Kero: TAZARA (MFUGALE FLYOVER) kutofatwa sheria na utaratibu wa barabarani hasa wakati wa usiku imekuwa donda sugu

Na askar itakuwa wanapokea mgao make wanawadekeza sana

Hii njia yote ya Mandela Road ni madambwe ya watu wa vitambaa cheupe lile la Uhasibu ni la Malori na daladala zaidi .
Hapa Taifa wanacheza na gari ndogo zaidi ukifika pale Serengeti machinjioni huwa hawakai sana mara moja moja utawakuta hapa kona ya makaburini sogea mbele pale sokota ni malori na wavuka taa nyekundu ukifika Veterinary pale ni mchanganyiko na wanakaa mara moja moja ila Tanzara ni mchanganyiko Bodaboda gari ndogo na hata malori daladala hawanaga mpangonazo ukifika buguruni pale na kwenyewe kwenye kona ya sheli wapo wadau pale hapa mbele kwenye U turn kabla ya daraja kuna wadau pia wanakamata malori na chochote watakachotaka kisha kuna hapa tabata sheli pale jamaa wanakamata mpaka Toyo na makila kitu.
Kisha unafuata mwananchi pale na kwenyewe utakutana na wadau ukiwa na mzigo tu unapigwa mkono kama tabata sheli tu tena wanamtindo wanaingiza namba ya gari ikiwa kwenye taa kuangalia kama inadeni.
Ukivuka hapo unakutana na wadau pale TMDA na external hawa wanakamata zaidi transit international na malori au gari ya mizigo.

Njia pekee ya kuepuka foleni na usumbufu wa jamaa wa kitambaa cheupe wewe nenda kazini early morning yaani saa kumi na mbili uko barabarani na rudi zako late kuanzia saa tatu na nusu au saa nne usiku
 
Mkubwaaa unafungua code za watu😀😀😀😀
 
Mkubwaaa unafungua code za watu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ninamiaka zaidi 25 ndani ya DSM yaani hata nikiwa kwenye daladala nimesinzia nikipita sehemu najua hapa ni wapi kwa kusikia tu mashimo au kelele za watu .
Mfumo wetu wa barabarani una tengeneza mazingira ya rushwa na usumbufu usiokuwa na ulazima.
Kulikuwa na ile wiki ya nenda kwa usalama aisee ilikuwa inanikwaza sana .
 
Respect
 
Hapo mahali ni kero ukitokea Tabata/ubungo na ukitokea bandarini
Ushauri
-wanaotokea VETA na Airport sio lazima wapite chini ila wanaopita chini ili kuchepukia
Buguruni.
- Daladala wnaotokea airport wanaleta jam maana kuna kituo hapo Azam kinapunguza kasi ya mtiririko mataa yanaporuhusu watu wa kutokea bandari na hii inawaudhi wanaotokea bandari.
-Buguruni mataa pia Daladala zinapakia abiria na kuchukua barabara karibu yote. Hii inapunguza flow ya magari baada ya mataa ya buguruni kuruhusu.Eneo hilo liwe na stendi au parking kubwa.
-Siku za malori ni vema kuongeza muda wa kuvuka kwa njia inayotokea bandari. Kinachotokea ni magari kufosi kupita pale wanaapoona flow ya bandari inakatizwa muda mdogo wakati magari yamesha jaa hadi Sokota.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom