Kesi ya Mbowe: Kibatala na Mallya wameiondolea Mahakama uwezo wa kumfunga Mbowe hata ikishinikizwa

Kesi ya Mbowe: Kibatala na Mallya wameiondolea Mahakama uwezo wa kumfunga Mbowe hata ikishinikizwa

Unateseka ukiwa wapi?

Taja hao wanasheria ghuli tuwajue

Shaidi: Nilipanda basi la kimanjaro linatoka singida nikashukia Arusha

Baada ya mwana ccm kaaya kutoa ushahidi kuhusisha basi la Kilimanjaro

Mmiliki wa base la Kilimanjaro nae kaanza kugombana na dereva wake ni kwanin walibalidilisha rout ya Dar to Arusha na kuipeleka Singida to Arusha bila ruhusa yake

Maneno mengi tu naona hapa umejitahidi kuandika,najaribu kuelewa unamaanisha nini wala sioni zaidi ya kujichosha tu.
 
Unaamini Mwenyekiti Hana hatia halafu unakaa JF kimya badala ya kwenda kuongeza nguvu mahakamani? Mbona WAKILI toka Bukoba kajiongeza mwenyewe? Au unataka kulipwa, sema uko wapi tukufuate.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwamba nikafanyeje Mahakamani? U made my day [emoji3][emoji3]
 
Bila shaka akili yako imenajisiwa! Yaani unadhani nchi inaendeshwa kipumbavu namna hiyo mpaka kuwaingiza wazungu katika vyombo vya maamuzi na dola! Hujui kuwa hawaruhusiwi kujadili mambo ya mahakamani kama wanadiplomasia? Huo ulionao ni uzuzu ni heri kichaa wa Mirembe anajitambua! Sasa kwa nini wanakwenda kusikiliza kesi mahakamani kama wamepewa ushahidi tayari?

Wewe ni mshenzi tu!
we bwashee, huwa huoni mabalozi na madiplomat wanahudhuria kila siku kesi ya DJ? wanakuja kufanya nini kama hawajihusishi? acha bangi.
 
Amedanganywa nini mzee? kwamba wewe unajua mambo yote yanayotendeka hapa nchini? una tiss? una polisi? una vyombo vya uchunguzi?

Utasemaje waongo wakati wewe mwenyewe hapo ulipo upo kiganjani mwa , nvyombo hivyo vinavyojua unaishije na unatakiwa kuishije kila siku? usilolijua ni ,kama usiku wa giza.
Mkuu, salama? Naona unaandika vitu vya kufikirisha na vyovyote vile u mtu unayeangalia mambo kwa Jicho la tatu. Naomba kukuuliza kwa kutumia hoja yako ya Serikali kuwa na Vyombo vya Uchunguzi kama TISS na POLISI, ile Kesi ya akina Mbowe dhidi ya Mauaji ya AKWILINE AKWILINA yalikuwa Mashitaka Sahihi?
 
amini usiamini, tofautisha kesi ile na kipindi kile na kesi hii na kipindi hiki. awamu hii maza anafuata haki na ni mtu wa haki, anaongea kwa matendo sio kwa maeneno, akikuambia anataka haki anasimamia. subirini ushahidi uletwe wote, prosecution wasingeng'ang'ania hivyo kama hakuna kitu. tafuteni mawakili wazuri walau wa kuwasumbua prosecution pengine mtashinda, la sivyo na hao kina kibatali sijui malya, wanafanya maigizo kufurahisha wasikilizaji tu ila hakuna hoja za kisheria zinasaidia kesi yenu.
 
we bwashee, huwa huoni mabalozi na madiplomat wanahudhuria kila siku kesi ya DJ? wanakuja kufanya nini kama hawajihusishi? acha bangi.
Mbowe ni international figure, kila mtu mwenye hadhi za kimataifa angependa kutaka kujua ukweli wa shutuma dhidi yake, hivyo haishangazi.

Sasa bush lawyer kama wewe utaelewa nini!
 
