Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

... kwa hili Airtel haliwahusu sana; wanaweza kujitetea. Orodha ya miamala wao waliitoa kama walivyokua instructed na barua ya polisi ambao walikuwa wanataka miamala among specific numbers so, (Airtel) wasingeweza kutoa miamala ambayo hawakuulizwa!
 
Hii kesi inavyokwenda Mawakili wa utetezi wanataka kueleza Kila Jambo lililofanyika sirini na kuwataja wahusika. Lakini pia ulimwengu ulivyo Sasa hakuna binadamu wakumwamini. Taarifa nyingine zinatoka Kwa watu waliopewa Madaraka lakini wana hofu ya MUNGU.

Nikiangalia namna Kigogo 2014 anavyopost Leo najiuliza access ya taarifa imekatikaje Baada ya JPM tu kuondoka? Je, palipokuwa panavuja palizibwa vipi mapema hivyo?

Kwa mfano huu ndipo ninapoamini ukitenda Haki utaheshimika na kulindwa, ukiwakosea watu ambao wanakwenda nyumba za ibada kutubu unazalisha watu ambao toba sahihi nikufichua Yale maovu yanayoendelea yasiendelee au jamii ipige kelele usiendelee kuyafanya

Naomba Serikali iangalie kinachoendelea mahakamani kama kina tija Kwa ustawi wa Serikali na nchi kwa ujumla.

Marais wawili kutajwa kwenye cross examination siyo Jambo dog hata kidogo,
Kwani jpm anahusikaje na kesi ya mbowe mbona hamuishi kumtaja mtu aliyekwisha lala
 
Dah.. Hii ngumu kumeza.. Yaani mheshimiwa na convoy lake lote aingie mahakamani
Itabid..aje aseme alikuwa anamtumia za nini. Na kwasababu amemtumia Mara nyingi ninaamini ni hela nyingi kuliko hizo 80,0000 za Mbowe
 
Back
Top Bottom