Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Shida ndio iko hapa. Wao waliombwa mitatu lakini wakapeleka miwili. Hapa ndio swali la mallya lililoanzia kwamba huo muamala wa tatu uliokuwa unafuata ndio wa mheshimiwa hivyo wakaamua kuuficha.
... kwa hili Airtel haliwahusu sana; wanaweza kujitetea. Orodha ya miamala wao waliitoa kama walivyokua instructed na barua ya polisi ambao walikuwa wanataka miamala among specific numbers so, (Airtel) wasingeweza kutoa miamala ambayo hawakuulizwa!
 
Tujiulize Kutuma hela ndio key Point ya Mbowe kushikiliwa na Jamhuri kama ndio Key point basi wale wote waliomtumia Bwire pesa wakatamatwe akiwemo Husein Mwinyi kama sivyo basi Mbowe aachiwe. Mbowe ni Kiongozi na Hussein ni kiongozi pia
Hii kesi imefikia pazuri kama mbowe ni Gaidi kwa kutuma pesa the same kwa aliyemtumia Bwire pesa!
 
Unaona ulivyo pumba!! Unachotakiwa kujua pesa iliyotumwa na Mbowe ili kuwa kwa ajili gani na pia iliyotumwa na Mwinyi ilikuwa kwa ajili gani? Kweli Chadema ina nyumbu wengi sana!
Nikisema wewe ni mjinga sikosei kabisa.

... kwa hili Airtel haliwahusu sana; wanaweza kujitetea. Orodha ya miamala wao waliitoa kama walivyokua instructed na barua ya polisi ambao walikuwa wanataka miamala among specific numbers so, (Airtel) wasingeweza kutoa miamala ambayo hawakuulizwa!
Ukiwa CCM sijui na akili huwa inapotea kwa muda?
 
... kwa hili Airtel haliwahusu sana; wanaweza kujitetea. Orodha ya miamala wao waliitoa kama walivyokua instructed na barua ya polisi ambao walikuwa wanataka miamala among specific numbers so, (Airtel) wasingeweza kutoa miamala ambayo hawakuulizwa!
 
Unaona ulivyo pumba!! Unachotakiwa kujua pesa iliyotumwa na Mbowe ili kuwa kwa ajili gani na pia iliyotumwa na Mwinyi ilikuwa kwa ajili gani? Kweli Chadema ina nyumbu wengi sana!
Kwanini miamala hiyo ifichwe?Ndio hapo mashaka yanapokuwa makubwa!Mwinyi aitwe mahakamani aeleze alituma Kwa malengo gani!
 
Kabisa yaani , alishirikiana na Tiss na Polisi , huyu Hangaya kaiendeleza tu tena kwa shinikizo la kitengo , ulikuwa mpango wa Jiwe kufuta Chadema ili atawale kwa amani maisha yote .

NAAHIDI KUANZISHA UZI MWANANA KUHUSU HILI MUDA SI MREFU , KUNA WATU NAENDELEA KUWAHOJI
usiondoke JF
Mnaanza kutengeneza "movie" eee.....🤣🤣
 
Mambo ya sheria ni magumu sana, na hatutakiwi kukurupuka.

Nani ameona huo muamala? Kama upo nani anajua huyu aliyekuwa waziri wa ulinzi alituma kwa ajili gani? Je una manufaa gani kwa akina Mbowe kwenye kesi?

Kwa nini tunaanza kuwa na hisia ambazo hazina msingi wa kisheria? Hizi hisia hazifai kabisa kwenye mambo ya kesi.
 
Back
Top Bottom