Tetesi: Kenya na Uganda zinapenyeza majasusi kupitia shule za binafsi Tanzania

Mkuu odhiambo safari ndio ishawadia hiyo,kua mpole
Safari ipi hiyo ?! Ya kung'ang'ania kubaki ktk ujinga ?!. Tukubali kushindana na hii ni kama hatutaki tena malalamiko, ya kuwa wanyonge kwa waUganda na waKenya, ktk lolote ikiwemo viwanda na utalii na miundombinu.

Lakini hili la mtu kushindwa interview dhidi ya hao jamaa, halafu anakimbilia Tiss kudai ni majasusi haitaisaidia nchi.
 
Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini

Unaishi karne gani wewe mtu? Una kitu gani cha kuficha kwenye ulimwengu huu wa digital hadi atumwe mtu personally -tena mwalimu- ndipo kijulikane? And of all countries, Uganda na Kenya waifanyie ujasusi Tanzania ili iweje?
Watu kama nyie ndio mnaotutukanisha Watanzania hadi wengine wanatuchukulia kuwa wote ni mbumbumbu.
 
Kifupi hii hoja ni sehemu ya mkakati uliopo wa kudhoofisha zaidi shule za binafsi maana ndizo zenye walimu wengi waliotoka katika hizo nchi zilizotajwa. Na bado.
Mkuu unachosema hakina ukweli, mm ni mwalimu kwenye shule kubwa na bora mkoa wa Pwani, tupo Watanzania na wageni pia, sijaona kubwa wanalofanya kutuzidi zaidi ya unyenyekevu na kujipendekeza kwa wakuu kwasababu wengi wanaishi bila vibali.
Swala la Episonage sijui lakin wao sio bora kuliko Sisi.
 
Safari ipi hiyo ?! Ya kung'ang'ania kubaki ktk ujinga ?!. Tukubali kushindana na hii ni kama hatutaki tena malalamiko, ya kuwa wanyonge kwa waUganda na waKenya, ktk lolote ikiwemo viwanda na utalii na miundombinu.

Lakini hili la mtu kushindwa interview dhidi ya hao jamaa, halafu anakimbilia Tiss kudai ni majasusi haitaisaidia nchi.
Odhiambo.. Nimelielewa jina lako
 
Pia sector ya utalii ni sehemu ingine wakenya wamepenyezwa hasa Zanzibar.
 
Wewe ndo
Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini
Ndo umejua hilo Leo?Mbona wengine tayari wana vitambulisho vya uraia?na washajiita Watz sasa.Ni suala la muda tu
 
Oh hujanipa! Inaelekea ''unaelewa'' kwanza ndiyo unasoma baadae.Nimesema hivi: mwka 2015 kulikuwa na wakenya wengi wako Tanzania kwa shughuli za dini n.k halafu wakageuka wapiga debe wa Lowassa. i.e. kumfanyia kampeni wakati wao siyo raia na hawaruhusiwi!
Kumbe kinachoongelewa hapa ni chuki Si vinginevyo
 
dah watz wanapenda kuspy mataifa jirani ila wao hawapendi kufanyiwa uspy nakumbuka mwaka flan waliifanyia ujasusi wa hali ya juu state jirani mpaka kumuweka raisi wanaomtaka wao
 
Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini
Tanzania Raha Kila mtu ni mpelelezi.
 
TISS wako jirani yako hebu onana nao wape hints hizo ili wahusika wafuatiliwe - kwingineko ufuatiliaji utafanyika
 
Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini
Ok; wamekusikia: unauhakika hatujui kiingereza?
 
KWA SASA TUNAO WAALIMU WA KUTOSHA SANA WAMETOKA VYUONI. HAKUNA HAJA YA KUWA NA WAALIMU KUTOKA NJE WA SEKONDARI NA MSINGI......
 
Back
Top Bottom