, kwa masharti ya kuachiwa na kupewa uongozi wa nchi hiyo.
Mwalimu Nyerere asingekubali masharti hayo.

'Biggest Exporter', elewa humo humo yamo na ya Tanzania kwa hisani ya CCM ya leo.

Naona mambo ya Kenya yanakupofusha akili sana. Sijui ni sababu ya lugha ya Kiingereza, au vipi?

Kiswahili chetu ni lugha adhimu sana.

..tuko hapa kuelimishana.

..naamini wasomaji na wachangiaji watapenda kusikia toka kwako kuhusu Kakuzi.

..tueleze mahusiano yake na Uhuru Kenyatta na masharti unayosema aliwekewa.

..hili ni jukwaa huru, karibu.
 
..naona Kakuzi imekuletea ukakasi kidogo.

..msikilize muwasilishaji wa karakuta farm.

..kuna mambo mazuri ambayo Watanzania tunaweza kuyaiga.

Sijasema Uhuru Kenyatta; na sikumbuki huyu kuwahi kuwa gerezani.

Kakuzi ni Kampuni ya Kiingereza ambayo imekuwepo Kenya tokea ukoloni, ni mabaki ya 'settlers'.

Hawa ma'settlers' waliwekewa kinga na serikali ya Uingereza (nyumbani kwao) wasinyang'anywe ardhi waliyokuwa wamehodhi; kwa hiyo hapakuwa na ardhi ya kuwapa waafrika (squaters) baada ya uhuru kupatikana.

Na hata pesa iliyokuwa imetolewa kwa ajili ya kununua mashamba ya 'settlers' waliokuwa wamekubali kuuza ardhi, badala ya kununua ardhi hiyo na kuwagawia waafrika ambao hawakuwa na kitu, viongozi wachache (kama akina Kenyatta, Moi, na wengine wakagawiana kinyemela.

Kakuzi ni masalia ya 'settlers', kama walivyo wenye mashamba ya chai na maua.

Tanzania akina Lonro tuliwakataa.
 
Sijasema hakuna mazuri tunayoweza kuyatumia hapa, hata kama ni kwa kuyabadili kidogo kulingana na hali yetu ilivyo. Si lazima kubeba tu.
Na hapo hapo pia elewa kuwa kuna mazuri yanayofanyika hapa pia, pamoja na ubovu wa CCM yetu.
Vinginevyo tusingeweza kuwauzia mazao yanayopatikana hapa.
 
..samahani nilikuelewa vibaya, nilidhani umemaanisha Uhuru, kumbe wewe umemaanisha Jomo Kenyatta.

..maelezo yako ni kwamba Kakuzi ina makandokando ya ukoloni au unyonyaji wa mtu mweupe dhidi ya Muafrika wa Kenya.

..ukiondoa hayo makandokando ya kihistoria, je, ni mambo gani mazuri tunaweza kuyaiga ili kuboresha sekta ya Parachichi hapa Tanzania?
 
..kaka Ccm inatuchelewesha.

..inatufanya tuwe wasindikizaji wakati tunaweza kuwa viongozi.
 
Mnaopenda kusifia Sifia Kenya si mhamia huko huko tu mkawe Raia ya Kenya

Kwann mteseke Tanzania ambako kilimo ni tia maji tia maji

Kama Kenya Wana sera nzuri ya kilimo kwann basi msiende huko kuwekeza mjikwamue kiuchumi kuliko kulia lia hapa.

It is too much bored

..Tanzania ni nchi yetu na tunapenda iwe ktk nafasi ya juu zaidi.
 
..samahani nilikuelewa vibaya, nilidhani umemaanisha Uhuru, kumbe wewe umemaanisha Jomo Kenyatta.

..maelezo yako ni kwamba Kakuzi ina makandokando ya ukoloni au unyonyaji wa mtu mweupe dhidi ya Muafrika wa Kenya.

..ukiondoa hayo makandokando ya kihistoria, je, ni mambo gani mazuri tunaweza kuyaiga ili kuboresha sekta ya Parachichi hapa Tanzania?
Yule Jamaa aliyewahi kuwa waziri wa Kilimo (Mkikuyu, nadhani toka Nyeri, jina limenitoka,Kinyanjui), kabla ya yule Mmeru ambaye kamaliza juzi juzi Munya), alifanya kampeni kubwa sana ya kugawa miche ya parachichi huko Central wakati wa uongozi wake. Ukiacha upendeleo wa eneo moja, kama ilivyo kawaida ya huko, kazi hiyo ilikuwa ni kazi nzuri sana ya kuwasaidia wakulima wadogo wadogo.

Hapa kwetu mawaziri hawajihusishi sana na uhamasishaji wa moja kwa moja na wakulima na kujua na kutatua matatizo yao.
Umeniomba nitoe mfano wa jambo zuri.
 
..kaka Ccm inatuchelewesha.

..inatufanya tuwe wasindikizaji wakati tunaweza kuwa viongozi.
Na ninakuhakikishia, Kenya wanayo hofu kubwa sana, siku moja tukipata uongozi wenye dira sahihi. Wanajua majivuno yao ya kuwa kinara katika eneo hili yatafikia kikomo
 
..huo uongozi tutaupata lini, kama tumeshindwa kuupata miaka zaidi ya 60 toka tupate uhuru?

..Wakenya kuwa na hofu ndio inawasaidia kujiongeza, sisi tumebweteka na Ccm yetu.
 
Hapana.
Sikubaliani na wewe kwamba hatujawahi kupata uongozi wenye dira miaka zaidi ya 60 toka tupate uhuru.
 
Tusishangae sana kwa wakenya kuwa ahead of us in so many things, kwanza wana sera nzuri kama mleta mada alivo sema ,lakin pili settlers agriculture ilifanyika kwao kipind cha ukoloni ko vile vi element mpaka Leo wanavyo regarding to big plantation. Japo hatupaswi kuwa nyuma kwa sababu tajwa ukizingatia sasa ivi technology inaweza mfikia kila mtu kwa wakati na tukaweza shindana
 
Back
Top Bottom