Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku...
itaahoirishwa atarudishwa rumande na nyie mtaenda nyumbaniLakini kitu cha muhimu hadi sasa ndugu zangu ni kwamba, kwa umoja wetu wote tupo nje ya mahakama kuu Divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na Rushwa, Ubungo-Mawasiliano, tumeshawaelekeza MAWAKILI wetu wasomi kwamba "No ENTRANCE NO CASE"... And it's done, hii ni open court!
NyoooooTulieni dawa iwaingie bavicha
weka hiyo sheria hapa inayokataza watu kuingia na vifaa vya ki-electronic kwenye open court.Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Mumeshaumbuka na mashahidi wenu wa uongo.Ni jambo jema!
Mbowe ni Kiongozi mkubwa ulinzi lazima uimarishwe.
we kumbe boya!nenda kacheze na wenzio insta huko,sisi tunajadili mambo serious hapaWeka kwanza kifungu kinachokupa uhalali wako wa kuingia na simu ndipo uadhiriwe peupe
Hawa polisi wamefilisika mawazo. Kama wanadhani kuzuia simu ndo kutafanya tusipate habari basi wamebughi, maana mdau mmoja ameamua kumpeleaka pale secreatary wake anayejua shorthand. bado tutapata kila kitu. Stay tuned!Mwenzio aliyesema hivyo yupo kaburini anakula kichapo, huku akimuacha mbowe bado anatesa
🤣🤣🤣Ni boya nafikiri
Kunywa mtori bwashee nyama utazikuta siku ya hukumu!Mumeshaumbuka na mashahidi wenu wa uongo.
Kuna uonevu unatendeka ktk hii nchi yetu unaniuzi sana kwa kweli, ila yana mwisho hayaKwa hisani ya watu wa tweeter!
Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Tunatafuta alternative, TUWAJUZE...
Wanajua wakiwakubalia wote media itabadilisha muelekeo wa hi kesi, na mipango yao itavujwa mapema hata kabla ya kesi.....Kwa hisani ya watu wa tweeter!
Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Tunatafuta alternative, TUWAJUZE...
Hangaikeni na taasisi ya urais maana mlibeza sana kifo cha Dkt JPM mkifurahia na kunywa, tena kuna mjamaa ni marketing officer kwa kiwanda cha maji cha kilimanjaro water anaishi arusha anasema aliuza sana tena sana vinywaji kwa watu wa huko wakishangilia kifo cha mzalendo Dkt JPMFreeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku...
washangilie na kuozea jela kwa mboweHangaikeni na taasisi ya urais maana mlibeza sana kifo cha Dkt JPM mkifurahia na kunywa, tena kuna mjamaa ni marketing officer kwa kiwanda cha maji cha kilimanjaro water anaishi arusha anasema aliuza sana tena sana vinywaji kwa watu wa huko wakishangilia kifo cha mzalendo Dkt JPM
itaahoirishwa atarudishwa rumande na nyie mtaenda nyumbani