EeenHeeee!
Hivi unajua ulichoandika hapo?
"Wakigoma"? kwani walipoweka ngumu kuhusu mahindi yetu kuwa na 'aflatoxin' hawakuwa wamegoma? Na hiyo ilikuwa siyo mara ya kwanza, au haya mambo wewe huyajui!
Soko hawana wao pekee yao kiasi kwamba wakigoma hatuwezi kuuza bidhaa zetu kwingineko, kama wao wanavyoweza kwenda kwingine, wakitaka.
Unajua wakulima walichopitia baada ya wao kugoma? Gunia la mahindi kwa tshs 30,000? Acheni mentality za ushindani wa chandimu usio na faida yoyote zaidi ya hasara. Wenye busara waliona ni tatizo ndio maana wakakaa mezani. Sasa wewe naona una vielements vya kujiboast kama vile unaweza kuthrive kiuchumi bila win win situation ya kibiashara baina ya nchi jirani.EeenHeeee!