Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Mambo ya sheria ni magumu sana, na hatutakiwi kukurupuka.

Nani ameona huo muamala? Kama upo nani anajua huyu aliyekuwa waziri wa ulinzi alituma kwa ajili gani? Je una manufaa gani kwa akina Mbowe kwenye kesi?

Kwa nini tunaanza kuwa na hisia ambazo hazina msingi wa kisheria? Hizi hisia hazifai kabisa kwenye mambo ya kesi.
Mbona aliyotuma Mbowe wanasema ilikuwa kwa ajili ya kufadhilii ugaidi Wana hakika gani? Kwanini tusiamini ya kuwa huyo aliyekuwa waziri alituma, ikiwa wakili anasema mteja wake kamwambia?

Aliyetumiwa ndo anaweza kusema zilikuwa za nn kuanzia za Mbowe mpaka za huyo aliyekuwa waziri.
 
Mawakili ni maafisa wa mahakama hivyo hutakiwa kuisaidia mahakama kwa namna ya kufikia fair and just conclusion, hawawezi kusema jambo bila kuwa na ushahidi nalo, jaji ndie alitakiwa kuuliza muamala uko wapi aoneshwe, kama hakuuliza ulitakaje?
 
Mahakama ndio muamuzi
 
Sasa sisi makamanda tunatakiwa kuwa na subira. Sio kuanza kutoa majibu.
 
Kwa hiyo wote waliomtumia miamala huyo Bwire waitwe!!?
.... naam; wote waliomtumia mwamala waitwe yes! Kama ukituma mwamala hakuna maelezo umetuma kwa nia gani kwanini kwa mwingine ionekane ni nia ovu na mwingine nia njema? Mnahitaji concrete evidence kuthibitisha sio blah blah za huyo shahidi uchwara aliyeanza kukana maelezo yake mapema hivi! Mtapigwa mbaya!
 
We unaonaje? Wamesema muamala unahusu nini? Je kama alimpa pesa za matumizi ni kosa?

I will ask you the same Question, very Same Question; "Kwa hiyo wewe unaona una akili zaidi ya hao wana sheria wote"

Kosa la Mbowe Ni kutuma pesa, Ila hapana majadiliano yeyote ya ugaidi, Kwa hiyo wao wana prove muamala kufanyika.

So Na wao wanataka kuonyesha kwamba kuna watu pia high profiled wameshawahi watumia hawa watu hela!

Nakushangaa sana unajaribu ku challenge wale wanasheria; wale wanajua wanachofanya; wewe hata jina lako halisi huweki
 
Mimi nashindwa kuelewa Mama anapata kigugumizi gani kuifuta hii kesi ambayo Taifa halina maslahi nayo!
Wangekuwa wajanja wangeifuta maana inazidi kufukua mambo yaliyojificha mpk sasa tunajua mualawa wa Bwire ulitumwa na bwana yule!
 
Nilishangaa sana Jiwe kumpa nafasi Hussein huku Wazanzibar wote wakimkataa , kumbe alimtumia ili kumbambika kesi Mbowe !
CDM akili zenu ni fupi mno Mbowe yupo nyuma ya nondo kwa kesi kubwa wakati jiwe alishakufa miezi kibao iliyopita.......
hamjielewi hata mnapambana na nani!???
Sshv mpo upande wa maza kumstrike nduga
 
Kwa haiba ya Rais Mwinyi kipindi akiwa waziri wa ulinzi sishangai kama kumsaidia mtu anaeyemfahamu kumtumia pesa ikawa ni jambo la ajabu.

Uungwana wake si sababu ya kuona kama alitenda jambo baya na jambo lipo kwa mahakama ngoja niishie hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
CDM huwa hawajielewi wanatapatapa Mwinyi ni mtu muugwana sana kwa haiba yake lkn micdm inaona imepata bonge la point
 
Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe.

Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire.

Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo aitwe, wakajibu NDIO MUDA UKIFIKA.

--
Mallya: Sasa Kwenye Miamala ya Khalfani Bwire, Ina onyesha alikuwa anatumiwa Fedha na Waziri wa Ulinzi Kipindi Kile Ambaye ni Hussein Mwinyi ambaye sasa ni Rais wa Zanzibar, Ila Wewe Ukaona Ufiche tusione Miamala hiyo.

Jaji: Bwana Mallya, Unatoa wapi Maelezo hayo?

Malya: Kwa wateja wetu Jaji

Na wew kumbe unasali kumbe hongera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa haiba ya Rais Mwinyi kipindi akiwa waziri wa ulinzi sishangai kama kumsaidia mtu anaeyemfahamu kumtumia pesa ikawa ni jambo la ajabu.

Uungwana wake si sababu ya kuona kama alitenda jambo baya na jambo lipo kwa mahakama ngoja niishie hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mbowe aliamua kuwasaidia kwa kuwapa ajira ya VIP protection na kabla hawajaanza kazi rasmi, aliamua kuwasaidia kwa pesa kiasi ili waweze kujikimu kwa mambo madogo madogo. Huu ndiyo ukweli, mambo mengine ni politics tu.
 
Back
Top Bottom