Mbowe ni international figure, kila mtu mwenye hadhi za kimataifa angependa kutaka kujua ukweli wa shutuma dhidi yake, hivyo haishangazi.

Sasa bush lawyer kama wewe utaelewa nini!
mbowe ni international figure, hakuna mtu mwenye akili hasa kwa kipindi hiki angemshitaki kama hakuna ushahidi na kama ni kubumba. huo ndio ukweli. tusubiri tuone.
 
J
amini usiamini, tofautisha kesi ile na kipindi kile na kesi hii na kipindi hiki. awamu hii maza anafuata haki na ni mtu wa haki, anaongea kwa matendo sio kwa maeneno, akikuambia anataka haki anasimamia. subirini ushahidi uletwe wote, prosecution wasingeng'ang'ania hivyo kama hakuna kitu. tafuteni mawakili wazuri walau wa kuwasumbua prosecution pengine mtashinda, la sivyo na hao kina kibatali sijui malya, wanafanya maigizo kufurahisha wasikilizaji tu ila hakuna hoja za kisheria zinasaidia kesi yenu.
Unayo mifano anuai ya mambo ambayo yamefanyika na yakathibitisha mama Ni mtu wa Haki? Anataka kugombea Uraisi 2025 peke ndani ya Chama. Je, huu ndo mfano wa Haki? Halafu naomba niulize: Shahidi wa Pili alisema alionana na Mbowe wakati Fulani ilhali muda huo Mbowe alikuwa Gerezani. Hii kwa uzoefu wako wa prosecution inakuwa ina maana gani?
 
mbowe ni international figure, hakuna mtu mwenye akili hasa kwa kipindi hiki angemshitaki kama hakuna ushahidi na kama ni kubumba. huo ndio ukweli. tusubiri tuone.
Kama Clinton aliweza kushtakiwa akiwa Rais sembuse Mbowe! Jinai haijali umaarufu wa mtu hivyo kinachoangaliwa hapo ni ukweli wa shutuma zenyewe kama ni genuine au za kubumba. Kumbuka dola inaweza kubumba shutuma ili kudhalilisha au kumuondoa mtu katika harakati baada ya kushindwa kumuondoa kwa hoja!
 
wanaamini dj ni malaika,hawezi kufanya makosa. akili za ajabu sana hizi.
 
Wakati mwingine nikisikia watu wasio wanasheria wanavyojadili mambo ya kisheria huwa nawaonea huruma sana kwasababu it will take them 100 years to know the truth. hapo hakuna wanasheria, tafuteni wengine, fuateni ushauri huu mtakuja kunishukuru.

Hao sio criminal lawyers, kuna mawakili wa jinai wazuri na wanajua techniques kuliko hao, wao faida yao ni kwamba wanajipublicise na kupata wateja na kujulikana zaidi nchini ila sio kuwasaidia kwenye hiyo kesi.
Wivu mwingine banaa ndiyo ambao mzee che Nkapa aliuita wa kike hahahaaa.... Unaweza kukuta wewe ni muuza nyanya Tandale hapa eti unajifanya mjuvi wa sheria... Hivi kama kujitafutia umaarufu mahakamani ni rahisi hivyo si na wewe ungeshakimbilia huko? Acha undezi jombaa.
 
hujui unaloongea, wivu wa nini sasa? mbona hueleweki?
 
Hayo hapo juu yanaathiri nini ushahidi wa prosecution hasa ikizingatiwa shahidi hajui kiingereza, ameulizwa kwa kiswahili, maelezo yaliandikwa kwa kiswahili, na wapo mashahidi wengine wanatarajiwa kuitwa pengine kana kwamba ushahidi wa mtu mmoja tu huyo hata ukiwekwa pembeni utaangaliwa ushahidi wa wengine?

Kujua kiswahili cha terrorist/terrorism au kutojua kunafifisha charge aliyosomewa? wakati pengine ameshaeleza maelezo ya nini maana ya ugaidi?.....je? wamejua nini lengo la prosecution kumwita shahidi huyo?

