Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku...
Huu mhimili uliojichimbia sana ni shida.
Bila kuukomalia sasa na vilivyo hawawezi kutambua haki za wengine.