Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Cool
 
Why Mbowe kumtumia elfu80 Khalifan iwe ugaidi
 
Ila Mbowe akimsadia Adamoo ndio jambo la ajabu? Mtajua hamjui mwaka huu
 
Akili zenu ni pumba sana yaani kutajwa Mwinyi tu mmeshinda kesi siyo!!??
 
Yaani hii kesi kuna watu wata fika mbinguni wakiwa wamechoka sana!!! Kingai upo???
 
Kwani Mbowe hana haiba ya kusaidia watu?
 
Nakushauri pitia hio tweet, issue ni kwamba pesa ambayo Mwinyi aliituma huo miamala haupo kwenye orodha ya miamala! Kuna Nini kimefichwa? Soma updates zote ndio utajua kinachozungumzwa. Mbowe alituma, Mwinyi alituma, kwanini kwenye kiambatanisho muamala wa Mwinyi haupo??

Pili, ni kwamba Watu hawa wanatuhumiwa kufadhiliwa kufanya Ugaidi na Mbowe kwa kiasi Cha fedha kilichotumwa kwao, lakini wakati huo huo, Watu (mtu) Mtuhumiwa huyo huyo anatumiwa pesa kutoka kwa Waziri wa Ulinzi, kweli?
 
Tatizo mtu aliyemsaidia anatuhumiwa kwa ugaidi. Kama ni hivyo kwa Mbowe kwa nini iwe kinyume kwa Mwinyi na muda ni huohuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…