Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Safari ipi hiyo ?! Ya kung'ang'ania kubaki ktk ujinga ?!. Tukubali kushindana na hii ni kama hatutaki tena malalamiko, ya kuwa wanyonge kwa waUganda na waKenya, ktk lolote ikiwemo viwanda na utalii na miundombinu.Mkuu odhiambo safari ndio ishawadia hiyo,kua mpole
Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini
Msome tena mtoa mada, utamuelewa vizuri.Hofu yako ni kuachwa nyuma .
Je waTz walioenda kufundisha kiswahili pote ulimwenguni nao watiwe msukosuko ?!.
Tukubali shule zetu za serikali zima mapungufu kwa kiwango Kikubwa kulinganisha na shule za binafsi.
Kwa hiyo na wewe unaunga mkono kwamba hiyo 10% iliyobaki ambayo ni ya wageni ni majasusi?
Mkuu unachosema hakina ukweli, mm ni mwalimu kwenye shule kubwa na bora mkoa wa Pwani, tupo Watanzania na wageni pia, sijaona kubwa wanalofanya kutuzidi zaidi ya unyenyekevu na kujipendekeza kwa wakuu kwasababu wengi wanaishi bila vibali.Kifupi hii hoja ni sehemu ya mkakati uliopo wa kudhoofisha zaidi shule za binafsi maana ndizo zenye walimu wengi waliotoka katika hizo nchi zilizotajwa. Na bado.
Odhiambo.. Nimelielewa jina lakoSafari ipi hiyo ?! Ya kung'ang'ania kubaki ktk ujinga ?!. Tukubali kushindana na hii ni kama hatutaki tena malalamiko, ya kuwa wanyonge kwa waUganda na waKenya, ktk lolote ikiwemo viwanda na utalii na miundombinu.
Lakini hili la mtu kushindwa interview dhidi ya hao jamaa, halafu anakimbilia Tiss kudai ni majasusi haitaisaidia nchi.
Ndo umejua hilo Leo?Mbona wengine tayari wana vitambulisho vya uraia?na washajiita Watz sasa.Ni suala la muda tuNaikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini
Kumbe kinachoongelewa hapa ni chuki Si vinginevyoOh hujanipa! Inaelekea ''unaelewa'' kwanza ndiyo unasoma baadae.Nimesema hivi: mwka 2015 kulikuwa na wakenya wengi wako Tanzania kwa shughuli za dini n.k halafu wakageuka wapiga debe wa Lowassa. i.e. kumfanyia kampeni wakati wao siyo raia na hawaruhusiwi!
Rudisha Tarime/Rorya yote Kenya kama una jeuri [emoji23] [emoji12]Odhiambo.. Nimelielewa jina lako
Tanzania Raha Kila mtu ni mpelelezi.Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini
na umbea piaTanzania Raha Kila mtu ni mpelelezi.
Ok; wamekusikia: unauhakika hatujui kiingereza?Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini