Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kama ni humu mtandaoni mbona wanaandamana sana?hivi hamuwezi kuandamana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni humu mtandaoni mbona wanaandamana sana?hivi hamuwezi kuandamana?
Kwani sheria inasemaje, ukiondoa mawakili kesi inasimama au inaendelea?Siku chache zilizopita, nilileta mada hapa niki-suggest Mbowe aacha kujitetea mbele ya hizi mahakama zetu kutokana na mwenendo mzima wa hii kesi. Leo hii kupitia You tube, nimemsikia Godbless Lema akimshauri Mbowe aondoe mawakili na akae kimya mahakamani ili wafanye kile wanachokita. Lema pia kaongea na katibu mkuu wa chama na anapanga kuongea na makamu mwenyekiti wa chama kuhusu jambo hili. Isitoshe, Lema kakumbusha uamuzi wa mke wake kutoa mawakili wakati ule wa kesi ya yake alipokuwa ananyimwa dhamana.
Katika kufafanua, Lema kataja mapungufu kadhaa yanayoonekana katika hii kesi na mfano mmojawapo ni Jaji kutumia mawazo yake(opinion) kufanya maamuzi badala ya kutumia vifungu vya sheria katika kuamua mapingamizi. Mbali na kutaja mapungufu yanayojitokeza, Lema anahoji kama katika hatua hizi za mwanzo taratibu zinakikuwa, tunatarajia kweli hukumu itakuwa fair?(swali la msingi sana hili).
Binafsi naungana na Lema kuwa kuna umuhimu wa kuondoa mawakili na Mbowe akae kimya mahakamani tuwaache wafanye wanalotaka kufanya. Hapa tunarudia kosa lilelile la kuwa wagumu kufanya maamuzi kama tulivyofanya kwenye kususia chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiokuwa huru. Na hapa niwaambie tu, wakifanikiwa kumfunga Mbowe halafu tukalalamika kuwa taratibu zilikiukwa, majibu yao(MATAGA) yatakuwa mawili: (1) kwanini hamkujitoa (2)Mkakate rufaa kama hamridhiki na maamuzi ya mahakama.
Kuhusu hili la kusubiri kwenda Mahakama ya Rufaa kupinga kitachoamuliwa, naungana pia na Lema kupinga hoja hii kwani hata hao Majaji wa Mahakama ya Rufaa upatikanaji wao ni ule ule wa kuteuliwa na Raisi,hivyo bado lolote linaweza kutokea. Kwahiyo, nashauri viongozi wa CHADEMA na wana familia ya Mbowe watafakari upya kama ni sahihi kuendelea kuweka mawakili mahakamani au Mbowe akae kimya na awaache waamue wanavyoona inafaa.
View attachment 2001948
Mkuu kwenye shauri hili Chief Hangaya alishamaliza. Rejea mahojiano yake na Mwandishi wa BBC. Bila kusahau upandishwaji wa cheo Kwa Jaji Siyani. Nini kilifanyika kwenye hukumu ya kesi ndogo? Huo ni ushahidi tosha.
Acha wamhukumu wapendavyo kwakuwa ni wamiliki wa Mihimili yote mitatu. Je nn kitawashinda??
Absolutely trueIsingekuwa hukumu ya kesi hii imeshatolewa na rais (akihojiwa na BBC) na IGP Zirro nisingekubaliana na mawazo ya Lema,Mbowe atoe mawakili na akaye kimya mahakamani maana kinachoendelea sasa ni kumcheleweshea siku za kutumikia kifungo tu..
Kadri tunavyozidi kujitetea ndiyo tunavyorefusha muda wa kukaa gerezani.
Mbowe ashahukumiwa kinachoendelea mahakamani ni maigizo na unajisi wa sheria kama ilivyo kawaida ya CCM.
Mawakili wakijitoa na mh. Mbowe akakaa kimya mahakamani manufaa yake yatakuwa nini?Siku chache zilizopita, nilileta mada hapa niki-suggest Mbowe aacha kujitetea mbele ya hizi mahakama zetu kutokana na mwenendo mzima wa hii kesi. Leo hii kupitia You tube, nimemsikia Godbless Lema akimshauri Mbowe aondoe mawakili na akae kimya mahakamani ili wafanye kile wanachokita. Lema pia kaongea na katibu mkuu wa chama na anapanga kuongea na makamu mwenyekiti wa chama kuhusu jambo hili. Isitoshe, Lema kakumbusha uamuzi wa mke wake kutoa mawakili wakati ule wa kesi ya yake alipokuwa ananyimwa dhamana.
