Mbwilimbwili
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 183
- 282
kauli yako ni sawa useme timu pinzani inatuzidi kufunga tuu na sio kupiga pasiWanachotuzidi ni ujanja tu wa biashara (lobby) na sio kulima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kauli yako ni sawa useme timu pinzani inatuzidi kufunga tuu na sio kupiga pasiWanachotuzidi ni ujanja tu wa biashara (lobby) na sio kulima.
Sikumbuki kama jamaa aliamka tu asubuhi akaamua kulifungia.Kuna lile la mbowe lililofyekwa mazao ya chakula, mboga mboga n.k. unalikumbuka?
Acha uzushi, toa mfano hilo shamba lililonyang'anywa baada ya jamaa kuamka asubuhi.
Binuka nikubamize.Ukimaliza cku zako unatakiwa kwanza kuoga kabla ya kuja jukwaani
Mambo wanayoyaweza watz ni:
1. Uzinzi
2. Uchawi
3. Majungu, wivu fitina na roho mbaya basi
tatizo lako unamahaba amboyo yanakufanya ubishe vitu vipo adharani panda gari nenda hai shuka kwa sadala tembelea shamba la kibohehe ujuonee mwenyewe picha za nini nchi yetu sote tumecheza chipukizi tumeimba nyimbo za kusifu chama pendwa sana hata kuliko wewe ila kama wanateleza kubalini kukosolewa na pia mjirekebishe mwekezaji alikuwa anaingiza watu 1000kwa siku kwa 5000per day unadhani zilikuwa zinapona kaya ngapi pale alikuwa ameandaa heka 1000za parachichi unadhani leo hii tungekuwa tunapata kodi shilingi ngapi kisa walishindwana mkuu wa wilaya eti kumkomoa mbowe shame on you
Binuka nikubamize.
Hao hao ndio wauza ngadaHamna lolote,wenzenu serikali yao inawatafutia watu wao fursa za masoko ya nje
Ehe tz je,wanaofanya export ni wachache sana na hao hao kila kukicha ndy wanataka wawe mabilionea....
Ova
Hiyo ndio diplomasia ya DK.Samia Sasa...Ni kama tumeamka toka USINGIZI mzito.
..wakati Tanzania tunasaini mkataba wa kupeleka Avocado China, ndugu zetu wa Kenya walishakuwa huko kitambo.
..Na ktk miezi minne mauzo ya Avocado yao China yana thamani ya usd 57 million.
.
![]()
Avocado exports to China earn Kenya Sh7bn in three months
The country earned Sh6 billion from avocado exports to China between January and July, according to the horticulture regulator.www.businessdailyafrica.com
Hiyo ndio diplomasia ya DK.Samia Sasa.
Hawana namna lazima wamtaje Rais...ndio tatizo letu Watanzania.
..tunaabudu wanasiasa na Raisi kupita kiasi.
..Kenya kwenye mambo yao ya biashara, kilimo, ufugaji, utalii, huwezi kuwasikia wanamtaja-taja na kumtukuza Raisi wao.
..Kwa hapa Tanzania, mfanyabiashara, au mkulima, akizungumza sentensi tatu, moja atamtukuza raisi au mwanasiasa.
..Tubadilike KIFIKRA.
Hawana namna lazima wamtaje Rais.
Matunda ya diplomasia
Walishamtukuza walipopata hiyo fursa,uwe unafuatilia hotuba za ma hasla basi..mbona Kenya hawamtukuzi Raisi wao kama tunavyofanya Tanzania?
..mpaka Kenya wanauza avocado China unadhani hakukuwa na juhudi za kidiplomasia?
..Ni suala la kujiamini na kujitambua. Watanzania tunapaswa kubadilika KIFIKRA.
..Naomba usinitoe kwenye mada.
Walishamtukuza walipopata hiyo fursa,uwe unafuatilia hotuba za ma hasla basi
Binuka nikubamize.Ww hujawahi na hutowahi kuwa na akili
..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.
..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.