Kenya yazuia Unga wa ngano na Gas ya kupikia toka Tanzania

Kenya yazuia Unga wa ngano na Gas ya kupikia toka Tanzania

Magufuli dhaifu kuna biashara nyingi ambazo tunaweza kuwabana makende Kenya bila kuwa na athari! Fungia KQ na mabenki yao kwanza halafu tuone..
Kiongozi.ni vizuri wananchi tukakaa pembeni tuwaachie viongozi bifu lao.ugomvi wao wanataka kutuingiza na sisi.magufuli yupo na odinga.
Kenyata anachukia ndo unaona yote haya.
 
Nimesoma na Wakenya na nimefanya nao kazi. Duuuuu, shetani wa roho mbaya alianzia kwao. Wana roho zaidi ya sumu. Huku mitaani tunao wengi sana na wanaishi bila vibali lakini ingelikua kwao haaaaaaaa! Tutafute masoko kwingine nchi zipo nyingi sana tupeleke bidhaa huko. EAC yenye wakenya haiwezekani ipo siku mtanambia tena.
 
In Kenya's defense mkataba wa kuanzishwa soko la pamoja la EAC una kipengele kinachoruhusu nchi yoyote ile kuzuia uingizwaji wa bidhaa yoyote ile kutoka kwa nchi mwanachama endapo itatoa sababu nzuri za kufanya hivyo.
Swali langu, je ni sababu zipi ambazo Kenya wanazo za kufanya hivi?
Wajue tu wakicheza foul wasitegemee fair game from us!
 
Tusowalaumu sana wakenya ni juzi tu hapa tulipiga marufuku nafaka Kuingia kwao naona wametujibu
 
Tuna sababu za kuzuia bidhaa ZOTE za Kenya kutokuingia Tanzania hii ni hatua ya mwanzo kabisa hatua ya pili ni kuwatimua raia WOTE wa Kenya hata wale wanaofanya kazi makao makuu ya EA Jijini Arusha bila kumsahau Balozi wao aliyeko Jijini Dar.

Hatua ya Mwisho ni kufunga mipaka yote na Kenya na kuamrisha Ndege zao ZOTE kutokuruka anga la Tanzania.

Natumaina Rais Magufuli atazingatia ushauri wangu bila kuchelewa.
Tusiwe na tabia kama za waarabu
 
Kwani nimejifunga kamba!???!?ati we nyang'au!??haya wewe nenda ukatage kama siyo kutotoa
hehehee..you are back!!!!! do you need a tampon or what?am really concerned cz it seems like aunt flo is in town...
 
Wakenya na ngano wapi na wapi kwanza kupika mapishi ya kutumia ngano amjui hiyo serikali imezuia ngano ila na sisi tuta zuia mahindi siku mkipungukiwa mana mnapenda ugali
Km kuna nchi unga wa ngano unaliwa ni Kenya... Niliwahi fika mji mdogo wa narok, wanapika chapati sijawahi ona popote, ukila chapati moja tu ni mlo kamili kwa jinsi ilivyo kubwa
 
Tutawanyoosha we subiri tu. Nahapo ndio watakapojua kwamba giant Wa east Africa ni nani
 
In Kenya's defense mkataba wa kuanzishwa soko la pamoja la EAC una kipengele kinachoruhusu nchi yoyote ile kuzuia uingizwaji wa bidhaa yoyote ile kutoka kwa nchi mwanachama endapo itatoa sababu nzuri za kufanya hivyo.
Swali langu, je ni sababu zipi ambazo Kenya wanazo za kufanya hivi?
Wajue tu wakicheza foul wasitegemee fair game from us!
Isnt a member country entitled to do this in case it is experiencing a glut of a particular product in its market?

Kenya's grain production rebounds

Wheat imports banned, prices raise to protect local farmers

I tried to explain this in the past pages but got called "shoga" by that surly and Kenyaphobic character by the name Annael.

Would it make sense if we were selling to u maize at time when u are having good harvests and little market for your produce?

Ours was not intended to undermine Tanzania. I know that we are currently not in good terms, but things havent gotten to that level, it shouldnt.

Why all the war- cry and Kenya bashing here?
 
Hawa wakenya ni watu wenye roho mbaya sana kama mlikuwa hamjui.Wao wana bidhaa kibao huku na pia wako wengi na hawana vibali.Sasa wewe nenda kwao utarudi na jibu

Bidhaa zenu fake
 
Consequently we are going to ban all goods from Kenya to enter into our country... Am sure with this, all of your factories are going to collapse...
Kwa hilo haliwezekan hata kidogo maana sisi tunchukua vitu vingi Sana Kenya mpaka pipi kuuza tz.
So kwa hilo waathirika wakubwa n Tanzania wale wamipakani
 
Magufuli dhaifu kuna biashara nyingi ambazo tunaweza kuwabana makende Kenya bila kuwa na athari! Fungia KQ na mabenki yao kwanza halafu tuone..
Nenda pale mpakani Tarakea muda huu uone msururu wa malori ya viazi yakimiminika Tanzania. Sasa hivi ni msimu wa viazi vya rongai lakini shida kushindana na hivyo vya kenya ila kwa kuwa ni makubaliano ya jumuiya wananchi wanakubali tu hivyo hivyo.
 
Kwa hilo haliwezekan hata kidogo maana sisi tunchukua vitu vingi Sana Kenya mpaka pipi kuuza tz.
So kwa hilo waathirika wakubwa n Tanzania wale wamipakani
Mawazo yako.
 
Isnt a member country entitled to do this in case it is experiencing a glut of a particular product in its market?

Kenya's grain production rebounds

Wheat imports banned, prices raise to protect local farmers

I tried to explain this in the past pages but got called "shoga" by that surly and Kenyaphobic character by the name Annael.

Would it make sense if we were selling to u maize at time when u are having good harvests and little market for your produce?

Ours was not intended to undermine Tanzania. I know that we are currently not in good terms, but things havent gotten to that level, it shouldnt.

Why all the war- cry and Kenya bashing here?
Acha kulia lia, jililieni nyie wakenya na watoto wenu Tz is in other level. Utaelewa tu wewe tulia.
 
Nimesoma na Wakenya na nimefanya nao kazi. Duuuuu, shetani wa roho mbaya alianzia kwao. Wana roho zaidi ya sumu. Huku mitaani tunao wengi sana na wanaishi bila vibali lakini ingelikua kwao haaaaaaaa! Tutafute masoko kwingine nchi zipo nyingi sana tupeleke bidhaa huko. EAC yenye wakenya haiwezekani ipo siku mtanambia tena.

Propaganda za chuki hizi....
 
Kuna bidhaa ambazo Kenya wanatengeneza vizuri kuliko sisi
 
Back
Top Bottom