Kesi ya Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaanza kusikilizwa

Ndio maana hata watu wa exchange rate wanatubinya sana pumbu, hebu vuta picha:
US$1=TSH. 2318
US$1=KSH 109
US$1= 815 Malawi Kwacha
US$1=11Botswana Pula
Matokeo yake tunapata tabu sana kununua bidhaa toka mataifa yanayotaka malipo katika US dollar.
CCM wwmeharibu sana nchi hii na ninakubaliana nawe kuwa siku wakitoka misaada itakuwa mingi ila pia thamani ya shilingi yetu itapanda dhidi ya dola ya Marekani
 

kwahio misaada ikipanda ndo tsh itapanda?
 

kwahio wakijaa wanafanya nn kwenye kesi ya gaidi?
 
We bila shaka Mgogo.

Maana akili yako imejikita kuomba omba misaada.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hivi katika historia ya kesi za kisiasa kama hii ya Mbowe kwa hapa Tanzania tangu Uhuru hadi sasa, imeshawahi kutokea mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao kuhudhuria mahakamani ili futuatilia kesi hiyo..?
 
Waasisi wa machafuko mengi sana duniani wamekata hapo

tuendelee kujipakatisha tu
 
Unategemea CCM watoke madarakaini ili upewe misaada are mad!?
 
HATA WAKIENDA HAWANA LA KUIFANYA MAHAKAMA ITAKAVYOAMUA
Wewe ukishiba maharage, punguza gesi! Lakini suala hili la kesi ya Mbowe kidiplomacy, linaiumiza serikali sawa na kidonda cha ulimi.
 
Reactions: BAK
CCM hawana nguvu kama wanavyofikiria, huwezi kutawala kwa kuiba kura na kubambikia watu kesi kila siku, dawa ipo tayari
 
Acha kudemka wewe na kuandika upumbavu. Gaidi hawezi kutoa kauli kama hizi.
HUU NDIYO MWISHO WA UGAIDI WAKE WATALIAAAAA WATANYAMAZA MAISHA YANAENDELEA WACHA ALE JEURI YAKE GAIDI MKUWA HUYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…