Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ukiwa mkubwa utaelewaKwani jpm anahusikaje na kesi ya mbowe mbona hamuishi kumtaja mtu aliyekwisha lala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa mkubwa utaelewaKwani jpm anahusikaje na kesi ya mbowe mbona hamuishi kumtaja mtu aliyekwisha lala
Hujui legal issue zilivyo complexMkuu kwa ufupi tu...KOJOA UKALALE
Mbona aliyotuma Mbowe wanasema ilikuwa kwa ajili ya kufadhilii ugaidi Wana hakika gani? Kwanini tusiamini ya kuwa huyo aliyekuwa waziri alituma, ikiwa wakili anasema mteja wake kamwambia?Mambo ya sheria ni magumu sana, na hatutakiwi kukurupuka.
Nani ameona huo muamala? Kama upo nani anajua huyu aliyekuwa waziri wa ulinzi alituma kwa ajili gani? Je una manufaa gani kwa akina Mbowe kwenye kesi?
Kwa nini tunaanza kuwa na hisia ambazo hazina msingi wa kisheria? Hizi hisia hazifai kabisa kwenye mambo ya kesi.
Mkuu....KOJOA UKALALE...huu mziki si level yako.Hujui legal issue zilivyo complex
Kama muwaKesi tamu sana hii
Mahakama ndio muamuziMbona aliyotuma Mbowe wanasema ilikuwa kwa ajili ya kufadhilii ugaidi Wana hakika gani? Kwanini tusiamini ya kuwa huyo aliyekuwa waziri alituma, ikiwa wakili anasema mteja wake kamwambia?
Aliyetumiwa ndo anaweza kusema zilikuwa za nn kuanzia za Mbowe mpaka za huyo aliyekuwa waziri.
Sasa sisi makamanda tunatakiwa kuwa na subira. Sio kuanza kutoa majibu.Mawakili ni maafisa wa mahakama hivyo hutakiwa kuisaidia mahakama kwa namna ya kufikia fair and just conclusion, hawawezi kusema jambo bila kuwa na ushahidi nalo, jaji ndie alitakiwa kuuliza muamala uko wapi aoneshwe, kama hakuuliza ulitakaje?
.... naam; wote waliomtumia mwamala waitwe yes! Kama ukituma mwamala hakuna maelezo umetuma kwa nia gani kwanini kwa mwingine ionekane ni nia ovu na mwingine nia njema? Mnahitaji concrete evidence kuthibitisha sio blah blah za huyo shahidi uchwara aliyeanza kukana maelezo yake mapema hivi! Mtapigwa mbaya!Kwa hiyo wote waliomtumia miamala huyo Bwire waitwe!!?
Utakuja kunikumbuka, alafu mimi sio uneducated person kama wewe.Mkuu....KOJOA UKALALE...huu mziki si level yako.
We unaonaje? Wamesema muamala unahusu nini? Je kama alimpa pesa za matumizi ni kosa?
... insadifu id yake!Hujawahi kuwa na akili
Wangekuwa wajanja wangeifuta maana inazidi kufukua mambo yaliyojificha mpk sasa tunajua mualawa wa Bwire ulitumwa na bwana yule!Mimi nashindwa kuelewa Mama anapata kigugumizi gani kuifuta hii kesi ambayo Taifa halina maslahi nayo!
Mkuu achana naye huyo kichwa maji usikute eti anaitwa baba wa familia hasara tupuKila nikijaribu kukuelewesha unakua mzito, haya wasiitwe Bali aitwe Mbowe na atiwe ndani, umefurahi?
CDM akili zenu ni fupi mno Mbowe yupo nyuma ya nondo kwa kesi kubwa wakati jiwe alishakufa miezi kibao iliyopita.......Nilishangaa sana Jiwe kumpa nafasi Hussein huku Wazanzibar wote wakimkataa , kumbe alimtumia ili kumbambika kesi Mbowe !
CDM huwa hawajielewi wanatapatapa Mwinyi ni mtu muugwana sana kwa haiba yake lkn micdm inaona imepata bonge la pointKwa haiba ya Rais Mwinyi kipindi akiwa waziri wa ulinzi sishangai kama kumsaidia mtu anaeyemfahamu kumtumia pesa ikawa ni jambo la ajabu.
Uungwana wake si sababu ya kuona kama alitenda jambo baya na jambo lipo kwa mahakama ngoja niishie hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wew kumbe unasali kumbe hongera sanaHii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe.
Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire.
Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo aitwe, wakajibu NDIO MUDA UKIFIKA.
--
Mallya: Sasa Kwenye Miamala ya Khalfani Bwire, Ina onyesha alikuwa anatumiwa Fedha na Waziri wa Ulinzi Kipindi Kile Ambaye ni Hussein Mwinyi ambaye sasa ni Rais wa Zanzibar, Ila Wewe Ukaona Ufiche tusione Miamala hiyo.
Jaji: Bwana Mallya, Unatoa wapi Maelezo hayo?
Malya: Kwa wateja wetu Jaji
Hata Mbowe aliamua kuwasaidia kwa kuwapa ajira ya VIP protection na kabla hawajaanza kazi rasmi, aliamua kuwasaidia kwa pesa kiasi ili waweze kujikimu kwa mambo madogo madogo. Huu ndiyo ukweli, mambo mengine ni politics tu.Kwa haiba ya Rais Mwinyi kipindi akiwa waziri wa ulinzi sishangai kama kumsaidia mtu anaeyemfahamu kumtumia pesa ikawa ni jambo la ajabu.
Uungwana wake si sababu ya kuona kama alitenda jambo baya na jambo lipo kwa mahakama ngoja niishie hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app