Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Kila nikijaribu kukuelewesha unakua mzito, haya wasiitwe Bali aitwe Mbowe na atiwe ndani, umefurahi?
Unanielewesha ujinga! Eti then unaniambia nije sijui wapi unafikiri nakuogopa! Mimi siogopi yoyote bali ni Mungu tu! Be informed!!
 
Unanielewesha ujinga! Eti then unaniambia nije sijui wapi unafikiri nakuogopa! Mimi siogopi yoyote bali ni Mungu tu! Be informed!!
Duh! Mbona sikua hata na maana mbaya? Mbona umepaniki ghafla? Relax! Tunajua hukumu mnayo tayari ila mtaitoa kwa mbinde saanaa
 
Kwa hiyo wote waliomtumia miamala huyo Bwire waitwe!!?
Kama wataonekana Wana interest kwenye kesi!Waziri wa ulinzi kutuma fedha Kwa mtuhumiwa ugaidi si jambo dogo!
Mbaya zaidi taarifa za miamala zimefichwa!
Hapo ndio Kuna mashaka,na ndio interest ya Mwinyi kwenye kesi inapopata mashiko!
 
Nani anauwezo wa kutambua kama huu muamala ni wa kufadhili ugaidi na huu in wa kawaida?
 
Haya na Mwananchi nao walikua Wana report, nao pia wako biased? Hivi unawezaje kuwa biased kwa kuandika na kupost kile kinachozungumzwa?
Kwa hiyo unafikiri kila kinachosemwa kwenye kesi ni facts?
 
Kama wataonekana Wana interest kwenye kesi!Waziri wa ulinzi kutuma fedha Kwa mtuhumiwa ugaidi si jambo dogo!
Mbaya zaidi taarifa za miamala zimefichwa!
Hapo ndio Kuna mashaka,na ndio interest ya Mwinyi kwenye kesi inapopata mashiko!
Kwani alituma wakati gani akiwa bado yuko uraiani au akiwa tayari ameshitakiwa?
 
Mkuu kwa ufupi tu...KOJOA UKALALE
 
Kwa hiyo Wewe Ni smart kuliko like jopo la wanasheria?
 
Vitu vingi vinatokea duniani, ambavyo hata kama hujui kwamba vipo haimaanishi havitokei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…