Kero za Wabara (Tanganyika) wakiwa Zanzibar

Zanzibar hawako tayari. Kama nyerere mwenyewe alishindwa kwa sasa ni ngumu sana.

Ila hakuna maana ya muungano kwa hvi tunavoenda, tunaishi kinafki sana

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Tangu lini kutokuwa tayari kwa wananchi kukawazuia watawala kufanya watakacho. Hata vyama vingi asilimia kubwa hawakutaka.
Isemwe sababu.
 

mnakosa elimu ya msingi ya huu Muungano wetu, Ndio mana malalamiko yasiyo na msingi ni mengi sana.
 
Serikali ya Tanzania ni yetu sote Zanzibar na Tanganyika, sasa vipengele unavyo taka haiwezekani
 
Tatizo wana hisia za kimorroco,wanajifanya wao wanafaa kuwa muungano wa falme za kiarabu😂😂😂😂😂😂😂
Poor watumbatu
Zanzibar ni nchi kamili, Tanganyika ni nchi ilio kufa
 
Eti wanajiona ndugu zao wa damu ni Waomani!! Halafu cha kushangaza, sisi Watanganyika ndiyo tunaowalisha na kuwanywesha!

Halafu Kutoka huko Oman na Saudia kwenyewe, miaka nenda huwa wanaambulia msaada wa tende tu wakati wa mfungo.
Vunjeni muungano mnalalamika nini kila siku
 
5. Kuitwa gozi
 
Eti wanajiona ndugu zao wa damu ni Waomani!! Halafu cha kushangaza, sisi Watanganyika ndiyo tunaowalisha na kuwanywesha!
Unatulisha wewe kama nani? Chakula tunanunua kama wanavyonunua wengine wa nchi jirani.

Hebu jiulize kabla ya huu muungano Zanzibar walikuwa wanapata wapi chakula?
 
Wanadanganyika na tende za sukari....wananishangazaga Sana watu waliomix race na kuona wao hawausiki na rangi nyeusi wakati wamelala kwenye matumbo meusi
Hiyo inatokana na inferiority complex yenu wabara. Hapa Zanzibar watu wamekuwa mchanganyiko kwa karne nyingi tu na wala hakuna anayemdharau mtu. Lakini tangu mumeanza kuingia visiwani humu imekuwa maneno maneno mengi tu ya chuki na hasada.
 
Mwaka wa ngapi huu mnalia lia humu?vunjeni muone kama Zanzibar itakwisha
Hivi siku maccm akili ikiwakaa sawa, na kuridhia kujitoa kwenye huu muungano wa ukupe wa changu changu, changu chako; si mtakuwa mnashindia urojo na tende tu nyinyi!!

Mnaleta jeuri, na wakati mnaitegemea Tanganyika kwa kila kitu?
 
Tanganyika ni cha wote, na Zanzibar ni ya Wazanzibar peke yao!.

Nyerere alifanya uhaini kuua uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa watu wa nchi jirani ya Zanzibar
Maadui wa muungano hamtafanikiwa kutugawa
 
Hivi siku maccm akili ikiwakaa sawa, na kiridhia kujitoa kwenye huu muungano wa ukupe wa changu changu, changu chako; si mtakuwa mnashindia urojo na tende tu nyinyi!!

Mnaleta jeuri, na wakati mnaitegemea Tanganyika kwa kila kitu?
Hatutegemei paka yeyote kila kitu tunanunua kwa pesa zetu, vunjeni muungano hata leo usiku halafu utaona Zanzibar itakavyo pendeza, Tanganyika kumejaa wezi na wala rushwa halafu mna laumu Zanzibar kwa upuuzi wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…