The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Complex mafii YAKO?Hujui legal issue zilivyo complex
Mbususu wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Complex mafii YAKO?Hujui legal issue zilivyo complex
Sidhani kama hata hapo amekuelewaKama wataonekana Wana interest kwenye kesi!Waziri wa ulinzi kutuma fedha Kwa mtuhumiwa ugaidi si jambo dogo!
Mbaya zaidi taarifa za miamala zimefichwa!
Hapo ndio Kuna mashaka,na ndio interest ya Mwinyi kwenye kesi inapopata mashiko!
Tafuta habari kwanza kabla ya ku conclude kinyumbunyumbu!Kwanini Hussein Mwinyi amtumie hela Bwire , wanafanya biashara gani ?
Cc johnthebaptistUnaona ulivyo pumba!! Unachotakiwa kujua pesa iliyotumwa na Mbowe ili kuwa kwa ajili gani na pia iliyotumwa na Mwinyi ilikuwa kwa ajili gani? Kweli Chadema ina nyumbu wengi sana!
Mimi nauliza swali na wewe unaniuliza swali sasa nani atajibu swali langu!!.Kwani Mbowe alituma wakati gani? Unafikiri Mbowe alituma wakati Bwire akiwa ameshitakiwa? Ukiwa neutral utakuta unapata ufahamu sana kwenye haya mambo. Jiweke mbali na huko uliko jing'ang'aniza, uwe huru, huwezi kuwa mzito kuelewa.
Na malipo yake ni Urais wa Zanzibar , kumbuka Kura za maoni alikataliwa na wazanzibar woteUsishangae Dr Mwinyi ameshiriki mchongo huu
Asante sana sana kwa kuzidi kufafanuaKumbe hujapitia hiyo cross examination, kuna miamala 19 ambayo ilifanyika kwa Bwire ikiwemo ya watu ambao barua ya maombi haikuhitaji, ni miamala ya mh. Mwinyi tu ndiyo imeondolewa. Mawakili wa utetezi wameanzia mbali kuhakikisha wanafunga mianya yote kabla ya kufika kwenye hoja ya mh Mwinyi. Labda kama ni mvivu wa kufuatilia au ni mzito kuelewa logic za maswali ya mahakamani.
CcBwana PGO
Hahahahahaha wanajitoa ufahamu, Maji yamezidi ungaElewa hoja sasa, kama wanadai Mbowe kutuma pesa ni Ugaidi, kwanini isiwe Ugaidi alipotuma Mwinyi?
Mbona hoja ya wazi kwanini huelewi wewe *zi wa kijani?
Kigogo ni January Makamba. Hataki kumshambulia Mama. Dogo ana hope kuwa atakuja kuwa Rais wa Tz.Hii kesi inavyokwenda Mawakili wa utetezi wanataka kueleza Kila Jambo lililofanyika sirini na kuwataja wahusika. Lakini pia ulimwengu ulivyo Sasa hakuna binadamu wakumwamini. Taarifa nyingine zinatoka Kwa watu waliopewa Madaraka lakini wana hofu ya MUNGU.
Nikiangalia namna Kigogo 2014 anavyopost Leo najiuliza access ya taarifa imekatikaje Baada ya JPM tu kuondoka? Je, palipokuwa panavuja palizibwa vipi mapema hivyo?
Kwa mfano huu ndipo ninapoamini ukitenda Haki utaheshimika na kulindwa, ukiwakosea watu ambao wanakwenda nyumba za ibada kutubu unazalisha watu ambao toba sahihi nikufichua Yale maovu yanayoendelea yasiendelee au jamii ipige kelele usiendelee kuyafanya
Naomba Serikali iangalie kinachoendelea mahakamani kama kina tija Kwa ustawi wa Serikali na nchi kwa ujumla.
Marais wawili kutajwa kwenye cross examination siyo Jambo dog hata kidogo,
Wewe masikini kichwani ndio wa kunifundisha mimi kuhusu kutafuta habari ?Tafuta habari kwanza kabla ya ku conclude kinyumbunyumbu!
Kwa nini? Mbona mashahidi wa upande wa jamhuri bado wapo wengi hawajafika mahakamani.Makamanda hii kesi ngumu kwa Jamhuri
Kwamba nafanana na shetani Kingai au??
Naona wamechanganyikiwaHata hivyo umejitahidi, mtu kama huyo ni kumpuuza jumla.
Tufayajua kesho na kuendelea....Kwa hiyo Mwinyi naye alikuwa anafadhili ugaidi?
Hapana, hakuna kufuta hii kesi tuzidi kujua mengiMimi nashindwa kuelewa Mama anapata kigugumizi gani kuifuta hii kesi ambayo Taifa halina maslahi nayo!
Mboye akituma pesa ni zinakuwa za kufadhili ugaidiKwa haiba ya Rais Mwinyi kipindi akiwa waziri wa ulinzi sishangai kama kumsaidia mtu anaeyemfahamu kumtumia pesa ikawa ni jambo la ajabu.
Uungwana wake si sababu ya kuona kama alitenda jambo baya na jambo lipo kwa mahakama ngoja niishie hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sooner or laterMboye akituma pesa ni zinakuwa za kufadhili ugaidi
Raisi Mwinyi akituma pesa zinakuwa za msaada
Mwinyi+Hangaya tunawataka mahakamani
Hahahah swali akilijibu nambieNani anauwezo wa kutambua kama huu muamala ni wa kufadhili ugaidi na huu in wa kawaida?
Sio woga mara nyingine fikra za namna ya kulipa fadhila za vyeo vya kupewa kimkakati🤸.Inaonekana huyu Jaji ni mwoga-mwoga. Anasahau ukuu wa kiti chake na mamlaka yake kama mtoa haki.
Vv