gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,312
- 3,345
Enyi mliopo kwenye wizara ya utumishi jitahidini mnapopanga mambo yenu mkumbuke hawa vijana wanaoomba ajira bado ni tegemezi kwa wazazi.
Mtoto(Dr) alipangiwa usaili wa kwanza Kibaha mkoa wa Pwani akafaulu,usaili wa pili amepangiwa akanye mkoa wa Mara hivi hamuoni ni kuumiza wazazi?
Yaani gharama za naili na matumizi mengine mzazi inanihitaji karibu 300,000/= hii si sawa ili hali hata hio kazi yenyewe anaweza akaikosa.
Yupo binti mwingine(nesi) kafanyanya usaili wa kwanza Morogoro akafaulu,usaili wa pili kapangiwa Songea,hii ni sawa kweli?
Najua mkiulizwa mtasema mnaweka mazingira ya ugeni ili kupunguza rushwa kwasababu ya kufahamiana lakini huu ni mfumo wa hovyo unatuumiza.
Bado ingewezekana mtu kupangiwa kufanya usaili mkoa jirani na alipo na isingebadili maana sio kwa huu mfumo wenu mnatutia gharama zisizo msingi wowote.
Tafadhali wizara husika badilisheni huu utaratibu ni kero kubwa.