Kesi ya Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaanza kusikilizwa

Yaani uchizi umewazidi Chadema yaani hao wazungu watatu tu ndiyo unasema wamefika kwa wingi? Mmeishiwa pozi mnategemea wazungu gaidi lazima ale mvua tu
Hilo jina lako nadhani lina maana kubwa sana. Huo uboya ni aheri ungeishia kwenye mwili, lakini kwa bahati mbaya umepanda kichwani.

Wenye akili wanajishughulisha na kuyatafsiri matukio yanayowazunguka, wapumb.avu huishia kwenye kutazama.

Na kwa hapa, wapumb.avu wataishia na kuhesabu idadi ya mabalozi. Wenye akili watajishughulisha na kujua tafsiri ya kwa nini wahudhuria kesi hii tu l, na isiwe nyingine? Wanapeleka ujumbe gani kwa watawala?
 
Hii kesii mabalozi wameishikia bango sana
Na bado, mwendo huo ni hadi ipatikane Katiba ya Wananchi.Haturudi kwenye Ujima tena sasa ni kidigitali tu.CCM hawaku anticipate hili suala kama kawaida yao ya slow learning.
 
Up
Kabisa. Unajua tatizo la hivi vi-afrika vyenye dhamana ya uongozi vinadhani vyenyewe vina akili na uwezo kama Mungu! Vikipata madaraka kidogo tu vinajisahau na kujiona kama vina mamlaka ya kusema au kufanya lolote. Vijinga sana.
Upumbavu wa mkoloni na ukoloni , wenzako wako ki maslahi wewe uko kujipendekeza kwa wazungu.
 
Wamewatisha lakini hawajatishika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…