Katika kufafanua, Lema kataja mapungufu kadhaa yanayoonekana katika hii kesi na mfano mmojawapo ni Jaji kutumia mawazo yake(opinion) kufanya maamuzi badala ya kutumia vifungu vya sheria katika kuamua mapingamizi. Mbali na kutaja mapungufu yanayojitokeza, Lema anahoji kama katika hatua hizi za mwanzo taratibu zinakikuwa, tunatarajia kweli hukumu itakuwa fair?(swali la msingi sana hili).
Binafsi naungana na Lema kuwa kuna umuhimu wa kuondoa mawakili na Mbowe akae kimya mahakamani tuwaache wafanye wanalotaka kufanya. Hapa tunarudia kosa lilelile la kuwa wagumu kufanya maamuzi kama tulivyofanya kwenye kususia chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiokuwa huru. Na hapa niwaambie tu, wakifanikiwa kumfunga Mbowe halafu tukalalamika kuwa taratibu zilikiukwa, majibu yao(MATAGA) yatakuwa mawili: (1) kwanini hamkujitoa (2)Mkakate rufaa kama hamridhiki na maamuzi ya mahakama.
Kuhusu hili la kusubiri kwenda Mahakama ya Rufaa kupinga kitachoamuliwa, naungana pia na Lema kupinga hoja hii kwani hata hao Majaji wa Mahakama ya Rufaa upatikanaji wao ni ule ule wa kuteuliwa na Raisi,hivyo bado lolote linaweza kutokea. Kwahiyo, nashauri viongozi wa CHADEMA na wana familia ya Mbowe watafakari upya kama ni sahihi kuendelea kuweka mawakili mahakamani au Mbowe akae kimya na awaache waamue wanavyoona inafaa.
View attachment 2001948
Huna wazo baya, ila bado unaamini kuna mwananchi mwenye uelewa wa mambo asiyejua utawala wa hila wa watawala hawa, ila anasubiri aonee kwenye kesi hii ya Mbowe? Ushahidi kuwa wananchi wameshaamka ila hofu tu ndio kikwazo ipo kwenye idadi kiduchu ya wapiga kura.
Point aseeIsingekuwa hukumu ya kesi hii imeshatolewa na rais (akihojiwa na BBC) na IGP Zirro nisingekubaliana na mawazo ya Lema,Mbowe atoe mawakili na akaye kimya mahakamani maana kinachoendelea sasa ni kumcheleweshea siku za kutumikia kifungo tu..
Kadri tunavyozidi kujitetea ndiyo tunavyorefusha muda wa kukaa gerezani.
Mbowe ashahukumiwa kinachoendelea mahakamani ni maigizo na unajisi wa sheria kama ilivyo kawaida ya CCM.
Utashangaa sana. Kuna idadi kubwa sana ya Watanzania (hata wenye shule kubwa tu) wa sio na uwezo wa kuona wala kupambanua facts.
Aidha, ni muhimu sana kuweka kumbukumbu yote na sahihi kuthibitisha uovu pasi na shaka. Ikijatokea fursa ya kurejea kesi ili waliohusika na uhuni wote wa wapatilizwe ipasavyo na walioonewa warejeshewe gharama na hadhi zao (full restitution).
Watawala makatili kabisaNchi ngumu sana hii. Natamani sana kuona mapambazuko ya haki yakitokea siku moja. Binafsi nimechoshwa sana na hili giza la uonevu na ubinafsi uliopitiliza kwa hawa watawala wetu.
Kwa hiki ulichoandika na alichosema Lema ni TAYARI ujumbe umefika na wanajua kuwa kuna ufuatiliaji mkubwa.Kama hawana plan B ni lazima waiteme kesi!!Siku chache zilizopita, nilileta mada hapa niki-suggest Mbowe aacha kujitetea mbele ya hizi mahakama zetu kutokana na mwenendo mzima wa hii kesi. Leo hii kupitia You tube, nimemsikia Godbless Lema akimshauri Mbowe aondoe mawakili na akae kimya mahakamani ili wafanye kile wanachokita. Lema pia kaongea na katibu mkuu wa chama na anapanga kuongea na makamu mwenyekiti wa chama kuhusu jambo hili. Isitoshe, Lema kakumbusha uamuzi wa mke wake kutoa mawakili wakati ule wa kesi ya yake alipokuwa ananyimwa dhamana.
