Huyo ni biased kama wewe tu!Duh! Kwamba jamaa kakaa chini kazitunga then akazi-tweet? Are you serious Ndugu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni biased kama wewe tu!Duh! Kwamba jamaa kakaa chini kazitunga then akazi-tweet? Are you serious Ndugu?
Kila nikijaribu kukuelewesha unakua mzito, haya wasiitwe Bali aitwe Mbowe na atiwe ndani, umefurahi?Kwa hiyo wote waliomtumia miamala huyo Bwire waitwe!!?
Haya na Mwananchi nao walikua Wana report, nao pia wako biased? Hivi unawezaje kuwa biased kwa kuandika na kupost kile kinachozungumzwa?Huyo ni biased kama wewe tu!
Unanielewesha ujinga! Eti then unaniambia nije sijui wapi unafikiri nakuogopa! Mimi siogopi yoyote bali ni Mungu tu! Be informed!!Kila nikijaribu kukuelewesha unakua mzito, haya wasiitwe Bali aitwe Mbowe na atiwe ndani, umefurahi?
Hujawahi kuwa na akiliUnaona ulivyo pumba!! Unachotakiwa kujua pesa iliyotumwa na Mbowe ili kuwa kwa ajili gani na pia iliyotumwa na Mwinyi ilikuwa kwa ajili gani? Kweli Chadema ina nyumbu wengi sana!
Duh! Mbona sikua hata na maana mbaya? Mbona umepaniki ghafla? Relax! Tunajua hukumu mnayo tayari ila mtaitoa kwa mbinde saanaaUnanielewesha ujinga! Eti then unaniambia nije sijui wapi unafikiri nakuogopa! Mimi siogopi yoyote bali ni Mungu tu! Be informed!!
Kama wataonekana Wana interest kwenye kesi!Waziri wa ulinzi kutuma fedha Kwa mtuhumiwa ugaidi si jambo dogo!Kwa hiyo wote waliomtumia miamala huyo Bwire waitwe!!?
Nani anauwezo wa kutambua kama huu muamala ni wa kufadhili ugaidi na huu in wa kawaida?Mkuu uelewa wa hawa jamaa ni shida tupu! Wanasheria wao wanawaingiza mkenge kila siku! Wanaacha kufuatilia mambo ya muhimu kuhusu kesi hiyo. Sasa eti pesa ya Mwinyi imekuwa issue kwani huyo Gaidi Bwire hajawahi kutumiwa pesa na mtu mwingjne zaidi ya Mwinyi na Mbowe!! Issue hizo pesa alizotumiwa na Mbowe zilikuwa kwa ajili ya kusaidia ugaidi.
Kwa hiyo unafikiri kila kinachosemwa kwenye kesi ni facts?Haya na Mwananchi nao walikua Wana report, nao pia wako biased? Hivi unawezaje kuwa biased kwa kuandika na kupost kile kinachozungumzwa?
Tumia akili hata kwa dakika moja basiHata wewe kuna muamala wako wa Buku 7 kutoka Lumumba kwa Shaka.
Mambo ni moto Sana , watakua hawajuiTuliwaonya wakatupuuza , sasa tunafumua kila kitu , LIWALO NA LIWE
Kwani alituma wakati gani akiwa bado yuko uraiani au akiwa tayari ameshitakiwa?Kama wataonekana Wana interest kwenye kesi!Waziri wa ulinzi kutuma fedha Kwa mtuhumiwa ugaidi si jambo dogo!
Mbaya zaidi taarifa za miamala zimefichwa!
Hapo ndio Kuna mashaka,na ndio interest ya Mwinyi kwenye kesi inapopata mashiko!
Mkuu kwa ufupi tu...KOJOA UKALALEMambo ya sheria ni magumu sana, na hatutakiwi kukurupuka.
Nani ameona huo muamala? Kama upo nani anajua huyu aliyekuwa waziri wa ulinzi alituma kwa ajili gani? Je una manufaa gani kwa akina Mbowe kwenye kesi?
Kwa nini tunaanza kuwa na hisia ambazo hazina msingi wa kisheria? Hizi hisia hazifai kabisa kwenye mambo ya kesi.
Mambo ya sheria ni magumu sana, na hatutakiwi kukurupuka.
Nani ameona huo muamala? Kama upo nani anajua huyu aliyekuwa waziri wa ulinzi alituma kwa ajili gani? Je una manufaa gani kwa akina Mbowe kwenye kesi?
Kwa nini tunaanza kuwa na hisia ambazo hazina msingi wa kisheria? Hizi hisia hazifai kabisa kwenye mambo ya kesi.
muamala wako wa buku 7 kutoka kwa Shaka huwa unakupa tabasamu mwanana usoni mwako.Tumia akili hata kwa dakika moja basi
Ushahidi utakaotolewaNani anauwezo wa kutambua kama huu muamala ni wa kufadhili ugaidi na huu in wa kawaida?
Vitu vingi vinatokea duniani, ambavyo hata kama hujui kwamba vipo haimaanishi havitokei.Mambo ya sheria ni magumu sana, na hatutakiwi kukurupuka.
Nani ameona huo muamala? Kama upo nani anajua huyu aliyekuwa waziri wa ulinzi alituma kwa ajili gani? Je una manufaa gani kwa akina Mbowe kwenye kesi?
Kwa nini tunaanza kuwa na hisia ambazo hazina msingi wa kisheria? Hizi hisia hazifai kabisa kwenye mambo ya kesi.
We unaonaje? Wamesema muamala unahusu nini? Je kama alimpa pesa za matumizi ni kosa?Kwa hiyo Wewe Ni smart kuliko like jopo la wanasheria?