Kero: Mfumo mpya wa usaili wa watu kupangiwa kufanya usaili mikoa mbalimbali unagharimu na kuumiza sana watu

gimmy's

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
3,312
Reaction score
3,345
Enyi mliopo kwenye wizara ya utumishi jitahidini mnapopanga mambo yenu mkumbuke hawa vijana wanaoomba ajira bado ni tegemezi kwa wazazi.

Mtoto(Dr) alipangiwa usaili wa kwanza Kibaha mkoa wa Pwani akafaulu,usaili wa pili amepangiwa akanye mkoa wa Mara hivi hamuoni ni kuumiza wazazi?

Yaani gharama za naili na matumizi mengine mzazi inanihitaji karibu 300,000/= hii si sawa ili hali hata hio kazi yenyewe anaweza akaikosa.

Yupo binti mwingine(nesi) kafanyanya usaili wa kwanza Morogoro akafaulu,usaili wa pili kapangiwa Songea,hii ni sawa kweli?

Najua mkiulizwa mtasema mnaweka mazingira ya ugeni ili kupunguza rushwa kwasababu ya kufahamiana lakini huu ni mfumo wa hovyo unatuumiza.

Bado ingewezekana mtu kupangiwa kufanya usaili mkoa jirani na alipo na isingebadili maana sio kwa huu mfumo wenu mnatutia gharama zisizo msingi wowote.

Tafadhali wizara husika badilisheni huu utaratibu ni kero kubwa.
 
H

Hii nchi ni y kishenzi sana.
 
Kwa nini wasifanye online interviews? E-government ilifia wapi?
 
Elewa kwanza Kila mtu aliomba kazi Mkoa ambao aliuchagua yeye.

Na huo usaili wa pili ni WA mahojiano na huko ndiko anatakiwa wakamhoji na atapata kazi huko huko.

Kwa kiasi Fulani imepunguza gharama sana Kwa sababu wanaofaulu usaili wa kuandika na kwenda hatua ya mahojiano ni wachache ambao wanaingia kwenye data base(mwaka mzima wakishbiria kupangiwa kazi) tofauti na awali ambapo wote mnakusanyika Dodoma na mnasubiria usaili wa mchujo na mahojiano kutoka pande zote za Nchi.

Kwangu Mimi Kuna nafuu sana kuliko awali,japo wanaweza boresha zaidi Kwa Maofisa wa Sekretarieti walau kuwepo kwenye Kila Kanda Ili gharama zipungue zaidi.
 
Hili jambo limesababisha kama familia tuchange ipatikane pesa ya nauli,muhusika ni mdogo wangu,sasa sijui mpotoshaji ni mimi ama wewe?
Kabla ya hapo wakati watu wanakusnyika Dodoma mlikuwa hamchangi? Inawezekana hizi gani zenu za Afya na Elimu mlikuwa mnapata Ajira kizembe,waliosoma fani tofauti na hizo wanaenda usaili mara kadhaa bila mafanikio hawawezi kuongea hayo unayoongea saizi.
 
Hili jambo limesababisha kama familia tuchange ipatikane pesa ya nauli,muhusika ni mdogo wangu,sasa sijui mpotoshaji ni mimi ama wewe?
Malalamiko ya nini tena, ndugu yako ndiye aliyechagua kituo cha usaili!

Labda kwa kuwa kuna tofauti ya uelewa!
 
Back
Top Bottom