Katika kufafanua, Lema kataja mapungufu kadhaa yanayoonekana katika hii kesi na mfano mmojawapo ni Jaji kutumia mawazo yake(opinion) kufanya maamuzi badala ya kutumia vifungu vya sheria katika kuamua mapingamizi. Mbali na kutaja mapungufu yanayojitokeza, Lema anahoji kama katika hatua hizi za mwanzo taratibu zinakikuwa, tunatarajia kweli hukumu itakuwa fair?(swali la msingi sana hili).
Binafsi naungana na Lema kuwa kuna umuhimu wa kuondoa mawakili na Mbowe akae kimya mahakamani tuwaache wafanye wanalotaka kufanya. Hapa tunarudia kosa lilelile la kuwa wagumu kufanya maamuzi kama tulivyofanya kwenye kususia chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiokuwa huru. Na hapa niwaambie tu, wakifanikiwa kumfunga Mbowe halafu tukalalamika kuwa taratibu zilikiukwa, majibu yao(MATAGA) yatakuwa mawili: (1) kwanini hamkujitoa (2)Mkakate rufaa kama hamridhiki na maamuzi ya mahakama.
Kuhusu hili la kusubiri kwenda Mahakama ya Rufaa kupinga kitachoamuliwa, naungana pia na Lema kupinga hoja hii kwani hata hao Majaji wa Mahakama ya Rufaa upatikanaji wao ni ule ule wa kuteuliwa na Raisi,hivyo bado lolote linaweza kutokea. Kwahiyo, nashauri viongozi wa CHADEMA na wana familia ya Mbowe watafakari upya kama ni sahihi kuendelea kuweka mawakili mahakamani au Mbowe akae kimya na awaache waamue wanavyoona inafaa.
View attachment 2001948
Duuuh!! Wewe ni kati ya Binadamu wachache wanaojua kufikiri kwa kinaTunajua mpango wao.....balance hii kesi wamfunge then aje asamehewe sambamba na ole wao .....
Sure. Kesi iendelee ili iweke rekodi ya uozo kwa vizazi vijavyo. Mana kupitia kesi tumejua polisi wetu walivyo vilaza,majaji wanavotumika. Juzi mmeona clip polisi wanafungia watu ndani ya mahakama kisa wasimuage Mbowe mambo ya upumbavu uliovuka reli.Kesi iendelee ili tuweke rekodi sawa sawa kwa ajili ya manufaa ya kukobele, hii kesi imeibua mambo mengi sana.
Mkuu 'Salaryslip', ushauri wenu, wewe na Lema sio ushauri mzuri hata kidogo. Ninakubaliana nawe kuhusu zile chaguzi, lakini kwa hapa kwenye hii kesi ya Mbowe sikubaliani nawe.Siku chache zilizopita, nilileta mada hapa niki-suggest Mbowe aacha kujitetea mbele ya hizi mahakama zetu kutokana na mwenendo mzima wa hii kesi. Leo hii kupitia You tube, nimemsikia Godbless Lema akimshauri Mbowe aondoe mawakili na akae kimya mahakamani ili wafanye kile wanachokita. Lema pia kaongea na katibu mkuu wa chama na anapanga kuongea na makamu mwenyekiti wa chama kuhusu jambo hili. Isitoshe, Lema kakumbusha uamuzi wa mke wake kutoa mawakili wakati ule wa kesi ya yake alipokuwa ananyimwa dhamana.
Katika kufafanua, Lema kataja mapungufu kadhaa yanayoonekana katika hii kesi na mfano mmojawapo ni Jaji kutumia mawazo yake(opinion) kufanya maamuzi badala ya kutumia vifungu vya sheria katika kuamua mapingamizi. Mbali na kutaja mapungufu yanayojitokeza, Lema anahoji kama katika hatua hizi za mwanzo taratibu zinakikuwa, tunatarajia kweli hukumu itakuwa fair?(swali la msingi sana hili).
Binafsi naungana na Lema kuwa kuna umuhimu wa kuondoa mawakili na Mbowe akae kimya mahakamani tuwaache wafanye wanalotaka kufanya. Hapa tunarudia kosa lilelile la kuwa wagumu kufanya maamuzi kama tulivyofanya kwenye kususia chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiokuwa huru. Na hapa niwaambie tu, wakifanikiwa kumfunga Mbowe halafu tukalalamika kuwa taratibu zilikiukwa, majibu yao(MATAGA) yatakuwa mawili: (1) kwanini hamkujitoa (2)Mkakate rufaa kama hamridhiki na maamuzi ya mahakama.
