Kenyans clash with Tanzanian police after businessman is abducted.

Dar express, Tahemeed, Dar lux, saibaba. Zote zimefanya safari

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah wapi, baadhi ya basi walizipark Kitengela Police Station jana, tena mapema sana kwa uoga kwamba yatavamiwa barabarani na vijana wenye hasira pale Kajiado town kilomita 25 hivi kutoka Namanga. Yaani unabisha ukiwa huko huko Manzese?
 
Kweli wewe ni moja ya mashoga mombosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Fungua uzi ulete hizi taarifa kama unazo ili kupooza, bure tutatoana macho humu.
 
Watanzania na Wakenya tuache kukuza aina hii za magomvi. Athari zake kwa siku zinavyokuja ni kubwa sana.

Mbona hatujiulizi kwa nini Sirari hatusikii mambo ya aina hiyo, Horohoro na Holili pia?

Kwa bahati nzuri nazijua boda zote, kwa nini iwe ni Tunduma na Namanga tu wakati tumepakana na Nchi nane na boda zaidi ya tisa!

Naijua Zambia naijua Kenya, siasa zao mpaka raia wao. Tukemee hasira za kijinga za Vijana wa hii mipaka. Sipendelei, lakini vitendo vya majirani zetu kuonyesha tatizo la Mtu mmoja kama tatizo la Nchi nzima ni la kishenzi sana.

Hawa Watu wengi wao ni Ndugu kabisa. Ni mipaka tu inawatenganisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ahaa haah haa
Kwani watashindwa kutumia lenye namba plate ya kenya. nionavyo hao jamaa waliomteka huyo mfanyabiashara amefanikiwa, maana anaweza akawa ni wa kenya katumia gari lenya namba plate za Tanzania, ili kuwafanya muamini kuwa ni kutoka Tanzania, kumbe siyo. Tayari hiyo ni chenga ya mwili.
 
Sidhani kuna chuki baina ya wakenya na watanzania. Hii ni nguvu ya umma dhidi ya vitengo ovyo vya usalama. Hiki ni kitu cha kawaida sana Kenya, nakuhakikishia kwamba ndugu zetu nao upande wa pili Longido hawana afueni hata kidogo, wanadhulumiwa kila uchao bila sababu za msingi. Kwa kisingizio kwamba eti wao ni wakenya sio watanzania.
 
Ujasiri wetu ndio nguzo yetu ndio unaona tumefika tulipo Kwa ajili ya ujasiri wetu.sisi sio watu wa mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app

kanyakueni mashmba ya kina Lord Dalamare, Uhuru at al, ndiyo tutawaona majasiri. kama wenzenu wa Zimbabwe na RSA wanavyonyakua mashamba yao bila fidia. vinginevyo nyie ni wapagazi tu katika nchi yenu.
 
kanyakueni mashmba ya kina Lord Dalamare, Uhuru at al, ndiyo tutawaona majasiri. kama wenzenu wa Zimbabwe na RSA wanavyonyakua mashamba yao bila fidia. vinginevyo nyie ni wapagazi tu katika nchi yenu.
Sasa mtu kama wewe ambaye ameporwa, akadhulumiwa, akapigwa, akateswa na akatupiwa cheche za matusi na chama cha mafisi tangu enzi za mababu zako ndio anawashauri wakenya? Haa! [emoji15]
 
MK254,

Mkuu huu ubishi wa hapa mtandaoni na akina Jenerosa msipeleke kule mtaani wale askari wetu huwa hawanaga utani kabisa, mtapata taabu sana halafu mje kurudi hapa kulalamika, usichezee...🙂
 
Sasa mtu kama wewe ambaye ameporwa, akadhulumiwa, akapigwa, akateswa na akatupiwa cheche za matusi na chama cha mafisi tangu enzi za mababu zako ndio anawashauri wakenya? Haa! [emoji15]

ahaaa haa CCM CHAMA KUBWA SIYO CHA KABILA FULANI, YAANI uzuri wa Bongo utakuta Cheyo yuko UDP, lkn wife wake yuko Chama Kubwa, tehe teh .... wakienda kwenye uchaguzi mtaa wake anajikuta kapata kula ya kwake tu, wife wake kapigia chama kubwa. wanarudi home na wala hamfukuzi my waifu wake bado wanabembelezana tu mpaka wanazeeka. This is TZ.

Lkn huko mashamba yote watu wanajua nani walikwiba....
na ndo maana class struggle haiji kuacha... kila uchaguzi lazima kuwe na drama. na chanzo si uchaguzi.... bali ni "historical injustice"....
 
Hahahahahah, cry baby syndrome as usual

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipoteze nguvu zako na wajinga hao, wanalazimisha kufanya biashara na sisi wakati hatutaki, Tanzania na Kenya hatuendani, kila mtu abaki kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…