Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

Kwa kadili anavyoendelea kusema sifahamu, huyo shahidi ata akiulizwa kama ameoa au kuolewa anaweza kusema sifahamu! hayo maswali ya uchokozi yashamtoa kwenye mood tayari, keshapanic.
Je umeona Kozi alizopitia za kujua kusoma na kuandika bila kufikiri au ku-reason?
 
Muheshimiwa anamkubari kimoyomoyo
 
Wakati Mkurugenzi wa Jamii Forum anamtafuta mtu mahili aliyesoma na kuelewa vitu na kuvitendea kazi Mh., Mbunge, Mwanasheria, Rais Antipus Tundu Lissu Serikali ya CCM inatafuta watu wanajua kusoma na kuandika bila uwelewa, vilaza, ndio , sijui, sina uhakika, wenzangu watakuja kujibu, ngoja nikaulize..... tunawalipa bure kodi zetu.
 
Huyu askari ndio aliowa-refer Prof. Shivji, he has genuine certificate but with fake education.
genuine certificate but with fake education.

I. graduate CCP kama constable wa polisi,
II. Assistant inspector,
III Full inspector wa polisi,
IV. ASP wa polisi,
V. SSP.

Sijaona cheti cha secondary au na yeye ni Bashite tusimlaumu bure.
Sasa ifike hatua serikali iweke vigezo vya haya mahojiano, haiwezekani Heavy weight(Lead) wa Law Tundu Lissu amuhoji Cotton Weight SSP ambaye ni Bashite, huu ni udhalilishaji wa mhoji na mhojiwa.

Ila huyu afande pamoja kuwa frustrated na maswali ameandika historia ya kuhojiwa na rais wa sheria.
 
Ipo siku hawa askari polisi wakiskia kesi flani Lissu atakuepo wataghairi kwenda mahakamani.
Lissu anawasumbua sana polisi alafu kwa bahati mbaya polisi wanajua commanding tu sheria hawajui
alafu kwa bahati mbaya polisi wanajua commanding tu sheria hawajui.
 
Mungu awajalie sana wazalendo muliotukuka viongozi wa JF Max Mike vijana muliojitoa muhanga kutetea nchi hii hapa munawasaidia serikali wenyewe hawataki : vitu vya ajabu kuwahi kutokea Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…