Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Uoga ni kwasababu tayari ana maamuzi ya kesi mfukoni.

Lakini pia najiuliza Mwinyi alimtumia Bwire pesa kwa madhumuni gani?
Watoto wa vigogo na watu wenye kutafuna mema ya nchi ndio waliojitolea kumsingizia Mbowe ugaidi , hii ni baada ya askari wengi waliopanga kutumika kusitasita .

Kuna uzi wangu humu nimeandika "MJUE MAHITA OMARY MTOTO WA IGP MSTAAFU , ndani ya uzi ule nimeandika mambo haya
 
Nakushauri pitia hio tweet, issue ni kwamba pesa ambayo Mwinyi aliituma huo miamala haupo kwenye orodha ya miamala! Kuna Nini kimefichwa? Soma updates zote ndio utajua kinachozungumzwa. Mbowe alituma, Mwinyi alituma, kwanini kwenye kiambatanisho muamala wa Mwinyi haupo??

Pili, ni kwamba Watu hawa wanatuhumiwa kufadhiliwa kufanya Ugaidi na Mbowe kwa kiasi Cha fedha kilichotumwa kwao, lakini wakati huo huo, Watu (mtu) Mtuhumiwa huyo huyo anatumiwa pesa kutoka kwa Waziri wa Ulinzi, kweli?
Mmm
 
Aisee!. Hii kesi ifutwe tu.
Hapo bado Mbowe hajaanza kujitetea. Nahisi atakuja kuongea mambo mazito. Kuanzia uonevu aliofanyiwa wa Bilcanas kuvunjwa, kuharibiwa bustani zake, vitisho toka kwa wakubwa, Kubambikwa kesi ya mauwaji ya Akwilina, Msaidizi wake kutekwa, Lisu kupigwa risasi na kisha yeye kubambikiwa kesi. Akijipanga vizuri kuweka evidence na mtiririko wa mateso yake, atawavua nguo sana watawala.
Kesi hisifutwe
 
Nakushauri pitia hio tweet, issue ni kwamba pesa ambayo Mwinyi aliituma huo miamala haupo kwenye orodha ya miamala! Kuna Nini kimefichwa? Soma updates zote ndio utajua kinachozungumzwa. Mbowe alituma, Mwinyi alituma, kwanini kwenye kiambatanisho muamala wa Mwinyi haupo??

Pili, ni kwamba Watu hawa wanatuhumiwa kufadhiliwa kufanya Ugaidi na Mbowe kwa kiasi Cha fedha kilichotumwa kwao, lakini wakati huo huo, Watu (mtu) Mtuhumiwa huyo huyo anatumiwa pesa kutoka kwa Waziri wa Ulinzi, kweli?
Sasa kama haipo kwenye orodha ya miamala, utetezi wametoa wapi?, Itajua kazi bure maana Airtel bado watakana

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom