mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kiongozi.ni vizuri wananchi tukakaa pembeni tuwaachie viongozi bifu lao.ugomvi wao wanataka kutuingiza na sisi.magufuli yupo na odinga.Magufuli dhaifu kuna biashara nyingi ambazo tunaweza kuwabana makende Kenya bila kuwa na athari! Fungia KQ na mabenki yao kwanza halafu tuone..
Kenyata anachukia ndo unaona yote haya.