Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,066
- 1,194
Last week natoka Mwanza kuja Dodoma nimekaa na jamaa anakera kweli kweli kwenye siti yeye na mtoto wake kufika hadi kunitapikia.
Tuligombana sana hadi nafika Mwanza, leo narudi Mwanza kwenda Dodoma kuna kijana kapandia njiani kaja kukaa siti ya pembeni yangu yaani kwanza ananuka sana pili ni msumbufu hakupi nafasi upumzike full kukugusagusa halafu ni wa kiume yaani anakera hatulii kwenye siti mara akulalie yaani dah safari unakerwa hadi unafika.
Halafu mtu hajali wala nini yaani dah wasukuma mna shida gani aisee!