Kero: Msafara wa Rais umekuwa mateso kwa watumiaji wa barabara

Hii ziara yako mtukufu JPM, imekuwa kero kubwa sana kwa wasafiri wanaotoka dar kuelekea mikoa inayopitia dodoma.

Umekuwa ukisimama barabarani na kuongea na wananchi huku ukiziba barabara.

Tunaomba unaposimama kuwe na utaratibu wa kupisha barabarani ili tunaosafiri tuendelee na safari zetu za kujenga taifa.
 
Huyu ni kiongozi wa Nchi

vumilieni tu hata ikiwa siku nzima Usalama wake kwanza
 
Mkuu wa nchi anaoengea na wananchi wake. Kama wewe unaharaka tafuta njia ya mchepuko. By the way Rais huwa hapishi, bali yeye ndiye anapishwa.
 
Safari hizi zikipangwa kwa umakini zinaweza kupunguza hii kero. Kuwa kiongozi wa nchi haina maana ujiachie tu barabarani. Nilifikiri tupo kwenye kauli yetu mbiu ya HAPA KAZI TU.
 
Raisi wa wanyonge muache atafute kura kwa wanyonge paka sasa bado hajajaamini
 
Kwakweli mnao safiri muwe watulivu mtafika tu kwa mda wenu mtukufu anafanya yake
 
Kwani haikupangwa kwa makini?
Safari hizi zikipangwa kwa umakini zinaweza kupunguza hii kero. Kuwa kiongozi wa nchi haina maana ujiachie tu barabarani. Nilifikiri tupo kwenye kauli yetu mbiu ya HAPA KAZI TU.
 
Safari hizi zikipangwa kwa umakini zinaweza kupunguza hii kero. Kuwa kiongozi wa nchi haina maana ujiachie tu barabarani. Nilifikiri tupo kwenye kauli yetu mbiu ya HAPA KAZI TU.
Mbona kule Marekani rais anapishana tu na watu wakiendelea na safari zao barabarani?
 
Kwani haikupangwa kwa makini?

Wanaweza wakafikiri kuwa wamepanga kwa umakini lakini wakawa hawaja fikiria wengine, na hii ndio inapelekea wengine kugandishwa kwa muda mrefu barabarani. Fikiria una mgonjwa unamuwahisha sipitali halafu unakutana na hili seke seke.
 
Hiyo tu?Kama pesa anapata kupitia kodi tu,jiulize badhi ya pesa mfana matumizi ya kununulia ndege ile ya mwanzo alitoa pesa wapi wakati hata ktk budget ya mwakahusika haipo.Kwahiyo yeye ndie anajua pesa anaichomoa wapi hebu muacheni bana.
Pesa hajitengenezi yenyewe au hajazaliwa nayo
 
Wapo mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya, mabalozi na makatibu wakuu na manaibu.
utaendelea kudanganya wajinga wenzako.
Tena kweli, magari ya makatibu wakuu na wakuu wa mikoa yanatumia maji sio mafuta
 
Pumba tupu
 
Yaani wewe ulichoandika sjui umefikiria au roho mbaya yako ndo imekufanya uandike haya
 
Tuvumiliane tu kwani sio jambo la kila siku, hutokea mara chache na huwa halidumu kwa muda mrefu, otherwise ni kushindwa kuwa waelewa kwa mambo ambayo yanaeleweka kabisa kwa mtu yeyote muelewa.
 
Ndege anaogopa kupanda Kingereza hajui kuongea kweli huyu tuliingizwa chaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah bora wali tembele kuliko walimwengu rais huyu hatembei mmesahau utawala wa jk hata waziri wa kilimo msafara kama anaenda kuposa jaman kua na heshima na raisi wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…