Kwamba walimwita kuja kuthibitisha nini among others kwasababu kuna wakati prosecution wanaweza kuita shahidi kuja kuthibitisha kitu kimoja tu miongoni mwa vingi na vingine vitathibitishwa na mashahidi wengine na akishathibitisha kile wanachokitaka tu wanakuacha tu wewe uulize maana za terrorism na matakataka yako yoote na kesi yao inabaki imesimama.

Ndio maigizo wanayoyafanya hao mawakili wenu. kwa bahati nzuri nilishawahi kuwa prosecutor na ninawaonea huruma chadema kwasababu kwa wanachokifanya mawakili wenu mtakuja kulia.
Hakuna aliyemtuma hiyo ripoti yake aiandike Kiingereza ikiwa hakijui... Narudia, punguza undezi jombaa kwa sababu mahojiano mengi yametokana na ripoti ya huyo koplo. Kwani angeandika Kiswahili angeulizwa kuhusu 'Terrolist'?? Halafu yeye kama kazi ni huko ofisini mambo ya kuandika 'Conspiracy' yeye aliyajuaje kama si kutaka ale kibano cha mvua za maswali??
JamiiForums1765523849.jpg
 
hujui unaloongea, wivu wa nini sasa? mbona hueleweki?
Unaposema hao mawakili wanayafanya yote hayo ili kujenga jina sijui nini kama siyo wivu wa kike ni nini?? Nani asiyewajua Kibatala na Mallya kwa kazi zao wanazofanya?? Unataka tukuone wewe mjuvi kwa lipi hasa ambalo Tanzania au hata nyaraka za mahakama zitakutambua umelifanya? Kwenye nyanja za mahakama what's you're legacy by the way?? Narudia mnyonge mnyongeni but haki yake mpeni, hao mawakili wako vizuri sana na kila mtu anaona Wanavyofanya mahakamani. Wewe umekurupuka zako huko unaanza kuponda wakati wala hatukujui kwa lolote kwenye hili eneo...
 
kibatala namjua kuliko hata wewe, nimepambana naye sana mahakamani na ujua udhaifu wake ndio maana nasema hivi, sina wivu naye kabisa, ila ninajua na wanasheria wote wanajua kuwa he acts more as a politician than a learned brother (lawyer). hautakuja kujua hili hadi usome sheria.
 
Utatukana matusi yootee pimbi weweee na ukimaliza kaendelee kuuza nyanya, haya mambo kwa akili yako huyawezi, tulia wewe... By the way unajua kwamba huyo koplo amekiri Mallya kumtoa jasho?? Wee endelea kubana pua na makalio.
haya mambo huwezi kuyafahamu kama katika maisha yako hujawahi kuhoji shahidi mahakamani na huwajahi kufanay analysis yeyote ya ushahidi katika kesi. kalagabaho.
 
kibatala namjua kuliko hata wewe, nimepambana naye sana mahakamani na ujua udhaifu wake ndio maana nasema hivi, sina wivu naye kabisa, ila ninajua na wanasheria wote wanajua kuwa he acts more as a politician than a learned brother (lawyer). hautakuja kujua hili hadi usome sheria.
Tupe rejea ya kesi hata moja hapa ili tujue wewe ni learned council badala ya hizi porojo zako hapa... Mimi hunijui sasa unapata wapi audacity ya kusema simjui Kibatala au Mallya... Sema wewe ndiye hujulikani na huna legacy yoyote kwenye vikorido vya mahakama na hata hapa nchini...
 
wanaamini dj ni malaika,hawezi kufanya makosa. akili za ajabu sana hizi.
Hayo ni maneno ya Div. IV ya 32 Simon Zero!

Watu na akili zao hawawezi kuamini binadamu mwenzao kuwa malaika, labda watu kama Kabudi aliyeamini dikteta Magufuli kuwa ni mungu!
 
Niwahi kufutiwa shtaka Mwanzo ilionyesha Nina short ya 800,000 barua moja ikaonyesha 80,000 ndio ikawa mwisho WA kesi. Tatizo la vitu vya kubambika wakaishia aibu.
 
Back
Top Bottom