Kuhusu hili la kusubiri kwenda Mahakama ya Rufaa kupinga kitachoamuliwa, naungana pia na Lema kupinga hoja hii kwani hata hao Majaji wa Mahakama ya Rufaa upatikanaji wao ni ule ule wa kuteuliwa na Raisi,hivyo bado lolote linaweza kutokea. Kwahiyo, nashauri viongozi wa CHADEMA na wana familia ya Mbowe watafakari upya kama ni sahihi kuendelea kuweka mawakili mahakamani au Mbowe akae kimya na awaache waamue wanavyoona inafaa.
View attachment 2001948
Nikuulize swali.Serikali siyo wajinga kumfungulia Mbowe kesi ya ugaidi. Mbowe mwenyewe anajuwa namna alivyolikoroga.
Muulizeni kati ya Desemba 2020 na March 2021 mpaka tunamzika DIKTETA Magufuli alikuwa wapi? Muulizeni ni kitu gani aliomba kwenye ubalozi wa Denmark na alijibiwa nini?
Nendeni na ubalozi wa Canada mkaone status ya papers zake kwa alichokiomba. Mmasingizia alikuwa kwenye biashara zake Dubai, ana biashara gani Dubai?
Kwa nini Serikali ihangaike kumtengeneza Mbowe mashtaka ya kubumba? Ni nguvu gani aliyonayo?
Mbowe alitaka kuweka nchi kwenye status of instability immediately baada ya uchaguzi kukamilika. Serikali ilipogundua njama ndipo akalazimika kukimbia.
Nani kasikia masekondari ya shule za Kisslami yanachomwa tena baada ya Mbowe kuwa mikono salama pale Ukonga?
Na kwa kiasi kikubwa amshukuru Samia ambaye ameacha Mahakama itende haki kwani ingekuwa hajawahi kukimbia nchi wakati wa Mwendazake, saa hizi Mbowe angekuwa na msaidizi wake Ben Saanane huko kuzimu.
Nashangaa Wana CDM mnamtukana Rais SSH eti DIKTETA mwanamke wakati ameacha uhuru wa habari na utawala wa sheria uendelee.
Unazijua hukumu za makosa ya ugaidi..?Anusuru ya kwake, huko jela mna mpango wa kumuua na yeye?
Manzoni mlisema Serikali ifute kesi ya Mbowe kukwepa aibu maana haina ushahidi. Sasa mnabadili gia angani Mbowe awaondoe mawakili. Mimi nasema kesi iendelee mpaka mwisho na haki itendeke.
Duniani?
Nenda Rwanda hapo jirani tu ujionee PK anavyowafunga wapinzani wake kwa uhaini na kuwasamehe akijisikia and nothing has changed.
Unamfahamu Kenule Beeson "Ken" Saro Wiwa? Naye aliamini kwa ile hukumu ya kunyongwa ingemfanya awe hatari zaidi akiwa mfu kuliko hata akiwa hai.
Kwa aina ya upinzani uliopo na sampuli ya wafuasi wake,tuna miongo si chini ya 6 hizi wishful thinking zikiendelea kuwa ndoto.
Stop nonsenseKitu ambacho Mbowe anatakiwa kukaa nacho mbali kwa sasa na akitoka salama ni ushauri wa Lema na Lissu.
Si ajabu ni ushauri wao ndio uliomfikisha huko alipo na wenyewe washasepa.
Ni watu hao hao walimshauri pia CDM isusie viti maalum bila ya ridhaa ya hakina mama, matokeo yake wakavichukua kwa mlango wa nyuma na kupelekea mgawanyiko.
Kuondoka kwa hakina Halima Mdee kumeacha pengo kubwa sana CDM. Mbowe mahakama ndio itaamua mwisho wa siku. Pamoja na hayo Halima Mdee alikuwa mzuri sana kwenye kutoa pressure serikalini na mhamasishaji yaani hii kesi ya Mbowe angeigeuza ya ukandamizaji wa demokrasia kwa namna yake ya kuleta vurugu huko mahakamani.
Mfano polisi kuwapangisha mstari kuingia ndani ya mahakama au treatment zingine CDM wanazopewa wakienda mahakamani angetumia fursa hiyo kutengeneza mazingira ya uonevu wa polisi na ku associate na kesi yenyewe huku kesha kura virungu kadhaa na nundu za kuonyesha.
Mama juzi alikuwa Glasgow zile picha na wababe wa dunia sio photo shop maana yake huko kwa mabeberu awajali kesi ya Mbowe; sasa akiacha kupigana mwenyewe si anakwenda jela kirahisi bila ya kupambania uhuru wake.
Dunia is changing at a very fast rate, ya Ken si ya leoDuniani?